Taarifa za Heche za Benki ya CRDB zaonyeshwa hadharani Mahakamani na Wakili wa Serikali bila idhini ya mwenye Akaunti

Taarifa za Heche za Benki ya CRDB zaonyeshwa hadharani Mahakamani na Wakili wa Serikali bila idhini ya mwenye Akaunti

Swali langu, kwann mahakama ikubali taarifa isiyofuata sheria kutumika mahakamani?
Jibu la swali lako ni kuwa Mahakama haiko huru inafanya kazi kwa maelekezo ya kutoka kwa Samia. JPM alishasema kuwa katika mihimili kuna mmoja umejimbia ndani ya mihimili mingine na sababu ninkuwa huo mhimili uliojichimbia ndiyo unatoa hela kwa mihimili mingine na amlipaye mpiga zumari ndiye huchagua nyimbo. Hata King maker yule muajemi alisema kuwa mahakama zinafanya kazi kwa vimemo toka juu.
 
Attachments

  • VID-20241027-WA0006.mp4
    3 MB
Na Martin Maranja Masese

Taarifa za kibenki za mteja zina ulinzi mkali wa siri za wateja, kuzingatia kanuni ya Usiri wa Kibenki (Bank Secrecy and Confidentiality Principle). Nguzo kuu inayojenga uaminifu kati ya benki na wateja.

Kisheria, taarifa za kibenki za mteja zina ulinzi mkali wa siri za wateja unaotokana na mkataba kati ya mteja na benki, Sheria ya Taasisi za Benki na Fedha, na Sheria ya Ulinzi wa Taarifa za Binafsi.

Benki inatakiwa kulinda taarifa za mteja isipokuwa katika mazingira manne pekee: (i) Compulsion of Law), (ii) Duty to the Public, (iii) Interests of the Bank, (iv) Consent of the Customer.

Wakati John Heche anatoa ushahidi wake katika kesi ya uhaini ya Jamhuri Vs. Tundu Lissu, Wakili Mkuu wa Serikali, Katuga ametoa nyaraka zake za ‘photocopy’ kuonyesha akaunti ya benki ya John Heche.

Nyaraka hizo za ‘photocopy’ zimetolewa na Wakili Mkuu wa Serikali ili kuonyesha taarifa za miamala ya John Heche mbele ya Mahakama kutoka katika akaunti yake ya Benki Na. 01522005XXX.

Nyaraka za kibenki kama zikihitajika na Mahakama, zinatakiwa kuwasilishwa Mahakamani zikiwa unauthenticated au uthibitisho wa kisheria (Bankers’ Books Evidence Act/Certified Copies).

Soma Pia: Leo tarehe 14 September, Shahidi John Heche ameshafika tayari mahakamani

Anyways, kama kuna kuvunja mkataba wa usiri wa mteja (Breach of Duty of Confidentiality), John Heche akimaliza kutoa ushahidi wake Mahakamani, ataona nini anatakiwa kufanya katika jambo hilo.
Kwanini na yeye alikubali kuulizwa toka kwenye hiyo document, yeye angesema hiyo imechelewa. Sio ya kwake.mpaka atakapo9ngea na uongozi wa benki husika
 
Unamsemea?
Ulisikia anakanusha hamjui aliyemwekea mzigo!
ndio nilimsikia au wewe hukuelewa alivyosema hamfahamu. kitu alichokubali ni kuufahamu muamala wa mtu huyo na ndio mantiki ya comment yangu.
wewe ukinitumia hela nitakufahamu wewe ni nani au nitaufahamu muamalacwako?
 
Hapo Katuga keshamaliza. Kawachonganisha mwendelee kuzungusha maneno. Nje ya Mahakama anamfahamu na ndiko atakojibia kutoka kwa Wachaga ambao aliwapiga mgao.
 
Na Martin Maranja Masese

Taarifa za kibenki za mteja zina ulinzi mkali wa siri za wateja, kuzingatia kanuni ya Usiri wa Kibenki (Bank Secrecy and Confidentiality Principle). Nguzo kuu inayojenga uaminifu kati ya benki na wateja.

Kisheria, taarifa za kibenki za mteja zina ulinzi mkali wa siri za wateja unaotokana na mkataba kati ya mteja na benki, Sheria ya Taasisi za Benki na Fedha, na Sheria ya Ulinzi wa Taarifa za Binafsi.

Benki inatakiwa kulinda taarifa za mteja isipokuwa katika mazingira manne pekee: (i) Compulsion of Law),
Kilichofanyika ndio hiyo matumizi ya taarifa binafsi for the compulsion of the law, haihitaji consent of the account holder!.

Kwa taarifa yako, kwa sababu za kiusalama kila bank manager has a duty of care to report to FIU ya BOT, miamala yote above 10m inayoingizwa kwenye account za wateja bila maelezo ya kutosha ili kubaini money laundering. Taarifa hizo zinafanyika bila idhini ya account holder!.

FIU wakiwa na mashaka na miamala hiyo, wanaripoti kwa DCI akufanyie uchunguzi wa source ya hiyo miamala yenye mashaka, kama ni fedha safi, na wewe recipient utoe maelezo ni fedha za shughuli gani?.
Ukishindwa kutoa maelezo ya kuridhisha, DCI anakabidhi file lako kwa DPP unafunguliwa money laundering case, fedha zinataifishwa!

Yule wakili Medium Mwale wa Arusha, aliingiziwa billions of dollars bila maelezo, alipoulizwa fedha ni za nani na za nini, aligoma kutoa ushirikiano, kwasababu mawakili tuna kinga ya disclosure ya wateja wetu ni nani na fedha ni za nini, Wakili huyo alikaa mahabusu Kisongo kwa miaka 8, mpaka alipokubaliana na DPP na kufanya plea bargain kukubali kosa, wakagawana hizo pesa, ndipo akaachiwa.

Hivyo bank inaruhusiwa kutoa miamala ya wateja wake kwa matumizi ya kisheria, kilicho fanyika mahamani ni hicho.

Kitu ambacho hakiruhusiwi kufanyika ni mwenye taarifa hizo za miamala, haruhusiwi kuzisambaza wala kuzichapisha.

Kuchapisha taarifa za miamala ya mteja bila idhini ya mteja ni kosa la jinai, benki kutoa taarifa za miamala ya mteja kwa mtu mwingine yeyote bila idhini ya mteja ni kosa la jinai, bank inashitakiwa.

Miaka ya nyuma, gazeti la Mtanzania lilichapisha taarifa ya miamala ya NBC ya Mfanyabiasha mmoja tajiri aliyekuwa anamwaga misaada kuonyeshea utajiri kumbe anadaiwa na benki ya NBC, miamala ya madeni ikamwaga hadharani!. Tajiri alikasirika, akaishitaki benki ya NBC kwa kutoa taarifa zake na kulishitaki gazeti la Mtanzania kwa kumchafua. Kwa kadri kesi ilivyokuwa inaunguruma tajiri anazidi kuchafuka, akaamua kuliko kuendelea kuchafuka, bora aifute kesi!.

Hili la watu kusambaza taarifa za siri za nchi au za watu, niliwahi kulizungumzia na kuliandika humu, https://www.jamiiforums.com/threads...a-wametoa-siri-wakamatwe-washitakiwe.1219927/

Na tulipochafuliwa Twitter pia nilikemea https://www.jamiiforums.com/threads...una-mambo-machafu-yanayoendelea-huko.1740009/
View: https://youtu.be/-sr2_3bIHSo?si=kQAEFbOw8vU4ex4x

Hili la ku disclose miamala ya benki ya accounts binafsi za watu nililikemea humu https://www.jamiiforums.com/threads...at-are-the-chances-kwa-wasiojulikana.2349110/

Mzee Pasco
 
Na Martin Maranja Masese

Taarifa za kibenki za mteja zina ulinzi mkali wa siri za wateja, kuzingatia kanuni ya Usiri wa Kibenki (Bank Secrecy and Confidentiality Principle). Nguzo kuu inayojenga uaminifu kati ya benki na wateja.

Kisheria, taarifa za kibenki za mteja zina ulinzi mkali wa siri za wateja unaotokana na mkataba kati ya mteja na benki, Sheria ya Taasisi za Benki na Fedha, na Sheria ya Ulinzi wa Taarifa za Binafsi.

Benki inatakiwa kulinda taarifa za mteja isipokuwa katika mazingira manne pekee: (i) Compulsion of Law), (ii) Duty to the Public, (iii) Interests of the Bank, (iv) Consent of the Customer.

Wakati John Heche anatoa ushahidi wake katika kesi ya uhaini ya Jamhuri Vs. Tundu Lissu, Wakili Mkuu wa Serikali, Katuga ametoa nyaraka zake za ‘photocopy’ kuonyesha akaunti ya benki ya John Heche.

Nyaraka hizo za ‘photocopy’ zimetolewa na Wakili Mkuu wa Serikali ili kuonyesha taarifa za miamala ya John Heche mbele ya Mahakama kutoka katika akaunti yake ya Benki Na. 01522005XXX.

Nyaraka za kibenki kama zikihitajika na Mahakama, zinatakiwa kuwasilishwa Mahakamani zikiwa unauthenticated au uthibitisho wa kisheria (Bankers’ Books Evidence Act/Certified Copies).

Soma Pia: Leo tarehe 14 September, Shahidi John Heche ameshafika tayari mahakamani

Anyways, kama kuna kuvunja mkataba wa usiri wa mteja (Breach of Duty of Confidentiality), John Heche akimaliza kutoa ushahidi wake Mahakamani, ataona nini anatakiwa kufanya katika jambo hilo.
Mahakamaccm kupokea vitu kama hivyo ndipo wakiliccm katuga kadhihirisha kuwa bank wanajuuta kumpa taarifa na hiyo itampa fursa heche ya kumfungulia kesi binafsi katuga
 
Wale maishaidi wa siri mmesahau tena mvilivyojenga vipanda vya Chipsi mahakamani kisa kuficha shaidi kesi ya Lissu vibanda vya njiwa mnataka kuua watu kwa kuwaweka kwenye vibanda vya njiwa na kukosa hewa
Miamala ya katuga nayo iletwe mahakamani
 
Back
Top Bottom