Taarifa za usajili wa dirisha dogo kwa timu za ligi kuu ya NBC

Taarifa za usajili wa dirisha dogo kwa timu za ligi kuu ya NBC

Duu. Mbona kama huyu jamaa mpira alikuwa anauweza kuliko baadhi ya wachezaji waliokuwa wanacheza kila siku pale Simba lakini alikuwa hapewi tu muda wa kutosha uwezo wake? Au sijui ni mimi tu nilikuwa naangalia mechi vibaya. Anyway nayaheshimu maamuzi ya uongozi na benchi la ufundi Simba inawezekana kuna kitu zaidi wamekiona.
Makocha mpka kumpanga mchezaji huangalia zaidi anavyo perform kwenye mazoezi kama hajitumi mashabiki mtakomea kulazimisha apangwe kumbe hamna kitu.
 
Imenishangaza jamaa ana miaka 25 halafu wameamua kumpa mwaka mmoja tu, wamebet au?!
Ajibu ana miaka 31 nimekuwa nae tabata shule na nimesoma nae,hiyo miaka 25 ni ya kwenye passport tu
 
Uwanja sio inshu tena kwani kufikia 2023 Uwanja wa simba utakua kiwango cha kwanza kuwahi kutokea Afrika mashariki kwa upande wa klabu na apo utakua na lakusema??ile ndege?? Kwanza uwanja wa mazembe huohuo unatumika kwa mazoez uouo kwa mechi uouo kwa kila kitu yaani
Mikia munajipa moyo utadhania kuwa 2023 mazembe itakuwa imekufa kabisa,nunueni basi na nyie ndege.
 
Mikia munajipa moyo utadhania kuwa 2023 mazembe itakuwa imekufa kabisa,nunueni basi na nyie ndege.
Wewe unafikiri wanakurupuka tu kama wewe unavyoropoka?? Kwaakili yako ndege ya klabu inaingizaje mapato??kama sio kutia hasara tu kutokana mantainance,mafuta,,parking n.k Ndege sio ujanja ata team kubwa duniani hazina ndenge wewe ndo ujitoa fahamu ukanunue kwa faida zipi hasa???enewei ni akili za Utoponga sio makosa yako
 
Bana,Tp Mazembe wameingia kwenye Falsafa mpya ya PRINCIPLES OF PERCENTAGE RESALE hawawezi tena kurudi kirahisi kushindana Sasa hivi hata wakigombea mchezaji na Simba hawawezi.
[emoji23][emoji23] Umeamua kujifurahisha? hii Mazembe ambayo inauza wachezaji ulaya ipambane na Simba!
 
Athumani miraji aliyekuwa mchezaji wa simba kwa sasa yuko timu gani? sijamuona muda mrefu akicheza.
 
Wewe unafikiri wanakurupuka tu kama wewe unavyoropoka?? Kwaakili yako ndege ya klabu inaingizaje mapato??kama sio kutia hasara tu kutokana mantainance,mafuta,,parking n.k Ndege sio ujanja ata team kubwa duniani hazina ndenge wewe ndo ujitoa fahamu ukanunue kwa faida zipi hasa???enewei ni akili za Utoponga sio makosa yako
Like a father, like a son( CCM=Yanga)
 
Jeremia Kisubi Goli Kipa Wa Simba, Ametolewa kwa mkopo Kwenda Mtibwa Sugar, Awali Mchezaji Aliomba Kwenda Tanzania Prisons!

Ila FIFA iangalie hii sheria ya Magolikipa 3 kuna watu viwango vyao vinakufa.
 
Back
Top Bottom