Taarifa za Heche za Benki ya CRDB zaonyeshwa hadharani Mahakamani na Wakili wa Serikali bila idhini ya mwenye Akaunti

Taarifa za Heche za Benki ya CRDB zaonyeshwa hadharani Mahakamani na Wakili wa Serikali bila idhini ya mwenye Akaunti

Kuna kitu watu hawajakiona...

Hiyo risiti ya muamala ni ya mwaka 2024, kabla Heche hajawa makamu mwenyekiti...

Katuga ameileta...anajua itatumika na CCM kumshambulia Heche kwamba anakula michango ya tone tone..

Kauliza gari Prado...Heche aliagiza November 2024, lakini swali linalenga kuonyesha amenunua mwaka huu baada ya michango..

Lengo la Katuga ni kuuliza vitu personal..ili watu wajue kwamba ana neemeka na michango
Sahihi,
Watu hawajui Heche anafuga mifugo mingi..analima... Ana kampuni..
Na pia alishakuwa mbunge kabla
 
kuhusu ufisadi wa pesa za tone tone sio gentleman?

hizo si pesa za wanachama wa chadema ambazo walichanga hadharani? iweje matumizi binafsi ya heche wakati wa kufuja pesa hizo iwe siri?

nadhani ni sahihi 100% mambo yawe hadharani tu.
heche alitoa akaunti yake binafsi badala ya ile ya chama kujipatia michango ya tonetone amabzo hajaziwasilisha kwenye chama na kwahivyo ni vizuri kuweka wazi ilikuaje :1Head:
Yanahusiana vipi na mambo ya uhain WA lissu? Hao wanachana waambie wafungue case mahakamani kudai michango na sio kuingiza kwa lissu
 
Inafanyika kila namna kuimaliza CHADEMA...
Wana Chadema wapo kwenye mapambano makali sana..
Na kawaida kwenye harakati kama hizi tegemea usaliti, kuwa dis appointed , kuuawa, kufungwa jela... pengine hata kugombana ninyi kwa ninyi... inabidi kujifunga mkanda.. Inabidi kupambana kweli kweli...
Hili liko wazi, nashangaa wanaoshangaa hizi sarakasi.
 
Hawawezi kumlipia kwa sababu Hana ushahidi kama zimetolewa na Benk au nawakala,au mtu aliye ziingiza ma je ni Risiti halisi au copy. Mnivigumu sana kuwashitaki.sema kikubwa Bank inaweza kupoteza wateja kwa kuhisi kuwa Siri za account zao zinaweza kufikiwa kirahisi. Ila Huwa ni jambo la kawaida taasisi za serikali kukagua account za watu na kuchukua atua pale mtu anapoonekana amevunja Sheria za nchi na mara nyingi TRA Huwa wanafunga account za wafanya Biashara nakuchukua fedha zilizopo kwenye Account zako kama wanakudai hata bila kukutaarifu.unakwenda beki kutoa pesa unakuta wazee wakazi wamekomba pesa zote.
Whoever, provided ni document ya CRDB.
 
Yanahusiana vipi na mambo ya uhain WA lissu? Hao wanachana waambie wafungue case mahakamani kudai michango na sio kuingiza kwa lissu
kwani kutibua minywele kama mwendawazimu, kupiga mayowe na kurusha mikono hewani mahakamani kuna uhusiano wowote na uhani? 🐒
 
Mimi swali langu ni kwamba Heche alikuwa chini ya kiapo mbona amedanganya mahakama kwamba ana magari mawili lakini taarifa zikatolewa ana magari matano , kulikuwa na sababu gani ya kuongea uongo? Hii itapelekea ushahidi wake kupuuzwa
 
Kesi ya uhaini
Maswali ya trekta , crown
Maswali ya unalala wapi ukienda dubai
Maswali ya passport ulirudishiwaje
Ni kumkamata mtu muongo …msiwe upande mmoja mbona Lissu alikuwa anauliza maswali personal ya namna hii mkakaa kimya?
 
Nyie mkipataga siri za serikali mnajiona wajanja wengine wakipata siri zenu mnageuka mbogo. Huyo ni kiongozi wa chama cha siasa taarifa zake za fedha kuwa wazi siyo jambo la ajabu. Acheni mihemko
Siku akanti za Uswizi za Samia na washirika wake zikiwekwa wazi msianze kusema wanaingilia siri za watu.
 
Hawawezi kumlipia kwa sababu Hana ushahidi kama zimetolewa na Benk au nawakala,au mtu aliye ziingiza ma je ni Risiti halisi au copy. Mnivigumu sana kuwashitaki.sema kikubwa Bank inaweza kupoteza wateja kwa kuhisi kuwa Siri za account zao zinaweza kufikiwa kirahisi. Ila Huwa ni jambo la kawaida taasisi za serikali kukagua account za watu na kuchukua atua pale mtu anapoonekana amevunja Sheria za nchi na mara nyingi TRA Huwa wanafunga account za wafanya Biashara nakuchukua fedha zilizopo kwenye Account zako kama wanakudai hata bila kukutaarifu.unakwenda beki kutoa pesa unakuta wazee wakazi wamekomba pesa zote.
Hana ushahidi 😁,bora ungekaa kimya kuliko kuonyesha usivyoelewa sheria
 
Kama ilikua Part of Evidence haina shida Mahakamani hakunaga Siri ni sehemu ambayo mambo huelezwa bayana Heche is notorious Criminal anasema 30m kwenye account yake hajui aliyeweka?😁
Heche sio mtuhumiwa ni shahidi. Iweje mambo yake binafsi yavujishwe wakati hayana uhusiano na kesi husika. Ifahamiketa taarifa za kibenki zinalindwa kisheria na sio jambo jepesi hivyo. Hapo inaonyesha Jamuhuri imeshindwa kesi, sasa wanafanya hujuma. Wateja wengine tuna uhakika gani na usiri wa taarifa zetu. Je mawakili wa Lisu wanaweza kwenda kuchukua taarifa za fedha za CDF na IGP huko bank na wakapewa kwa ajili ya kuulizwa maswali na Lisu?
 
We Mpumbavu Taasis yoyote ya Serikali ina uwezo wa kupata document katika bank yoyote kadri itakavyohitajika, siyo CRDB tuu hata document za TRA zinasema anamiliki magari matano mahakamani kasema mawili shahidi haaminiki.
Kupata document na kuziweke hadharani ni mambo mawili tofauti. Isitoshe Heche sio mtuhumiwa. Je Katuga kazipata hizo taarifa kisheria? Na kama ni kisheria itaje.
 
Kuna documents ngapi za watu CHADEMA huwa wanazivujisha zikiwemo hizo za benki? Imekuwa zamu yao sasa ni kilio.
 
Back
Top Bottom