Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah nimepata, well done Zakaria , hakuna kupepesa machoTupe taarifa hans kasemaje?
Nikisema jambo huwa nakuwa na Uhakika nalo. Ndiye anayetuhujumu tukicheza na Yanga SC halafu anajifanya anawaponda sana Yanga ili Kutuzuga.Krav Maga kiongozi uliona mbali sana.! Haji ni kirusi pale Simba, amejiona mkubwa kuliko yoyote yule.
Haya hayaMsemaji wa Simba SC Haji Manara binafsi nakuheshimu mno na nisiwe pia Mchoyo wa Kukusifia na Kukupongeza kuwa ndani ya Klabu ya Simba nawe umeweka Alama yako ya Mchango wako mkubwa wa Kuitangaza vyema Simba SC na kuwa Brand hivi ilivyo sasa.
Hata hivyo Msemaji wa Simba SC Haji Manara leo nitaomba Unisamehe kwa Kuyasema haya Kwako ambayo najua hutoamini Krav Maga Mimi nimeyajuaje ila nikuambie tu nimeyapata kutoka kwa Watu wako wa karibu kutoka Mikocheni unakoishi, Kwenu Ilala na Maskani yako ya Buguruni na kwa Mru Mmoja muhimu ndani ya Klabu ya Simba.
Msemaji wa Simba SC Haji Manara mara nyingi Simba SC ikicheza na Yanga SC kwa Mapenzi makubwa uliyonayo kwa Baba yako Mzazi huwa unapenyeza Taarifa Nyeti za Kambi ya Simba SC hasa zile za Kamati za Ufundi/ Utamaduni kwa Yanga SC.
Msemaji wa Simba SC Haji Manara imenibidi leo tena nirejee Moja ya Interviews zako ulizofanya na EFM Radio ambapo kwa Kinywa chako ulishawahi Kukiri kuwa kamwe Simba SC haiwezi Kukufanya ukaacha kuwa na ukaribu na uliowaita Matajiri na Marafiki zako Wakubwa akina Gharib Said Mohammed (GSM), Injinia Hersi Said na wengineo ndani ya Yanga SC.
Msemaji wa Simba SC Haji Manara najua kwa Siku nyingi sana umekuwa ukikalia Kuti Kavu ndani ya Simba SC kwa tabia zako zilizochokwa japo unavumiliwa na Kukingiwa Kifua na Mshkaji wako Mwekezaji na Tajiri Mo Dewji na kwamba Jeuri ya Kukubalika na Watu wa Azam mpaka kuwa Balozi wa Products zao na Ahadi ya GSM kukupa Mkataba mnono kumekufanya ujawe na Kiburi huku ukitafuta Makosa kwa Makusudi ili utimuliwe Klabuni Simba.
Msemaji wa Simba SC Haji Manara hata ile Press Conferences yako ya juzi tu ambayo uliiharibu kwa Upuuzi wako dhidi ya Mwandishi wa Kike wa Habari za Michezo wa Clouds FM Prisca Kishamba ulidhamiria ulichokifanya ili tu Klabu ya Simba ikufukuze uende huko ambako unahitajika Kibishara ila nasikitika Uongozi wa Simba SC haujalijua hili na bado tu wanaendelea Kukukumbatia huku ukiihujumu katika Mechi zake na Yanga SC.
Msemaji wa Simba SC Haji Manara hakuna Kitu kilichoniuma na kunipandisha Hasira zangu Krav Maga leo kama Kitendo chako cha Kupenyeza Taarifa Nyeti ya Jambo la Kiufundi / Kiutamaduni ambalo Simba SC ililifanya pale Uwanjani kwa Mkapa mpaka Yanga SC kupitia Wachezaji wake wakakikwepa na kupitia Mlango mwingine kabisa hivyo Kutuharibia Mipango yetu yote.
Msemaji wa Simba SC Haji Manara binafsi ningeshangaa sana kwa Fadhila ambazo GSM wanakupa tokea Siku yako ile ya Harusi na Mkeo ambaye ni mwana Yanga SC lia lia kama alivyo Baba yako Mzazi kama nawe leo hii usingewapa Ushirikiano wako wa Kuisaliti Simba SC kwa kuwapa Taarifa / Siri za Kambi.
Uongozi wa Simba SC tafadhalini achaneni upesi sana na Msemaji Haji Manara vinginevyo Matokeo mabaya dhidi ya Yanga SC mtaendelea kuyapata kwani huyu Msemaji wenu / wetu ndiyo Mvujishaji Mkuu wa Taarifa zetu nyingi za Siri ya Kambi kwa Yanga SC ili amfurahishe Baba yake Mzazi na Mkewe na mkiudharau huu Ushauri wangu ipo Siku tu mtakuja Kunikumbuka Krav Maga hapa Mtandaoni JamiiForums.
Kwa wale ambao labda watashangaa ni kwanini Krav Maga nazungumzia sana Fitna za Mambo ya Kiufundi ule wa Kiutamaduni ni kwamba 55% ya Mechi za Simba na Yanga huwa ni Utamaduni wa Mwafrika, 30% ni Kuhonga Wachezaji wa Timu Pinzani au Waamuzi na 15% tu ni Jitihada za Wachezaji ndani ya Uwanja.
Na wala simsemi hapa Msemaji wa Simba SC Haji Manara labda nikimaanisha kuwa Simba SC ni Timu Jabali isiyoweza Kufungwa na Yanga SC ila haingii Akilini Timu ina ball possession ya 70% hadi 75% huku Wachezaji wakikosa Magoli ya Wazi na Mipira mingine unaona imepigwa Golini na inaenda Kuingia mara ghafla mpira unabadili mwelekeo wake na kutoka nje kidogo tu ya Goli halafu usiseme kuwa kuna Mkono wa Mtu hasa Kiutamaduni.
Simba SC mtimueni Haji Manara haraka.
Dah nimepata, well done Zakaria , hakuna kupepesa macho
Msemaji wa Simba SC Haji Manara binafsi nakuheshimu mno na nisiwe pia Mchoyo wa Kukusifia na Kukupongeza kuwa ndani ya Klabu ya Simba nawe umeweka Alama yako ya Mchango wako mkubwa wa Kuitangaza vyema Simba SC na kuwa Brand hivi ilivyo sasa.

Haji asikilize hii clip aombe msamaha then ajiuzuru. Jamaa limeongea kiutu uzima sana
Endeleeni Kunidharau na Kunipuuza ila sijawa Gifted Intellectually, Knowledgeable, Challenger and Well Informed hivi kwa bahati mbaya.Duuh huu uzi niliupotezea kumbe una madini sana. There is no useless post in JF
Si kweli Ndugu bali ni Msaliti mkubwa.hii dunia hii, ukute manara nae alitaka papuchi ya boss ndio mana wanakwaruzana kama mamwewe
Tegemeeni Breaking News juu ya hili kati ya Jumatano na Ijumaa ijayo ila tambueni tu kuwa ameshajiondoa rasmi Simba SC kama Club Spokesperson.Mo fukuza manara uyo
Anachokifanya ni Kuisaliti Simba SC kwa Yanga SC hasa katika Mechi za Ligi Kuu kwa Malipo makubwa tu anayopewa huko na GSM kisha huku katika Michuano ya ASFC anatupooza ili kuwe na Mizania.Wamfinye kabisa hawez akauza siri za kambi kwa wapinzani
Akiendelea kuwa msemaji wa simba nitakuwa sina furaha na timu yangu tena!!. , kwanza ana majivuno ya kijinga na ya kitoto sanaAnachokifanya ni Kuisaliti Simba SC kwa Yanga SC hasa katika Mechi za Ligi Kuu kwa Malipo makubwa tu anayopewa huko na GSM kisha huku katika Michuano ya ASFC anatupooza ili kuwe na Mizania.
Hata hii Mechi kuna Usaliti alikuwa anaanza Kuufanya dhidi ya Simba SC ila kwakuwa Watu wa Simba SC walishamshtukia mapema na huenda huu Uzi wangu umewasaidia walimuwekea Mtego kupitia Simu na Gari yake bila Yeye kujua na Juzi Kakamatika patamu.
Tambua si tena Club Spokesperson na Fainali ya ASFC ikimalizika tu Bodi ya Simba SC itakaa, kumfuta Kazi rasmi ( Officially ) na kuna Watu Wawili kati ya Gift Macha ( wa Mwananchi ) au Fatma Abdallah ( wa Azam Media ) au tofauti na hawa Watakaimu huku Mchakato Kamili wa Kuajiriwa Msemaji mpya wa Klabu ukianza.Akiendelea kuwa msemaji wa simba nitakuwa sina furaha na timu yangu tena!!. , kwanza ana majivuno ya kijinga na ya kitoto sana