Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
Kwani umesahau Rostam Aziz alisemaje Kuhusu hizi kangaroo court's!??Swali langu, kwann mahakama ikubali taarifa isiyofuata sheria kutumika mahakamani?

Mtuhumiwa ni nani sasa wa hizo fedha chafu! Mhaini Lissu au shahidi Heche?Kwani fedha chafu haziwezi kutumiwa katika uhaini?
Ndiyo alimuuliza maswali ya magari anayomiliki!Mkuu wakati Lisu anamuhoji heche umesahau kuwa alikuuliza mambo mengi ambayo hayahusu kesi au kwa Katuga kuhoji ndiyo umekereka ?
Mkuu mwambie polokwane kwamba evidence mahakamani lazima iangaliwe kama ni admissible..Ni lazima Jaji afanye uamuzi huo.
..hivi Muendesha Mashtaka akienda hospitali kuchukua vipimo vya mkojo wa shahidi au mtuhumiwa bila ruhusa ya mahakama itaswihi?
Polepole yuko wapi?uwazi ni jambo lenye afya kwa nchi ndugu
Waliofadhili vurugu za Mo 29Yale ni mambo ya kijinga. Halafu kesi ni ya uhaini, mawakili wanahoji majina ya shahidi, tonetone, akaunti za benki, magari anayomiliki, nk!
Ujinga mtupu.
Mkuu mwambie polokwane kwamba evidence mahakamani lazima iangaliwe kama ni admissible
Pili, ikiwa ni admissible kinachofuata ni mshatakiwa kupewa taarifa ya matumizi ya evidence hiyo
Maswali yanayobaki ni haya ; 1. Je Mahakama ilikubali risiti hizo kuwa ni admissible? 2. Heche alitaarifiwa? 3. Risiti hizo zimetoka wapi? Kama ni Bank, je kulikuwa na mazungumzo na Heche kwamba zinahitajika kisheria !
Ikiwa ni za mtandaoni, nani alifanya verification kutoka mahakamani kwamba risiti ni admissible
Mkuu kama risit inayotembea kwa mitandao ndo iliyoonyeshwa mahakamani basi hii sio bank statement hivo bank haihusiki.Na Martin Maranja Masese
Taarifa za kibenki za mteja zina ulinzi mkali wa siri za wateja, kuzingatia kanuni ya Usiri wa Kibenki (Bank Secrecy and Confidentiality Principle). Nguzo kuu inayojenga uaminifu kati ya benki na wateja.
Kisheria, taarifa za kibenki za mteja zina ulinzi mkali wa siri za wateja unaotokana na mkataba kati ya mteja na benki, Sheria ya Taasisi za Benki na Fedha, na Sheria ya Ulinzi wa Taarifa za Binafsi.
Benki inatakiwa kulinda taarifa za mteja isipokuwa katika mazingira manne pekee: (i) Compulsion of Law), (ii) Duty to the Public, (iii) Interests of the Bank, (iv) Consent of the Customer.
Wakati John Heche anatoa ushahidi wake katika kesi ya uhaini ya Jamhuri Vs. Tundu Lissu, Wakili Mkuu wa Serikali, Katuga ametoa nyaraka zake za ‘photocopy’ kuonyesha akaunti ya benki ya John Heche.
Nyaraka hizo za ‘photocopy’ zimetolewa na Wakili Mkuu wa Serikali ili kuonyesha taarifa za miamala ya John Heche mbele ya Mahakama kutoka katika akaunti yake ya Benki Na. 01522005XXX.
Nyaraka za kibenki kama zikihitajika na Mahakama, zinatakiwa kuwasilishwa Mahakamani zikiwa unauthenticated au uthibitisho wa kisheria (Bankers’ Books Evidence Act/Certified Copies).
Soma Pia: Leo tarehe 14 September, Shahidi John Heche ameshafika tayari mahakamani
Anyways, kama kuna kuvunja mkataba wa usiri wa mteja (Breach of Duty of Confidentiality), John Heche akimaliza kutoa ushahidi wake Mahakamani, ataona nini anatakiwa kufanya katika jambo hilo.
Kabisa hautakiwi kusema Dudu sema Mbooo makalio Matakoo Uke ni Kumaaa mahakamani pa ajabu sanaa kutembea naye unasema nilimtombaa yaani huwa nasoma hukumu za kubaka na kulawiti mpaka nashangaa matusi yaliyomo humo
Ahahahahaha! MnapoongeleaGA mambo ya Abduli inakuwaGA sahihi! Leo ya Heche eti Bank Principles! Ahahahahaha!!Na Martin Maranja Masese
Taarifa za kibenki za mteja zina ulinzi mkali wa siri za wateja, kuzingatia kanuni ya Usiri wa Kibenki (Bank Secrecy and Confidentiality Principle). Nguzo kuu inayojenga uaminifu kati ya benki na wateja.
Kisheria, taarifa za kibenki za mteja zina ulinzi mkali wa siri za wateja unaotokana na mkataba kati ya mteja na benki, Sheria ya Taasisi za Benki na Fedha, na Sheria ya Ulinzi wa Taarifa za Binafsi.
Benki inatakiwa kulinda taarifa za mteja isipokuwa katika mazingira manne pekee: (i) Compulsion of Law), (ii) Duty to the Public, (iii) Interests of the Bank, (iv) Consent of the Customer.
Wakati John Heche anatoa ushahidi wake katika kesi ya uhaini ya Jamhuri Vs. Tundu Lissu, Wakili Mkuu wa Serikali, Katuga ametoa nyaraka zake za ‘photocopy’ kuonyesha akaunti ya benki ya John Heche.
Nyaraka hizo za ‘photocopy’ zimetolewa na Wakili Mkuu wa Serikali ili kuonyesha taarifa za miamala ya John Heche mbele ya Mahakama kutoka katika akaunti yake ya Benki Na. 01522005XXX.
Nyaraka za kibenki kama zikihitajika na Mahakama, zinatakiwa kuwasilishwa Mahakamani zikiwa unauthenticated au uthibitisho wa kisheria (Bankers’ Books Evidence Act/Certified Copies).
Soma Pia: Leo tarehe 14 September, Shahidi John Heche ameshafika tayari mahakamani
Anyways, kama kuna kuvunja mkataba wa usiri wa mteja (Breach of Duty of Confidentiality), John Heche akimaliza kutoa ushahidi wake Mahakamani, ataona nini anatakiwa kufanya katika jambo hilo.
Muamala wa 2024 una uhusiano gani na huo ufadhili wa vurugu? Halafu wakati mnamshikilia kwa siri kule Mtumba Dodoma, huo ufadhili aliufanya wakati gani? Acheni mambo yenu ya kitoto.Waliofadhili vurugu za Mo 29
Yale ni mambo ya kijinga. Halafu kesi ni ya uhaini, mawakili wanahoji majina ya shahidi, tonetone, akaunti za benki, magari anayomiliki, nk!
Ujinga mtupu.
Hii kesi ya Lissu imenijulisha mambo mengi sana ya kisheria.Swali langu, kwann mahakama ikubali taarifa isiyofuata sheria kutumika mahakamani?
MipangoMuamala wa 2024 una uhusiano gani na huo ufadhili wa vurugu? Halafu wakati mnamshikilia kwa siri kule Mtumba Dodoma, huo ufadhili aliufanya wakati gani? Acheni mambo yenu ya kitoto.
Jamhuri (sisi) inatumia kila kitu/taarifa kilichoko mikononi mwake kuihami Jamhuri. Lengo la Jamhuri ni kutaka kuonyesha kuwa shihidi sio shahidi wa kuaminika kwakuwa ni mnufaika wa kesi. Anapata kipato kwa Lissu kuendelea kuwa gerezani, anatoa ushahidi wa uongo.Yale ni mambo ya kijinga. Halafu kesi ni ya uhaini, mawakili wanahoji majina ya shahidi, tonetone, akaunti za benki, magari anayomiliki, nk!
Ujinga mtupu.
Ni kweli mkuu, yaani baada ya kesi hii, Heche atafungua kesi mahakamani dhidi ya bank au Jamhuri kama akiona ameonewa taarifa zake kuwekwa hadharani. Lakini Jamhuri ndiyo kipaumbele na mengine yote yatafuata. Hii ni duniani kote, usifikiri hapa Marekani account yako inaweza kuingia fedha za hivihivi tu wanyamaze iwe siri yako.Hii kesi ya Lissu imenijulisha mambo mengi sana ya kisheria.
Kujibu swali lako Mbaga Jr ni hivi mahakama haizuii ushahidi wowote ambao hauna pingamizi. Hata kama umeiba ili kuleta ushahidi kwa kesi nyingine mahakama haiingilii ule wizi uliofanyika hata inajua ulilofanya ni kosa. Mahakama inaangalia kesi iliyopo mbele.
Hapo ni Heche kufungua kesi dhidi ya bank.
NB:-Tumefika pabaya sana. Akina Lema,Mbowe wanacheza na imani za imani za watu kwenye jamii.
Kwa hiyo wakati huo muamala unafanyika 2024 Lissu alikuwa ndani! Au mpaka muda huu mna ushahidi wa yeye Heche kula hela za michango ya wananchama na wafuasi wa chama, au ni muendelezo ule ule wa kuokoteza sababu zisizo na mashiko?Jamhuri (sisi) inatumia kila kitu/taarifa kilichoko mikononi mwake kuihami Jamhuri. Lengo la Jamhuri ni kutaka kuonyesha kuwa shihidi sio shahidi wa kuaminika kwakuwa ni mnufaika wa kesi. Anapata kipato kwa Lissu kuendelea kuwa gerezani, anatoa ushahidi wa uongo.
jikite kwenye madaPolepole yuko wapi?
Nakumbuka kipindi cha kufanyiwa cross examination Lisu, Katuga alitaka kutoa nyaraka za Lisu, Lisu akachachamaa akauliza nyaraka zake zimefikaje huko, na jaji naye akamaindi, Katuga akarudisha nyaraka akaendelea na swali lingine? Je, kwa Heche alitakiwa ahoji au wakili wa serikali ni haki yake kufanya hivyo? Kwenu wanasheria!Na Martin Maranja Masese