Taarifa zinarindima za gaidi mmoja anavyotikisa Dar, poleni watani



 
Manara ana kimavi,
Utopolo na jezi yao wameishia kutrend kwa dkk 20 tu kabla Hamza hajachukua kijiji
 
Ingekuwa ni Kenya hapo ungeona vifaru na wanajeshi wakati hapa Tanzania huyo jamaa kauawa na polisi wa kawaida Tu.

Tumeona video bana, imechukua juhudi za polisi wengi sana na risasi nyingi kuua jamaa aliyejianika barabarani, halafu ni wazi hakua gaidi, maana daladala limempita likiwa na abiria, huyo itakua aidha alikua na bifu na maaskari wenu ambao walimtapeli, kuna picha nimeona amepost BAK jamaa kumbe ni CCM mwenzako mtakua mtakua mumetapeliana huko.
 
Gaidi ni haijalishi km amelenga raia ama laa.
ktendo cha ku spread terror kwa mtu yeyote huo ni ugaidi.
 
Ata Kama imechukua dakika Ngapi Nasema shukran kwa Askari wa TZ kwa kufanya haki,i really hate terrorists wanatupa presha Huku Kenya Sababu Ni majirani wetu Hapa Somalia,Nilionya kitu Kama hiki kinaweza tokea Tz mkikosa kujichunga,Hawa Mafala wanaweza tokea anywhere anytime na kufyatua watu risasi na kupiga mabomu ovyo😳please East Africa help each other to fight this goons before they spread like air in our midst,jiulizeni hiyo bunduki alitoa wapi? na mujiulize jee Kama Kuna wengine Kama Hao TZ??East Africa tukikosa kuchunga will be worst than Somalia,Nigeria and Iran
 
Gaidi ni haijalishi km amelenga raia ama laa.
ktendo cha ku spread terror kwa mtu yeyote huo ni ugaidi.

Ni kweli alichokifanya ni ugaidi, ni kama yale ambayo mumemtuhumu Mbowe sijui mnasema kalipua kituo cha mafuta, ila bahati huyu Msomali sio Shababi maana angekua Alshabaab angetesa sana, huyu kajianika barabarani na hakua anawalenga raia wa kawaida kwenye daladala.
 
Hakuna gaidi hapo ni maisha tu yamemfanya awe kama gaidi
 
yeah we haven't forgotten that you Bongolalas get off when Kenya is attacked. Now we know your guys are inadequately prepared for these types of threats....yeah your horse is not as high as you thought.
 
Hatujasahau kamati yenyu ikiongozwa na Geza ulole mnakuanga in celebration once we have attacks in Kenya
 
Hatujasahau kamati yenyu ikiongozwa na Geza ulole mnakuanga in celebration once we have attacks in Kenya
Huyu ni polisi tu wamedeal naye tukio la Westgate tuliona special force wakiiba mikate na kunywa mvinyo.
 
Huyu ni polisi tu wamedeal naye tukio la Westgate tuliona special force wakiiba mikate na kunywa mvinyo.
Na akaua polisi watatu, huyu labda ni part ya sleeper cell, nikama akona some training
 
Watakwambia wanaweza handle alshabaab. Yani mtu mmoja na risasi anawahangaisha hivi na watashinda wakikwambia Westgate Westgate. Halafu huo ndio mtaa wa kifahari Dar eti. 🤣 🤣
Police wetu wanaweza ku handle chadema
 
Hakuwa gaidi,ni mwanachama wa ccm,Tena mjumbe wa mkutano mkuu

 
yeah we haven't forgotten that you Bongolalas get off when Kenya is attacked. Now we know your guys are inadequately prepared for these types of threats....yeah your horse is not as high as you thought.
OK Sawa, but Not all get off, but y'all getting off kwa hii issue minor, msichukie next time ikitokea kwenu, sababu mnapalilia, afu hizi mambo hutokea in large scale hapo Kenya, wanauaga mtu mob, huku sio, jamaa wa jana hakuwa na time na raia.

Sent from my DUB-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Why are you complaining when we are just doing what you guys do to us?
 
Except this one didn't ambush anyone. He was right there in the open.🤷🏾‍♂️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…