Taarifa za uhakika nilizonazo Manara ndiye anaihujumu Simba SC kila ikicheza na Yanga SC atimuliwe

Tupe taarifa hans kasemaje?
 
Krav Maga kiongozi uliona mbali sana.! Haji ni kirusi pale Simba, amejiona mkubwa kuliko yoyote yule.
Nikisema jambo huwa nakuwa na Uhakika nalo. Ndiye anayetuhujumu tukicheza na Yanga SC halafu anajifanya anawaponda sana Yanga ili Kutuzuga.

Kuna Watu mlidhani nimekurupuka tu kuja na Uzi huu ila sasa taratibu nadhani mtanielewa. Kama atuhujumu mbona analia lia tu na anahangaika? Ukweli ni kwamba ameshashtukiwa.
 
Haya haya

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
hii dunia hii, ukute manara nae alitaka papuchi ya boss ndio mana wanakwaruzana kama mamwewe
 

Hongera kwa mtazamo wako, kavuka mpaka na tafsiri yake ni msaliti, na msaliti ni hatari kuliko adui
 
Duuh huu uzi niliupotezea kumbe una madini sana. There is no useless post in JF
Endeleeni Kunidharau na Kunipuuza ila sijawa Gifted Intellectually, Knowledgeable, Challenger and Well Informed hivi kwa bahati mbaya.
 
Wamfinye kabisa hawez akauza siri za kambi kwa wapinzani
Anachokifanya ni Kuisaliti Simba SC kwa Yanga SC hasa katika Mechi za Ligi Kuu kwa Malipo makubwa tu anayopewa huko na GSM kisha huku katika Michuano ya ASFC anatupooza ili kuwe na Mizania.

Hata hii Mechi kuna Usaliti alikuwa anaanza Kuufanya dhidi ya Simba SC ila kwakuwa Watu wa Simba SC walishamshtukia mapema na huenda huu Uzi wangu umewasaidia walimuwekea Mtego kupitia Simu na Gari yake bila Yeye kujua na Juzi Kakamatika patamu.
 
Akiendelea kuwa msemaji wa simba nitakuwa sina furaha na timu yangu tena!!. , kwanza ana majivuno ya kijinga na ya kitoto sana
 
Akiendelea kuwa msemaji wa simba nitakuwa sina furaha na timu yangu tena!!. , kwanza ana majivuno ya kijinga na ya kitoto sana
Tambua si tena Club Spokesperson na Fainali ya ASFC ikimalizika tu Bodi ya Simba SC itakaa, kumfuta Kazi rasmi ( Officially ) na kuna Watu Wawili kati ya Gift Macha ( wa Mwananchi ) au Fatma Abdallah ( wa Azam Media ) au tofauti na hawa Watakaimu huku Mchakato Kamili wa Kuajiriwa Msemaji mpya wa Klabu ukianza.
 
Mpira wa bongo bwana, kwaio lines zote hizo ni kumsema huyo manara, anyway kuna muda inabidi tubadilike na tuuangalie mpira zaidi na kuliko kuendeleza "ukoloni wa wahenga". binafsi sijawai kuvutiwa na wasemaji wa mpira wa kibongo, sababu wanachokiongea si kwa faida za kuendeleza mpira bali kushibisha bongo za wapenzi wa mpira na kukerehesha nafsi za wapinzani wao.

Mtu anaita press kuelekea derby lakini akiulizwa swali linalohusu taasisi anayoifanyia kazi, anaanza kukasirika yeye hadi unaona sasa huyu jamaa amepata hata kweli elimu ya "maadili". kwaio porojo zao ndo zinatufanya tuamini kwamba hatuna kibovu, ilihali tunaishi kwenye ubovu ni aibu kwa kweli. sijawai kuwa shabiki wa msemaji yeyote.

ona sasa anaonekana anatoa siri za kambi, vitu vingine vipo wazi siku hizi,mpira unaonyeshwa na hata mazoezi ya timu baadhi tunaona pia so kilichopo ni mpinzani kuangalia strength yako na weakness yako yeye anazifanyia kazi ili aweze kuwini game. hakuna cha kupita mlango wa kushoto wala kulia. kwa imani zetu hizi ndo mana tunaamini hata vile visivyokuwa na tija. Mtu anakwambia "Kwa simba hii au yanga hii hata aje nani(anataja man city,barca kwa mfano)alafu anasema HATOKI MTU" are we serious na afya ya mpira wetu kweli.. Nadhani tuache haya mambo .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…