Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,125
- 7,373
Huyu mvivu atabaki hapa hapa japo kipaji anacho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uwanja sio inshu tena kwani kufikia 2023 Uwanja wa simba utakua kiwango cha kwanza kuwahi kutokea Afrika mashariki kwa upande wa klabu na apo utakua na lakusema??ile ndege?? Kwanza uwanja wa mazembe huohuo unatumika kwa mazoez uouo kwa mechi uouo kwa kila kitu yaaniSimba wanauwanja kama mazembe?
Kwahio TP Mazembe ya 2023 itabaki vile vile? umeiona project yao ya uwanja mpya au unaongea ushabikiUwanja sio inshu tena kwani kufikia 2023 Uwanja wa simba utakua kiwango cha kwanza kuwahi kutokea Afrika mashariki kwa upande wa klabu na apo utakua na lakusema??ile ndege?? Kwanza uwanja wa mazembe huohuo unatumika kwa mazoez uouo kwa mechi uouo kwa kila kitu yaani
simba hiyo transfer record ya €850th ni kwa input au output?Usikariri mkuu,
Tp mazembe siku hizi wanashindwa kusajili Wachezaji wanaowahitaji sababu wamepungukiwa pesa, inawezekana hawajashuka sana ila hakuna tofauti kubwa sana.
Angalia thamani ya vikosi vyao hapa
Tp Mazembe € 1.98m
Simba sc € 1.73m
Azam fc. € 1.05m
View attachment 2062882View attachment 2062884View attachment 2062886
Ajibu watu wanamsifia tu ,haiwezekani makocha karibia wanne au watano akiwa Simba wanamweka benchi,kocha mmoja tungesema hampendi,Ila zaidi ya wanne kila anayeingia anamweka benchiacha ujinga huyo ajib unamuonaga mwenyewe uwanjani au ?
lijitu livivu mda wote kinatembea uwanjani
Kwani simba na mazembe viwango vyao kwa sasa vikoje?Alipokataa dili la kwenda mazembe na kukimbilia simba.
Nilijua kabisa Uyu dogo Hana Akili Kama yule Kaka yake mrisho ngasa
Sent using Jamii Forums mobile app
yule asharizika hataki kujituma.Ajibu watu wanamsifia tu ,haiwezekani makocha karibia wanne au watano akiwa Simba wanamweka benchi,kocha mmoja tungesema hampendi,Ila zaidi ya wanne kila anayeingia anamweka benchi
Duh imebakia muda mfupiJanuary 15
Bana,Tp Mazembe wameingia kwenye Falsafa mpya ya PRINCIPLES OF PERCENTAGE RESALE hawawezi tena kurudi kirahisi kushindana Sasa hivi hata wakigombea mchezaji na Simba hawawezi.Kwahio TP Mazembe ya 2023 itabaki vile vile? umeiona project yao ya uwanja mpya au unaongea ushabiki
Imenishangaza jamaa ana miaka 25 halafu wameamua kumpa mwaka mmoja tu, wamebet au?!Ajib anaenda kula penshen Azam kule hakuna pressure kabisa
Wenye timu wamelizika kabisa ufunge usifunge uasisti usiasist kwao sio tatizo
Duu. Mbona kama huyu jamaa mpira alikuwa anauweza kuliko baadhi ya wachezaji waliokuwa wanacheza kila siku pale Simba lakini alikuwa hapewi tu muda wa kutosha uwezo wake? Au sijui ni mimi tu nilikuwa naangalia mechi vibaya. Anyway nayaheshimu maamuzi ya uongozi na benchi la ufundi Simba inawezekana kuna kitu zaidi wamekiona.Duncan Nyoni kaondoka Msimbazi
Ridondo ? Hauna huruma wewe.Namtakia kila heri Ajib mzee wa makorokocho. Ni mmojawapo ya wachezaji wachache ninaokubali kipaji chake. Maskitiko yangu makuu kwake ni kuwa huyu jamaa ni mmoja wa wachezaji wachache wazawa wenye vipaji vya asili ila katika hii miaka mitatu/minne iliyopita sijui amekumbwa na nini. Mungu amjalie huko Azam aazaliwe upya apate "spirit" ya mapambano arudishe ubora wake ili watanzania tuburudike na makorokocho yake na Tanzania kama nchi ifaidike na kipaji chake adimu.
Ushauri wangu kwa Simba nafasi yake mpeni Mukandala wa Dodoma Jiji au mrudisheni kijana wa nyumbani Redondo wa Biashara United. Naamini hamtojuta mkimpata mmojawapo kati ya hao wawili
Kweli mda mfupi ila nahisi simba anafanya mambo kimyakimya...ngoja awapunguze wachezaji tutasikia makubwa kuhusu usajiliDuh imebakia muda mfupi
Kwani angecheza Mazembe milele.kwa miaka ile ilikua ni nafasi kubwa ya ajibu kwenda mbali kimataifa.Maana mafanikio ambayo simba waneyapata miaka ya karibuni Tp mazembe walishayapita uko nyuma kipindi icho huyo ajibu akiwa kwenye fomu.Alifanya jambo lamaana sababu ata iyo Mazembe na Simba au Azam saivi hazitoutiana sana kuanzia uwanjani mpaka kwenye uchumi
Dege lipo silence,kama howo ya kichina[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yaani unakataa kwenda kwenye timu ambayo ilikuwa guarantee kucheza quarter final caf champions league....timu ambayo wanamwambia pilot wao weka dege silence hapo saa tatu tunasepa zetu kuwafuata esparance de tunis.
Wao wanaujua umri wake halisi kuwa jamaa ana 35 kwahyo hawawezi jila kizembe hivooImenishangaza jamaa ana miaka 25 halafu wameamua kumpa mwaka mmoja tu, wamebet au?!
Output ( faida ya klabu)simba hiyo transfer record ya €850th ni kwa input au output?