Taarifa za Usajili wa vilabu vya Soka, msimu wa 2015/2016

Taarifa za Usajili wa vilabu vya Soka, msimu wa 2015/2016

Kocha Diego Simeon anafanya mazungumzo na wakala wa mchezaji wa Juventus "Carlos Tevez" ili utue viwanja vya Madrid - Spain
 
Hatimaye Radamel Falcao ametua CHELSEA.
 
Mario Mandzukic (29): ametua Juventus kwa dau la £13.6m kutoka Atletico Madrid.
 
Real Madrid sasa inamwania Laurent Koscielny (29) wa Arsenal kwa dau la £21m kuziba pengo la Sergio Ramos (endapo atahamia ManUtd)
 
ManUtd imeiambia Barca Angel Di Maria (27) H.A.U.Z.W.I. ​
 
man city yamsajili kinda mshambuliaji mturuki Enes Unal kwa dau la £2m kutoka klabu ya bursaspor
11402749_401478960036881_6956513486761960874_n.jpg
 
Kama we ni mpenzi wa kandanda hususani ligi ya uingereza, spain, italy, portugal nk tujulishane yale yanayojiri kwenye usajiri na nn maoni yako!!
 
Peter Cech ametua Arsenal na Ospina itamlazimu kuondoka
 
MAN CITY imesema wiki hii inaanza rasmi usajili na wa kwanza kusajiliwa atakuwa Pogba kwa £71mil
 
Striker mkongwe Robin van Persie (31) wa ManUtd yuko mbioni kutorokea Fenerbahce ya Uturuki.
 
Raheem Sterling (21) ametua ManCity kwa dau la £49m kutoka Liverpool.
 
Kipa mpya wa Arsenal Peter Cech (33) amesema atavaa jezi namba 33 ikiwakilisha umri wake - miaka 33, idadi ya mechi alizocheza EPL - 333, na kwamba atakuwa uti wa mgongo wa timu, uti wa mgongo una mifupa 33.
 
Christian Benteke (24) ametua Liverpool kwa dau la £32.5m kuchukua nafasi ya Raheem Sterling.
 
Angel Di Maria (27) anaondoka ManUtd, anakaribia kutua PSG kwa dau la £46.5m.
 
Back
Top Bottom