Taarifa za usajili wa dirisha dogo kwa timu za ligi kuu ya NBC

Makocha mpka kumpanga mchezaji huangalia zaidi anavyo perform kwenye mazoezi kama hajitumi mashabiki mtakomea kulazimisha apangwe kumbe hamna kitu.
 
Imenishangaza jamaa ana miaka 25 halafu wameamua kumpa mwaka mmoja tu, wamebet au?!
Ajibu ana miaka 31 nimekuwa nae tabata shule na nimesoma nae,hiyo miaka 25 ni ya kwenye passport tu
 
Kolo fc wamezoea kupora wachezaji na sio kuvunja mikataba ya wachezaji
 
Mikia munajipa moyo utadhania kuwa 2023 mazembe itakuwa imekufa kabisa,nunueni basi na nyie ndege.
 
Mikia munajipa moyo utadhania kuwa 2023 mazembe itakuwa imekufa kabisa,nunueni basi na nyie ndege.
Wewe unafikiri wanakurupuka tu kama wewe unavyoropoka?? Kwaakili yako ndege ya klabu inaingizaje mapato??kama sio kutia hasara tu kutokana mantainance,mafuta,,parking n.k Ndege sio ujanja ata team kubwa duniani hazina ndenge wewe ndo ujitoa fahamu ukanunue kwa faida zipi hasa???enewei ni akili za Utoponga sio makosa yako
 
Bana,Tp Mazembe wameingia kwenye Falsafa mpya ya PRINCIPLES OF PERCENTAGE RESALE hawawezi tena kurudi kirahisi kushindana Sasa hivi hata wakigombea mchezaji na Simba hawawezi.
[emoji23][emoji23] Umeamua kujifurahisha? hii Mazembe ambayo inauza wachezaji ulaya ipambane na Simba!
 
Athumani miraji aliyekuwa mchezaji wa simba kwa sasa yuko timu gani? sijamuona muda mrefu akicheza.
 
Like a father, like a son( CCM=Yanga)
 
Jeremia Kisubi Goli Kipa Wa Simba, Ametolewa kwa mkopo Kwenda Mtibwa Sugar, Awali Mchezaji Aliomba Kwenda Tanzania Prisons!

Ila FIFA iangalie hii sheria ya Magolikipa 3 kuna watu viwango vyao vinakufa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…