Taarifa za Usajili wa vilabu vya Soka, msimu wa 2015/2016

Taarifa za Usajili wa vilabu vya Soka, msimu wa 2015/2016

Karim Benzema (27) anakaribia kutua Arsenal kwa dau la £40.5m
 
Golikipa wa Arsenal, Wojciech Szczesny (25) amehamia Roma ya Italia kwa mkopo wa msimu mmoja.
Szczesny alijiunga na Arsenal mwaka 2006 na ameichezea mechi 180. Mambo yalianza kupinda mwishoni mwa msimu uliopita baada ya kuja kwa kipa David Ospina, na yamekuwa ovyo zaidi baada ya kutua kwa kipa Petr Cech mwezi uliopita.
 
Mshambulaji Pedro (28) ametua Chelsea kwa dau la £21m.
 
Mlinzi anayetisha wa Argentina na Valencia Nicolas Otamendi (27) ametua ManCity kwa dau la 32m na makataba wa miaka £5m.
 
Kevin de Bruyne (24): ametua ManCity kutoka Wolfsburg kwa dau la £55m, mkataba wa miaka 6.


Javier Hernandez Chicharito (27): amehamia Bayer Leverkusen kwa dau la £7.3m
 
Back
Top Bottom