Taarifa za usajili wa dirisha dogo kwa timu za ligi kuu ya NBC

Banda
Mugalu
Nyoni
Bocco
Gadiel
Wawa

Hawa wote wanatakiwa kuondoka
 
Nadhani mnaona Tofauti ya Timu zinavyofanya Sajiri. Kuna Timu Zinasajiri leo kesho mchezaji anacheza kuna Timu mchezaji anahitaji kutafuta Namba
 
Kwani Ajibu alitakiwa na TP Mazembe mwaka gani?
 
Waulize biashara umuhimu wa private jet
 

Subiri muda ufike Utashangaa, Lakini Unataka Simba Isajiri unataka Nani Atoke Pale Simba Ili huyo unaye mtaka Aingie?
 
Mkuu kwani dirisha la usajili linafungwa lini? Acha papara mkuu muda bado.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…