Taarifa za Bajeti Kuu ya Serikali zapuuzwa, kisanga cha Bandari chaendelea kushika kasi


Pamoja na mbwembwe za kuingia Bungeni... Mwigulu hajawahi kuwa na jema kwa nchi hii!
Kama kawaida yao; waZanzibari watakuwa wanaitana vikao kuwakebehi waTanganyika!
 

[emoji16][emoji16][emoji16] mi napendaga sana unavyo andika !!
 
Bajeti imejaa mitozo ya kuja kuumiza watu wa chini nani anataka
 
Wananchi hawafatilii bajeti hewa za kwenye makaratasi wanajitafutia ugali wao
 
Kukichwa kutapambazuka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi Dubai ni mkoa au ni Nchi mkoa umepata wapi mamlaka ya kuingia mkabata na Nchi?
 
Mtaendelea kujadili hivyo hivyo huku utekelezwaji unaendelea 😆😆
 
Ujinga tuu
 
Ina maana nchi yetu inaishi kwa MATUKIO BASI! Kumbuka la Loriondo lilivyoisha, alipougua ugonjwa wa ajabu mwandishi aliyelikomalia hatukujua lilipoishia.
Stan Katabalo RiP.......
 
Sio kweli hapa tumecheza karata tatu
Sio kweli kivipi? Nchi zinaingia mikataba na Makampuni sembuse Dubai yenye Utawala wa ndani kama Zanzibar? Na unaposema UAE unazungumzia Dubai ndio final say Sasa wewe shida Yako ni ipi hasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…