Taarifa zinachanganya ubinafsishaji wa mabasi ya mwendokasi; kipi ni kipi?

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
11,793
Reaction score
22,552
Hizi taarifa zinachanganya!

Tarehe 23 march niliangalia taarifa ya habari, Taarifa zinasema Serikali ina mpango wa kutafta mwekezaji ambaye ataleta mabasi na kutoa huduma kama mzabuni.

Tarehe 25 march katika taarifa ya habari wanasema mzabuni tayali kashaanza kuigiza mabasi! Swali tenda ilitangazwa lini?

Anyway! Wanaendelea kusema Mabasi hayo yatakuwa ya mzabuni hadi pale yatapofikia uchakavu ndipo yatakuwa mali ya serikali. Swali serikali kama imeshindwa kuyasimamia yakiwa mapya watawezaje kuyasimamia watapokabidhiwa yakiwa mabovu?

Huyu mzabuni ni nani? Kwanini mkataba useme mabasi chakavu itakabidhiwa serikali ili iweje?

Waandishi hebu fuatilieni tuwe tunapata taarifa zilizonyooka!
 
Marehemu Sitta alisema nchi hii inaliwa na watu 10
Na hii ndiyo maana ya usemi wake
 
Sitta huyuhuyu aliyejenga ofisi ya Spika Urambo? Sitta huyuhuyu aliyehujumu mchakato wa katiba Mpya Kwa maslahi binafsi ili aje kugombea Urais?

Sitta huyuhuyu yeye na mke wake wote wapo bungeni wanakamuwa Kodi za Watanzania?
 
Siku hizi wanachokifanya ni kutumia hela za serikali kutengeneza miradi yao binafsi, mf kiwanda cha sukari cha Dakawa ni mali ya NSSF ila mashamba ya miwa yanayolisha malighafi kwenye kiwanda sio mali ya NSSF, ni viongozi mawaziri na wakuu mbalimbali ndo wamejigawia tu. Hii nchi ishakuwa ya hovyo sana.
 
Hizi taarifa zinachanganya!

Tarehe 23 march niliangalia taarifa ya habari, Taarifa zinasema Serikali ina mpango wa kutafta mwekezaji ambaye ataleta mabasi na kutoa huduma kama mzabuni.

Tarehe 25 march katika taarifa ya habari wanasema mzabuni tayali kashaanza kuigiza mabasi! Swali tenda ilitangazwa lini?

Anyway! Wanaendelea kusema Mabasi hayo yatakuwa ya mzabuni hadi pale yatapofikia uchakavu ndipo yatakuwa mali ya serikali. Swali serikali kama imeshindwa kuyasimamia yakiwa mapya watawezaje kuyasimamia watapokabidhiwa yakiwa mabovu?

Huyu mzabuni ni nani? Kwanini mkataba useme mabasi chakavu itakabidhiwa serikali ili iweje?

Waandishi hebu fuatilieni tuwe tunapata taarifa zilizonyooka!
Nami nilishangaa sana jana, nilimuona David Kafulila akizungumzia hii, huyo mwekezaji alikuwa mfukoni?...
 
Back
Top Bottom