Taarifa za uhakika nilizonazo Manara ndiye anaihujumu Simba SC kila ikicheza na Yanga SC atimuliwe

Duh...
Huu uzi kumbe wa zamani. Kweli wee jamaa umetisha, niliusoma awali nikajua ni wa jana baada ya mambo kumwagika. Kumbe wa tarehe 4 july....safi sana kwa kumfichua huyu jamaa
 
Fafma abdallah abdallah atatufaa sana. Dada katulia na anaijua kazi yake ila kitu kimoja tu, lazima awe simba. Sio kuangalia tu taaluma alafu kuleta shabiki wa yanga...
 
Mzee uliona mbali
 
Fafma abdallah abdallah atatufaa sana. Dada katulia na anaijua kazi yake ila kitu kimoja tu, lazima awe simba. Sio kuangalia tu taaluma alafu kuleta shabiki wa yanga...
Nimemfundisha mahala namjua ni mwana Simba SC Kindakindaki kabisa Ndugu. Yuko karibu sana na Juma Kaseja ( Golikipa ) na Clifford Ndimbo ( Msemaji wa TFF )
 
Duh...
Huu uzi kumbe wa zamani. Kweli wee jamaa umetisha, niliusoma awali nikajua ni wa jana baada ya mambo kumwagika. Kumbe wa tarehe 4 july....safi sana kwa kumfichua huyu jamaa
Maono mengi ndiyo Nyumbani Kwake.
 
Kuna Dr.__ aliyeyoa habar za ishu za mkataba wa Simba vs azam media
 
Alifungwa Brazil kipigo cha mbwa
 
Pia mimi.naamini hiki ulichokiandika na nawazaga saana hata baada ya ile mechi aliongea ugoro saana wakuwasifia waamuzi ile hali wametunyima penati. Aondoke tu tuliipenda simba toka zamani hatumjui manara
 
Asee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…