Taarifa za Heche za Benki ya CRDB zaonyeshwa hadharani Mahakamani na Wakili wa Serikali bila idhini ya mwenye Akaunti

Kilichomponza Heche ni kusema uongo kuwa eti hamfahamu Salman
 
Ni feki na huko Instagram, FB, X na mitandao mingine risiti mbili zinazagaa Moja ya ni ya ingizo la TZS 10,000,000/= na nyingine ni ya ingizo la TZS 20,000,000/= katika Akaunti ya John Heche..

Lakini za kule mitandaoni, waungwana walishathibitisha pasipo shaka kuwa ni feki, sio halisi..

Na kama ndizo ambazo Katuga kuzitumia mahakamani, basi iko shida mahali kwa Jamhuri

Na kuwa sasa ni wazi kabisa hii kesi imewalemea kiasi kwamba wako so desperate kutafuta hata milango isiyo rasmi kwa kuvunja sheria ili tu ku - justify kuwa bado wamo wamo..

By the way, mtu yeyote anaweza kuingiza pesa kwenye Akaunti ya Benki ya mtu binafsi hata bila ridhaa ya mwenye Akaunti..

Kuna mawili:
MOSI; Mwenye Akaunti anaweza ku notice muamala usiojulikana umetoka wapi, akatoa taarifa Benki na Benki wanajua cha kufanya..

MBILI; Unaweza ku cool tu lakini bila kuzitumia hizo pesa mpaka aliyekosea ajue mwenyewe, akatoa taarifa Benki na hapa pia Benki inajua cha kufanya...

Kama kweli John Heche hajui ni nani aliingiza pesa hizo ktk Akaunti yake, then at the right time, ataeleza alichukua hatua gani dhidi ya pesa hizo..

#All in all, ukweli unabaki kuwa hiyo ni Personal Bank Account ya John Heche. Chochote au chochote kinachohusu Bank Account ya mtu ni ya mambo yake binafsi unless atokee mtu kulalamika ameibiwa pesa na zikaingia kwenye Akaunti binafsi ya mtu huyo..

As far as we know, John Heche hajawahi kulalamikiwa na mtu yeyote kuhusu mis deposit pesa yake..!
 
Document iliyoletwa mahakamani siyo kutoka bank ni mtu aliyemuwekea pesa bank ndiyo kawapa mawakili na nyingine imesqmbazwq mtandaoni ! Documents ya bank ni statements iliwa na seal ya bank
 
We Mpumbavu Taasis yoyote ya Serikali ina uwezo wa kupata document katika bank yoyote kadri itakavyohitajika, siyo CRDB tuu hata document za TRA zinasema anamiliki magari matano mahakamani kasema mawili shahidi haaminiki.

..kwa hiyo kama ana vimada anatakiwa aeleze ni wangapi kwasababu kaulizwa mahakamani kwenye kesi ya uhaini?
 
Document iliyoletwa mahakamani siyo kutoka bank ni mtu aliyemuwekea pesa bank ndiyo kawapa mawakili na nyingine imesqmbazwq mtandaoni ! Documents ya bank ni statements iliwa na seal ya bank

..sasa huo ni upumbavu.

..kwa hiyo Katuga kachukua document kwenye mtandao kaenda nayo mahakamani?

..si afadhali angechukua taarifa za benki hata kwa kuvunja sheria lakini zijulikane ni taarifa za uhakika.
 
We si uliona walibeba mpaka issue ya Ishengoma.
 
Wewe ulituma shilingi ngapi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…