Hawana mamlaka hayo, walitaka kimdhalilisha kuwa anapokea rushwa ya wahindi
..Wakili, awe wa serikali, au binafsi, ana kinga ya kuvunja sheria mbele ya Jaji?
..Nilidhani kunatakiwa walau kuwe na karipio, au kupelekwa ktk kamati ya maadili.
Hawana mamlaka hayo, walitaka kimdhalilisha kuwa anapokea rushwa ya wahindi
Ignored.ila ni kesi ya kutibua minywele, kupiga mayowe na kurusha mikono hewani mahakamani right?![]()
Kilichomponza Heche ni kusema uongo kuwa eti hamfahamu SalmanNa Martin Maranja Masese
Taarifa za kibenki za mteja zina ulinzi mkali wa siri za wateja, kuzingatia kanuni ya Usiri wa Kibenki (Bank Secrecy and Confidentiality Principle). Nguzo kuu inayojenga uaminifu kati ya benki na wateja.
Kisheria, taarifa za kibenki za mteja zina ulinzi mkali wa siri za wateja unaotokana na mkataba kati ya mteja na benki, Sheria ya Taasisi za Benki na Fedha, na Sheria ya Ulinzi wa Taarifa za Binafsi.
Benki inatakiwa kulinda taarifa za mteja isipokuwa katika mazingira manne pekee: (i) Compulsion of Law), (ii) Duty to the Public, (iii) Interests of the Bank, (iv) Consent of the Customer.
Wakati John Heche anatoa ushahidi wake katika kesi ya uhaini ya Jamhuri Vs. Tundu Lissu, Wakili Mkuu wa Serikali, Katuga ametoa nyaraka zake za ‘photocopy’ kuonyesha akaunti ya benki ya John Heche.
Nyaraka hizo za ‘photocopy’ zimetolewa na Wakili Mkuu wa Serikali ili kuonyesha taarifa za miamala ya John Heche mbele ya Mahakama kutoka katika akaunti yake ya Benki Na. 01522005XXX.
Nyaraka za kibenki kama zikihitajika na Mahakama, zinatakiwa kuwasilishwa Mahakamani zikiwa unauthenticated au uthibitisho wa kisheria (Bankers’ Books Evidence Act/Certified Copies).
Anyways, kama kuna kuvunja mkataba wa usiri wa mteja (Breach of Duty of Confidentiality), John Heche akimaliza kutoa ushahidi wake Mahakamani, ataona nini anatakiwa kufanya katika jambo hilo.
Wana sheria yao inajitegemeaWale maishaidi wa siri mmesahau tena mvilivyojenga vipanda vya Chipsi mahakamani kisa kuficha shaidi kesi ya Lissu vibanda vya njiwa mnataka kuua watu kwa kuwaweka kwenye vibanda vya njiwa na kukosa hewa
Huo ujinga ndio utakaomkosesha confidence HecheYale ni mambo ya kijinga. Halafu kesi ni ya uhaini, mawakili wanahoji majina ya shahidi, tonetone, akaunti za benki, magari anayomiliki, nk!
Ujinga mtupu.
Uzi ufungwe.Kila general rule ina exceptions.
Document iliyoletwa mahakamani siyo kutoka bank ni mtu aliyemuwekea pesa bank ndiyo kawapa mawakili na nyingine imesqmbazwq mtandaoni ! Documents ya bank ni statements iliwa na seal ya bankNa Martin Maranja Masese
Taarifa za kibenki za mteja zina ulinzi mkali wa siri za wateja, kuzingatia kanuni ya Usiri wa Kibenki (Bank Secrecy and Confidentiality Principle). Nguzo kuu inayojenga uaminifu kati ya benki na wateja.
Kisheria, taarifa za kibenki za mteja zina ulinzi mkali wa siri za wateja unaotokana na mkataba kati ya mteja na benki, Sheria ya Taasisi za Benki na Fedha, na Sheria ya Ulinzi wa Taarifa za Binafsi.
Benki inatakiwa kulinda taarifa za mteja isipokuwa katika mazingira manne pekee: (i) Compulsion of Law), (ii) Duty to the Public, (iii) Interests of the Bank, (iv) Consent of the Customer.
Wakati John Heche anatoa ushahidi wake katika kesi ya uhaini ya Jamhuri Vs. Tundu Lissu, Wakili Mkuu wa Serikali, Katuga ametoa nyaraka zake za ‘photocopy’ kuonyesha akaunti ya benki ya John Heche.
Nyaraka hizo za ‘photocopy’ zimetolewa na Wakili Mkuu wa Serikali ili kuonyesha taarifa za miamala ya John Heche mbele ya Mahakama kutoka katika akaunti yake ya Benki Na. 01522005XXX.
Nyaraka za kibenki kama zikihitajika na Mahakama, zinatakiwa kuwasilishwa Mahakamani zikiwa unauthenticated au uthibitisho wa kisheria (Bankers’ Books Evidence Act/Certified Copies).
Anyways, kama kuna kuvunja mkataba wa usiri wa mteja (Breach of Duty of Confidentiality), John Heche akimaliza kutoa ushahidi wake Mahakamani, ataona nini anatakiwa kufanya katika jambo hilo.
Utanilazimisha kumjua mtu.Kilichomponza Heche ni kusema uongo kuwa eti hamfahamu Salman
We Mpumbavu Taasis yoyote ya Serikali ina uwezo wa kupata document katika bank yoyote kadri itakavyohitajika, siyo CRDB tuu hata document za TRA zinasema anamiliki magari matano mahakamani kasema mawili shahidi haaminiki.
Iliwashinda kampeni ya kuwasusa wasanii....CRDB wajinga sana, halafu kuna namna wamefungamana na hao waovu.Ni wa kuwahama tu,ifanyike kampeni hiyo.
Mkuu wakati Lisu anamuhoji heche umesahau kuwa alikuuliza mambo mengi ambayo hayahusu kesi au kwa Katuga kuhoji ndiyo umekereka ?Yale ni mambo ya kijinga. Halafu kesi ni ya uhaini, mawakili wanahoji majina ya shahidi, tonetone, akaunti za benki, magari anayomiliki, nk!
Ujinga mtupu.
Ameulizwa magari ya bei mbaya ndio kasema ni mawili.We Mpumbavu Taasis yoyote ya Serikali ina uwezo wa kupata document katika bank yoyote kadri itakavyohitajika, siyo CRDB tuu hata document za TRA zinasema anamiliki magari matano mahakamani kasema mawili shahidi haaminiki.
Kampeni za kususia huduma hazijawahi kufanikiwa tzCRDB wajinga sana, halafu kuna namna wamefungamana na hao waovu.Ni wa kuwahama tu,ifanyike kampeni hiyo.
Document iliyoletwa mahakamani siyo kutoka bank ni mtu aliyemuwekea pesa bank ndiyo kawapa mawakili na nyingine imesqmbazwq mtandaoni ! Documents ya bank ni statements iliwa na seal ya bank
We si uliona walibeba mpaka issue ya Ishengoma.Ni feki na huko Instagram, FB, X na mitandao mingine risiti mbili zinazagaa Moja ya ni ya ingizo la TZS 10,000,000/= na nyingine ni ya ingizo la TZS 20,000,000/=
Lakini za kule mitandaoni, waungwana walishathibutisha pasipo shaka kuwa ni feki, sio halisi..
Na kama ndizo ambazo Katuga kuzitumia mahakamani, basi iko shida mahali kwa Jamhuri
Na kuwa sasa ni wazi kabisa hii kesi imewalemea kiasi kwamba wako so desperate kutafuta hata milango isiyo rasmi kwa kuvunja sheria ili tu ku - justify kuwa bado wamo wamo..
Wewe ulituma shilingi ngapi??kuhusu ufisadi wa pesa za tone tone sio gentleman?
hizo si pesa za wanachama wa chadema ambazo walichanga hadharani? iweje matumizi binafsi ya heche wakati wa kufuja pesa hizo iwe siri?
nadhani ni sahihi 100% mambo yawe hadharani tu.
heche alitoa akaunti yake binafsi badala ya ile ya chama kujipatia michango ya tonetone amabzo hajaziwasilisha kwenye chama na kwahivyo ni vizuri kuweka wazi ilikuaje![]()
Kama hilo ndilo lengo lenu basi mmeshindwa, nyaraka anazozitumia Katunga tangu juzi zipo mitandaoni.Huo ujinga ndio utakaomkosesha confidence Heche