Taarifa za usajili wa dirisha dogo kwa timu za ligi kuu ya NBC

Taarifa za usajili wa dirisha dogo kwa timu za ligi kuu ya NBC

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yaani unakataa kwenda kwenye timu ambayo ilikuwa guarantee kucheza quarter final caf champions league....timu ambayo wanamwambia pilot wao weka dege silence hapo saa tatu tunasepa zetu kuwafuata esparance de tunis.
Quarter final gani mazembe wapo?
 
Mpaka sasa simba imesajili mchezaji gani, naona wanaoondoka tu wanaoingia mbona sielewi elewi
 
Quarter final gani mazembe wapo?
Soma vizuri...wakati ule wanamtaka ajib mazembe kufikanrobo final ya caf champions league ilikuwa kitu cha kawaida sana. So kwa mchezaji ambaye alikuwa na malengo ya kuonyesha africa anajua mpora pale ndio ilikuwa platform maana ulikuwa na uhakika wa mechi sio chini ya 10 zakusakata kabumbu uonekane.
Yaani ofa ikitua unawaambia ata kama mnanilipa dollar 1000 mie nilishakukubali toka majuzi.
 
Ficha ujinga wako,

Huuwezi ifananisha mazembe na Simba , yanga au Azam kiuchumi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Usikariri mkuu,
Tp mazembe siku hizi wanashindwa kusajili Wachezaji wanaowahitaji sababu wamepungukiwa pesa, inawezekana hawajashuka sana ila hakuna tofauti kubwa sana.

Angalia thamani ya vikosi vyao hapa

Tp Mazembe € 1.98m
Simba sc € 1.73m
Azam fc. € 1.05m


Screenshot_20211230-162159.jpg
Screenshot_20211230-162228.jpg
Screenshot_20211230-162302.jpg
 
Back
Top Bottom