Taarifa za usajili wa dirisha dogo kwa timu za ligi kuu ya NBC

Taarifa za usajili wa dirisha dogo kwa timu za ligi kuu ya NBC

Banda
Mugalu
Nyoni
Bocco
Gadiel
Wawa

Hawa wote wanatakiwa kuondoka
 
Nadhani mnaona Tofauti ya Timu zinavyofanya Sajiri. Kuna Timu Zinasajiri leo kesho mchezaji anacheza kuna Timu mchezaji anahitaji kutafuta Namba
 
Kwani angecheza Mazembe milele.kwa miaka ile ilikua ni nafasi kubwa ya ajibu kwenda mbali kimataifa.Maana mafanikio ambayo simba waneyapata miaka ya karibuni Tp mazembe walishayapita uko nyuma kipindi icho huyo ajibu akiwa kwenye fomu.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kwani Ajibu alitakiwa na TP Mazembe mwaka gani?
 
IMG_3071.jpg
 
Wewe unafikiri wanakurupuka tu kama wewe unavyoropoka?? Kwaakili yako ndege ya klabu inaingizaje mapato??kama sio kutia hasara tu kutokana mantainance,mafuta,,parking n.k Ndege sio ujanja ata team kubwa duniani hazina ndenge wewe ndo ujitoa fahamu ukanunue kwa faida zipi hasa???enewei ni akili za Utoponga sio makosa yako
Waulize biashara umuhimu wa private jet
 
Simba bhana! Badala ya kufanya usajili wa wachezaji muhimu ili kuimarisha kikosi chenu dhaifu, mko busy kusajili Afisa Habari! [emoji848] Vipi Watani kulikoni? Sababu ni GSM tena? Au ndiyo kusema mna kikosi kipana!! [emoji3062] Au Moo anazingua kuachia hela?

Mpaka sasa Wananchi wamesha wasajili wachezaji watatu muhimu na wenye viwango vya juu, wa ndani! Na bado zoezi linaendelea! Huku tukiwa pia tuna nafasi ya kusajili wachezaji wa nje wasio pungua wawili kabla ya hili dirisha dogo la usajili kufungwa.

Subiri muda ufike Utashangaa, Lakini Unataka Simba Isajiri unataka Nani Atoke Pale Simba Ili huyo unaye mtaka Aingie?
 
Simba bhana! Badala ya kufanya usajili wa wachezaji muhimu ili kuimarisha kikosi chenu dhaifu, mko busy kusajili Afisa Habari! [emoji848] Vipi Watani kulikoni? Sababu ni GSM tena? Au ndiyo kusema mna kikosi kipana!! [emoji3062] Au Moo anazingua kuachia hela?

Mpaka sasa Wananchi wamesha wasajili wachezaji watatu muhimu na wenye viwango vya juu, wa ndani! Na bado zoezi linaendelea! Huku tukiwa pia tuna nafasi ya kusajili wachezaji wa nje wasio pungua wawili kabla ya hili dirisha dogo la usajili kufungwa.
Mkuu kwani dirisha la usajili linafungwa lini? Acha papara mkuu muda bado.
 
Back
Top Bottom