minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 23,510
- 22,529
Miamala ya katuga nayo iletwe pia miamala ya wenzake iletwe ili ngowa iwe sawaHawana mamlaka hayo, walitaka kimdhalilisha kuwa anapokea rushwa ya wahindi
Miamala ya katuga nayo iletwe pia miamala ya wenzake iletwe ili ngowa iwe sawaHawana mamlaka hayo, walitaka kimdhalilisha kuwa anapokea rushwa ya wahindi
Wakalete miamala ya Katuga na wenzake na yako kwanza Kisha ndipo tuendeleeWe Mpumbavu Taasis yoyote ya Serikali ina uwezo wa kupata document katika bank yoyote kadri itakavyohitajika, siyo CRDB tuu hata document za TRA zinasema anamiliki magari matano mahakamani kasema mawili shahidi haaminiki.
Heche atamfungulia kesi katuga na pia heche adai miamala ya katuga toka bank..Wakili, awe wa serikali, au binafsi, ana kinga ya kuvunja sheria mbele ya Jaji?
..Nilidhani kunatakiwa walau kuwe na karipio, au kupelekwa ktk kamati ya maadili.
Kupewa pesa ukawa na msimamo wako ni kitu chema ni tofauti na Salum mwalimu na mbowe wakapewa pesa na kukosa msimamo wao, pesa ikiletwa bure chukua lakini baki na msimamo wako kibaya ni kuchukua pesa kisha kukosa msimamo kuhamia chauma na kuwa chawa na Yericko NyerereMwambieni Heche atume account nomba yake tumchangie aongeze gari lingine na wala hamna shida yoyote..
Kuwa mpizani haimaanishi ndo uwe masikini.!
Hata Raila Odinga kule kenya alikuwa mpinzani tajiri sana..
Basi kama hivyo na mahakama zetu zinaongozwa na maku na ni za kipumbavuuuu! Kwa nini hawakukataa hapo hapo!
Kifungu 70 kinahusu " powers to make regulations". Hakizungumzii taarifa za mmiliki wa account.Sheria ya Benki kuu ya Tanzania sura ya 197 kifungu cha 70.
Kuhusu kupata kibali kutoka Mahakama nna uhakika hawajapata maana lazima mmiliki wa hiyo account angejulishwa.
Hawana lolote. Wamemshindwa Heche wameanza kuforce vitu ambavyo hata mtoto mdogo hawezi kuwaelewaKwa hiyo wakati huo muamala unafanyika 2024 Lissu alikuwa ndani! Au mpaka muda huu mna ushahidi wa yeye Heche kula hela za michango ya wananchama na wafuasi wa chama, au ni muendelezo ule ule wa kuokoteza sababu zisizo na mashiko?
Na Martin Maranja Masese
Taarifa za kibenki za mteja zina ulinzi mkali wa siri za wateja, kuzingatia kanuni ya Usiri wa Kibenki (Bank Secrecy and Confidentiality Principle). Nguzo kuu inayojenga uaminifu kati ya benki na wateja.
Kisheria, taarifa za kibenki za mteja zina ulinzi mkali wa siri za wateja unaotokana na mkataba kati ya mteja na benki, Sheria ya Taasisi za Benki na Fedha, na Sheria ya Ulinzi wa Taarifa za Binafsi.
Benki inatakiwa kulinda taarifa za mteja isipokuwa katika mazingira manne pekee: (i) Compulsion of Law), (ii) Duty to the Public, (iii) Interests of the Bank, (iv) Consent of the Customer.
Wakati John Heche anatoa ushahidi wake katika kesi ya uhaini ya Jamhuri Vs. Tundu Lissu, Wakili Mkuu wa Serikali, Katuga ametoa nyaraka zake za ‘photocopy’ kuonyesha akaunti ya benki ya John Heche.
Nyaraka hizo za ‘photocopy’ zimetolewa na Wakili Mkuu wa Serikali ili kuonyesha taarifa za miamala ya John Heche mbele ya Mahakama kutoka katika akaunti yake ya Benki Na. 01522005XXX.
Nyaraka za kibenki kama zikihitajika na Mahakama, zinatakiwa kuwasilishwa Mahakamani zikiwa unauthenticated au uthibitisho wa kisheria (Bankers’ Books Evidence Act/Certified Copies).
Soma Pia: Leo tarehe 14 September, Shahidi John Heche ameshafika tayari mahakamani
Anyways, kama kuna kuvunja mkataba wa usiri wa mteja (Breach of Duty of Confidentiality), John Heche akimaliza kutoa ushahidi wake Mahakamani, ataona nini anatakiwa kufanya katika jambo hilo.
Anaweza pia kutakiwa kuweka vyanzo vya mapato kabla kushtaki bank.CRDB WATAMLIPA MABILIONI. Wala asiwachekee
We Mpumbavu Taasis yoyote ya Serikali ina uwezo wa kupata document katika bank yoyote kadri itakavyohitajika, siyo CRDB tuu hata document za TRA zinasema anamiliki magari matano mahakamani kasema mawili shahidi haaminiki.
Nacheka tena? Unajuaje kua hizo risiti zimetoka ndani ya Benki? Hamna cha privacy pale kitu kinapo hitajika..Kwamba ata USA ilibidi iwape taarifa na kuwaomba Iran kufunga akaunti zake.. Kwamba USA ilibidi ipate kibali kutoka kwa Osama kujua wapi anapata pesa...Are you serius buddy?BANKS’ DUTY OF CONFIDENTIALITY: LESSONS FROM THE PRIVY COUNCIL
Kwa sababu uko Bishweko, yale matakataka ya majani ya ndizi yaliyolegea kwa scam that has more heat than boiling water
Aaah kwani Katuga yupo hapo kama yeye au serikali?Heche atamfungulia kesi katuga ili iwe fundisho