CRDB WATAMLIPA MABILIONI. Wala asiwachekeeNa Martin Maranja Masese
Taarifa za kibenki za mteja zina ulinzi mkali wa siri za wateja, kuzingatia kanuni ya Usiri wa Kibenki (Bank Secrecy and Confidentiality Principle). Nguzo kuu inayojenga uaminifu kati ya benki na wateja.
Kisheria, taarifa za kibenki za mteja zina ulinzi mkali wa siri za wateja unaotokana na mkataba kati ya mteja na benki, Sheria ya Taasisi za Benki na Fedha, na Sheria ya Ulinzi wa Taarifa za Binafsi.
Benki inatakiwa kulinda taarifa za mteja isipokuwa katika mazingira manne pekee: (i) Compulsion of Law), (ii) Duty to the Public, (iii) Interests of the Bank, (iv) Consent of the Customer.
Wakati John Heche anatoa ushahidi wake katika kesi ya uhaini ya Jamhuri Vs. Tundu Lissu, Wakili Mkuu wa Serikali, Katuga ametoa nyaraka zake za ‘photocopy’ kuonyesha akaunti ya benki ya John Heche.
Nyaraka hizo za ‘photocopy’ zimetolewa na Wakili Mkuu wa Serikali ili kuonyesha taarifa za miamala ya John Heche mbele ya Mahakama kutoka katika akaunti yake ya Benki Na. 01522005XXX.
Nyaraka za kibenki kama zikihitajika na Mahakama, zinatakiwa kuwasilishwa Mahakamani zikiwa unauthenticated au uthibitisho wa kisheria (Bankers’ Books Evidence Act/Certified Copies).
Anyways, kama kuna kuvunja mkataba wa usiri wa mteja (Breach of Duty of Confidentiality), John Heche akimaliza kutoa ushahidi wake Mahakamani, ataona nini anatakiwa kufanya katika jambo hilo.
Kila general rule ina exceptions.Na Martin Maranja Masese

kuhusu ufisadi wa pesa za tone tone sio gentleman?Na Martin Maranja Masese

Amefuata utaratibu wa kupata hizo nyaraka? na je benki iliwasiliana na mteja na mwisho hizo photocopy ni certified copy of the original?Kama ilikua Part of Evidence haina shida Mahakamani hakunaga Siri ni sehemu ambayo mambo huelezwa bayana
We Mpumbavu Taasis yoyote ya Serikali ina uwezo wa kupata document katika bank yoyote kadri itakavyohitajika, siyo CRDB tuu hata document za TRA zinasema anamiliki magari matano mahakamani kasema mawili shahidi haaminiki.CRDB WATAMLIPA MABILIONI. Wala asiwachekee
Ni kwamba wanapoteza mudaYale ni mambo ya kijinga. Halafu kesi ni ya uhaini, mawakili wanahoji majina ya shahidi, tonetone, akaunti za benki, magari anayomiliki, nk!
Ujinga mtupu.
Hiyo kesi ni ya uhaini siyo kesi ya matumizi mabaya ya pesa za tone tone.kuhusu ufisadi wa pesa za tone tone sio gentleman?
hizo si pesa za wanachama wa chadema ambazo walichanga hadharani? iweje matumizi binafsi ya heche wakati wa kufuja pesa hizo iwe siri?
nadhani ni sahihi 100% mambo yawe hadharani tu
Yale ni mambo ya kijinga. Halafu kesi ni ya uhaini, mawakili wanahoji majina ya shahidi, tonetone, akaunti za benki, magari anayomiliki, nk!
Ujinga mtupu.
Toa neno pumbavu jadili mada, hujawahi kusikia serikali imeshindwa kesi au hujawahi kusikia benki imemlipa mteja mabilioni ya pesa.We Mpumbavu Taasis yoyote ya Serikali ina uwezo wa kupata document katika bank yoyote kadri itakavyohitajika, siyo CRDB tuu hata document za TRA zinasema anamiliki magari matano mahakamani kasema mawili shahidi haaminiki.
ila ni kesi ya kutibua minywele, kupiga mayowe na kurusha mikono hewani mahakamani right?Hiyo ni kesi ya uhaini siyo kesi ya matumizi mabaya ya pesa za tone tone.
Heche angesema tu ukweli hajui wale mashetani wameshamdukua? Kimsingi alikuwa hataki kutangaza mali zake, jambo ambalo mi namwelewa, wanasiasa hawataki kuonekana na mali nyingi.We Mpumbavu Taasis yoyote ya Serikali ina uwezo wa kupata document katika bank yoyote kadri itakavyohitajika, siyo CRDB tuu hata document za TRA zinasema anamiliki magari matano mahakamani kasema mawili shahidi haaminiki.
Hawana mamlaka hayo, walitaka kimdhalilisha kuwa anapokea rushwa ya wahindi..Je, Majaji ktk kesi hii wanaweza kumchukulia hatua Nasoro Katuga kwa jambo alilolifanya?
Kama ilikua Part of Evidence haina shida Mahakamani hakunaga Siri ni sehemu ambayo mambo huelezwa bayana Heche is notorious Criminal anasema 30m kwenye account yake hajui aliyeweka?😁