Taarifa za usajili wa dirisha dogo kwa timu za ligi kuu ya NBC

Kwahio TP Mazembe ya 2023 itabaki vile vile? umeiona project yao ya uwanja mpya au unaongea ushabiki
 
acha ujinga huyo ajib unamuonaga mwenyewe uwanjani au ?
lijitu livivu mda wote kinatembea uwanjani
Ajibu watu wanamsifia tu ,haiwezekani makocha karibia wanne au watano akiwa Simba wanamweka benchi,kocha mmoja tungesema hampendi,Ila zaidi ya wanne kila anayeingia anamweka benchi
 
Ajibu watu wanamsifia tu ,haiwezekani makocha karibia wanne au watano akiwa Simba wanamweka benchi,kocha mmoja tungesema hampendi,Ila zaidi ya wanne kila anayeingia anamweka benchi
yule asharizika hataki kujituma.
 
Kwahio TP Mazembe ya 2023 itabaki vile vile? umeiona project yao ya uwanja mpya au unaongea ushabiki
Bana,Tp Mazembe wameingia kwenye Falsafa mpya ya PRINCIPLES OF PERCENTAGE RESALE hawawezi tena kurudi kirahisi kushindana Sasa hivi hata wakigombea mchezaji na Simba hawawezi.
 
Namtakia kila heri Ajib mzee wa makorokocho. Ni mmojawapo ya wachezaji wachache ninaokubali kipaji chake. Maskitiko yangu makuu kwake ni kuwa huyu jamaa ni mmoja wa wachezaji wachache wazawa wenye vipaji vya asili ila katika hii miaka mitatu/minne iliyopita sijui amekumbwa na nini. Mungu amjalie huko Azam aazaliwe upya apate "spirit" ya mapambano arudishe ubora wake ili watanzania tuburudike na makorokocho yake na Tanzania kama nchi ifaidike na kipaji chake adimu.

Ushauri wangu kwa Simba nafasi yake mpeni Mukandala wa Dodoma Jiji au mrudisheni kijana wa nyumbani Redondo wa Biashara United. Naamini hamtojuta mkimpata mmojawapo kati ya hao wawili
 
Ajib anaenda kula penshen Azam kule hakuna pressure kabisa

Wenye timu wamelizika kabisa ufunge usifunge uasisti usiasist kwao sio tatizo
Imenishangaza jamaa ana miaka 25 halafu wameamua kumpa mwaka mmoja tu, wamebet au?!
 
Duncan Nyoni kaondoka Msimbazi
Duu. Mbona kama huyu jamaa mpira alikuwa anauweza kuliko baadhi ya wachezaji waliokuwa wanacheza kila siku pale Simba lakini alikuwa hapewi tu muda wa kutosha uwezo wake? Au sijui ni mimi tu nilikuwa naangalia mechi vibaya. Anyway nayaheshimu maamuzi ya uongozi na benchi la ufundi Simba inawezekana kuna kitu zaidi wamekiona.
 
Ridondo ? Hauna huruma wewe.
 
Alifanya jambo lamaana sababu ata iyo Mazembe na Simba au Azam saivi hazitoutiana sana kuanzia uwanjani mpaka kwenye uchumi
Kwani angecheza Mazembe milele.kwa miaka ile ilikua ni nafasi kubwa ya ajibu kwenda mbali kimataifa.Maana mafanikio ambayo simba waneyapata miaka ya karibuni Tp mazembe walishayapita uko nyuma kipindi icho huyo ajibu akiwa kwenye fomu.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yaani unakataa kwenda kwenye timu ambayo ilikuwa guarantee kucheza quarter final caf champions league....timu ambayo wanamwambia pilot wao weka dege silence hapo saa tatu tunasepa zetu kuwafuata esparance de tunis.
Dege lipo silence,kama howo ya kichina
Ha hahahaaaaaaaaaaaa

I love jf[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…