Taarifa zinarindima za gaidi mmoja anavyotikisa Dar, poleni watani

Huyu jamaa kama si kujitoa kwa street juu ya teargas alikua amewahangaisha , uzuri the guy had no interest in killing unarmed people, otherwise angemaliza wengi sana
Yule mwanamke alikuwa anauwa anausalama mlitumia karibia mwezi kupata. Tena mshukuru tu kwamba aliamua kujitoa uhai mwenyewe.
 
Huyu ni polisi tu wamedeal naye tukio la Westgate tuliona special force wakiiba mikate na kunywa mvinyo.

Dah! Kwenye hili tukio mumedhihirisha, aibu, unyonge na uzembe mkubwa sana, nashangaa mnatoa wapi ujasiri wa kujisifu kwenye mitandao.... Jamaa mmoja tu tena amejianika barabarani mnatumia marisasi zaidi lisaa moja, hamna walenga shabaha yaani snipers, mshukuru sana huyo hakua Alshabaabi maana mngehama mji, huyo alikua Msomali ambaye labda mumemnyanyasa kwa ubaguzi hadi akafika mwisho na ndio maana alikua anaua askari, hakuhangaika na raia wa kawaida.

Bora hamkuenda Somalia na hata Msumbiji mlisuasua sana maana kwa kweli huwa hampo tayari kwenye mapambano ya kileo.
 
Inavyoaminika kwa classment wa karibu ,dogo alikuwa na bifu na polisi na chanzo ni kwenye migodi anayoisimamia ambayo alikuwa km msimamizi wa mali za familia ,polisi waliingia kwenye mgodi wake huko Chunya , na hiyo picha hapo iliyopistiwa yupo na wafanyakzi wake wa mgodi ,mwisho wa kunukuu
 
Makomando wacheze kama pele? kuiba maziwa na biskut huku magaidi wakiwa wameshasepa ni kucheza kama pele?
 
Watakwambia wanaweza handle alshabaab. Yani mtu mmoja na risasi anawahangaisha hivi na watashinda wakikwambia Westgate Westgate. Halafu huo ndio mtaa wa kifahari Dar eti. 🤣 🤣
Westgate magaidi walikuwa wangapi? makomando wakaishia kuiba maziwa pumbavu zao,
 
Westgate magaidi walikuwa wangapi? makomando wakaishia kuiba maziwa pumbavu zao,
Westgate was a tricky situation where several citizens were taken ransom. Hapa kwenu jamaa mmoja tu in the open anawahemesha.🤣🤣
 
yeah we haven't forgotten that you Bongolalas get off when Kenya is attacked. Now we know your guys are inadequately prepared for these types of threats....yeah your horse is not as high as you thought.
Mkivamiwa hadi sisi tunaumia maana tunajua hatuko salama, tatizo la wanajeshi wenu mnaowaamini kuwasaidia kwenda kuiba mali za wafanyabiashara ile haikuwa sawa
 
Westgate was a tricky situation where several citizens were taken ransom. Hapa kwenu jamaa mmoja tu in the open anawahemesha.🤣🤣
kwavile westgate ilukuwa tricky ndio inahalalisha wanajeshi kuiba mikate? tena waliingia kuiba mikate wakati al shabaab washasepa
 
Mkivamiwa hadi sisi tunaumia maana tunajua hatuko salama, tatizo la wanajeshi wenu mnaowaamini kuwasaidia kwenda kuiba mali za wafanyabiashara ile haikuwa sawa
Mbona mlifurahia humu tulipovamiwa?
 
Hatukufurahi, tulishangaa kwenye hali kama ile mwanajeshi anaweza vipi kuiba maziwa na boflo

Mbona kawaida, mumeingia kwenye shughuli hamkubeba vitafunio au chakula chochote, mlijua mchezo wenyewe utaisha ndani ya siku moja, ila sasa magaidi yamejichimbia ndani ngoma imepitiliza siku tatu na mko ndani kiasi hamuwezi kuletewa chochote cha kutia ndani, hata mimi ningepita na boflo yoyote kwenye hayo maduka.

Lakini nyie mlitia aibu sana, mumekua legelege sana, mtu mmoja anasimama katikati ya barabara mnashindwa kumlenga shabaha inachukua saa nzima mnaharbu marisasi kote kote. Jameni muhimu sana hao usalama wenu wakaanza mafunzo ya jinsi ya kushughulika na vita vya kisasa.
 
Hahaha, nyie jeshi zima lilishindwa alshabaab watatu tu na wakafanikiwa kuondoka hai
 
Hahaha, nyie jeshi zima lilishindwa alshabaab watatu tu na wakafanikiwa kuondoka hai

Hakuna alshabaab huja na kuondoka hai, wale huwa wameiva udini wanajua wanakwenda kupewa thawabu, huhakikisha kama hawafi kwa risasi basi wanajlpua, kuna Mtanzania Mpare mmoja alijaribu hicho kitu cha kuja eti apigane kisha afe, jamaa akaingiwa na baridi, mashababu yakajitoa mhanga yeye akajikunyata sehemu akaachia akamatwe hai.
Kwa namna huyo jamaa mmoja alitesa akiwa wima barabarani, aisei kwenu huko akija Shababi mmoja wa kweli nahisi mtahamia Moro nyie wote na kumuachia Dar.
 
Wale wa westgate waliondoka hai acha ubishi wewe
 
huyu jamaa sio gaidi alikuwa na license pistol na polisi ndio walimzingua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…