Taarifa za kuaminika toka ndani zinadai kwamba miongoni mwa majina yalikua shortlisted kwa ajili ya Kurugenzi ya Habari ni pamoja na;

PendoLyimo

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2014
Posts
969
Reaction score
1,055
Taarifa za kuaminika toka ndani ya CC ya Chadema zinadai kwamba miongoni mwa majina yalikua shortlisted kwa ajili ya Kurugenzi ya Habari ni pamoja na;

1. Gervas Lyenda
2. Liberatus Mwang’ombe

Na kwamba Terms of Reference (ToRs) zilikua pamoja na mambo mengine Candidate wa nafasi hiyo ya Ukurugenzi awe na sifa za jumla zifuatazo;

1. Mwanachama na Pro Supporter wa Uongozi wa sasa asiyeweza kutiliwa shaka.

2. Awe na elimu na uzoefu katika eneo la Habari/Tech/Mawasiliano ya kimakakati ya Chama

3. Awe ni mtu aliyejijenga katika mitandao ya kijamii hususani ile ambayo kwa nyakati tofauti imekua nguzo ya kisiasa ya Chama kama X na JF

Ila ghafla bin VUU Mwenyekiti akaibuka na jina la Bibie pichani….Akili Mtu wangu
IMG-20250314-WA0173.jpg
 
Taarifa za kuaminika toka ndani ya CC ya Chadema zinadai kwamba miongoni mwa majina yalikua shortlisted kwa ajili ya Kurugenzi ya Habari ni pamoja na;

1. Gervas Lyenda
2. Liberatus Mwang’ombe

Na kwamba Terms of Reference (ToRs) zilikua pamoja na mambo mengine Candidate wa nafasi hiyo ya Ukurugenzi awe na sifa za jumla zifuatazo;

1. Mwanachama na Pro Supporter wa Uongozi wa sasa asiyeweza kutiliwa shaka.

2. Awe na elimu na uzoefu katika eneo la Habari/Tech/Mawasiliano ya kimakakati ya Chama

3. Awe ni mtu aliyejijenga katika mitandao ya kijamii hususani ile ambayo kwa nyakati tofauti imekua nguzo ya kisiasa ya Chama kama X na JF

Ila ghafla bin VUU Mwenyekiti akaibuka na jina la Bibie pichani….Akili Mtu wanguView attachment 3270195
Mambo ya NGOSWE KUITWA NGOSWE muachie NGOSWE MWENYEWE 😂
 
Kwani yeye mwenyekiti anasemaje kabla na baada ya tukio?
 
Lyenda alikuwa mtu sahihi anajua vizuri propaganda
 
Back
Top Bottom