ELIUD AMBOKILEAlifanya jambo lamaana sababu ata iyo Mazembe na Simba au Azam saivi hazitoutiana sana kuanzia uwanjani mpaka kwenye uchumi
Quarter final gani mazembe wapo?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yaani unakataa kwenda kwenye timu ambayo ilikuwa guarantee kucheza quarter final caf champions league....timu ambayo wanamwambia pilot wao weka dege silence hapo saa tatu tunasepa zetu kuwafuata esparance de tunis.
Soma vizuri...wakati ule wanamtaka ajib mazembe kufikanrobo final ya caf champions league ilikuwa kitu cha kawaida sana. So kwa mchezaji ambaye alikuwa na malengo ya kuonyesha africa anajua mpora pale ndio ilikuwa platform maana ulikuwa na uhakika wa mechi sio chini ya 10 zakusakata kabumbu uonekane.Quarter final gani mazembe wapo?
Mazembe angeweza kama tu mazoezini hajitumi?Alipokataa dili la kwenda mazembe na kukimbilia simba.
Nilijua kabisa Uyu dogo Hana Akili Kama yule Kaka yake mrisho ngasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Pancha sana huyo!simba mchukueni prince dube!!
Usikariri mkuu,Ficha ujinga wako,
Huuwezi ifananisha mazembe na Simba , yanga au Azam kiuchumi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Fact mkuuKuanzia kiuchumi mpaka kwa wachezaji TP MAZEMBE hii sio TP ya miaka 5 years ago Quality yao imeshuka sana.
Uzee wa Simba sio ujana wa fisi, usi ifananishe Mazembe na Simba pleaseAlifanya jambo lamaana sababu ata iyo Mazembe na Simba au Azam saivi hazitoutiana sana kuanzia uwanjani mpaka kwenye uchumi
Hivi dirisha linafungwa tarehe ngapi?Mpaka sasa simba imesajili mchezaji gani, naona wanaoondoka tu wanaoingia mbona sielewi elewi
Hizo record wanazitoa wapi wachezaji wanasajiriwa fee haziwekwi wazi?Usikariri mkuu,
Tp mazembe siku hizi wanashindwa kusajili Wachezaji wanaowahitaji sababu wamepungukiwa pesa, inawezekana hawajashuka sana ila hakuna tofauti kubwa sana.
Angalia thamani ya vikosi vyao hapa
View attachment 2062882View attachment 2062884View attachment 2062886
January 15Hivi dirisha linafungwa tarehe ngapi?
Mpaka sasa simba imesajili mchezaji gani, naona wanaoondoka tu wanaoingia mbona sielewi elewi
Ye! Ye!Ye!Ye!
ndiye striker bora kuliko tulionao sasaPancha sana huyo!
Zinatumwa CAF na FIFAHizo record wanazitoa wapi wachezaji wanasajiriwa fee haziwekwi wazi?
Simba wanauwanja kama mazembe?Alifanya jambo lamaana sababu ata iyo Mazembe na Simba au Azam saivi hazitoutiana sana kuanzia uwanjani mpaka kwenye uchumi
acha ujinga huyo ajib unamuonaga mwenyewe uwanjani au ?
lijitu livivu mda wote kinatembea uwanjani
Ni mchezaji mzuri sana. Kila la heri kwake katika maisha yake ya soka hapo Azam.