Taarifa zinazokinzana kuhusu jumla ya wanajeshi wa Israel waliouawa katika Ukanda wa Gaza

⚡️Hamas announces that it targeted 13 Israeli military vehicles in eastern Gaza and struck the city of Ashkelon with a missile salvo today
 
Idf hawana akili wanashindwa kupambana na hamas na izzuddin
Wanapiga tu mahospital shule na majumba ya raia
Jana izzuddin wameitwanga tel aviv mpaka israhell imebidi waanzishe uchunguzi wakwanini iron dom ikashindwa kuyaingilia makombora yao
Nakule Lebanon [emoji1146] Hizbullah anawatwanga tu leo kawatanga kama 11 hv wapo chaliiiii
 
Na wewe nani kakudanganya kuwa Hamas hawana nembo?

Unakukumbuka Israel walionyesha mavazi ya Hamas au umesahau majuzi wakati wanakabidhi mateka hukuona nembo yao?

Israel wanasema Gaza karibia yote ipo kwenye umiliki wao sasa inakuaje hawafahamu mateka walipo na juzi tumeona Hamas walivyokabidhi mateka wakarudi Gaza.
Hamas fighters
 

Attachments

  • IMG_7367.jpeg
    57.3 KB · Views: 3
Vita imeishakuwa ndefu Lebanon, Syria, Yemen, hawa wote wanapewa nguvu na Iran.
 
🚨 Hamas has, since this morning, destroyed or partially destroyed:

• 6 Zionist tanks
• 5 personnel carriers (APC)
• 3 Military vehicles
 

Attachments

  • IMG_7368.jpeg
    38 KB · Views: 3
🛑 Al-Qassam (Hamas) announced:

• Confronting a special Zionist force, killing a number of them in the northern Gaza Strip.

• Targeting a Zionist tank surrounded by IOF soldiers in the northern Gaza Strip, killing & wounding a number of the soldiers around the tank.
 
Hamas (al-Qassam):

We targeted an Israeli special forces unit with a personnel mine, eliminating the remaining forces with automatic weapons at point-blank range in the al-Faluja area, north of the Gaza Strip.
 
We jamaa, huchoki? Vita kwa Waisraeli ni kama Messi na football. Atafunga mara nyingi,lakini kuna siku timu yake itafungwa. Hiyo haiondoi umaarufu wa Messi kuwa mchezaji bora kwenye mpira. Vita ya Hamas na Israeli ndiyo inaishia ukingoni. Kwa taarifa zilizopo, Hamas imebakiza kutega vibomu na kujitoa mhanga kama Alqaeda na Isis. Na wameshaanza.
 
Mbona unaleta mfano wa kishoga watu wapo vitani unaleta mambo ya mpira halafu unataka nichoke mbona una wivu wa kike JF ya Baba yako unataka kupangia watu.
 
🛑 Al-Manar correspondent:

Hezbollah targeted the place in “Miskav Am” where Netanyahu, and its commanders were standing when they were visiting the northern border with Lebanon, with rockets today.

This is a clear message by Hezbollah to Netanyahu.
 

Attachments

  • IMG_7370.jpeg
    81.3 KB · Views: 3
Hamas ni majini hivyo wenyewe hawafi na mabomu ya Israel yanabagua wahanga kwani yenyewe yanaua wanawake na watoto tu wa Palestina. Miracle Bombs.
 
So you mean to say, Netanyahu is dead or it's just another islamist media propaganda at work.
 
🚨BREAKING: HAMAS OFFICIAL STATEMENT ON RAPE ALLEGATIONS

"In the name of God, the most gracious, the most merciful

Press Statement

We reject the occupation’s lies about cases of rape, which aim to distort the resistance and cover up the image of its humane and moral dealings with detainees.

We strongly reject and denounce the alignment of some Western media outlets with the misleading Zionist campaigns that promote unfounded lies and allegations aimed at demonizing the Palestinian resistance, the latest of which is the allegation that resistance members committed “sexual violence” during the Al-Aqsa Flood Battle on October 7.

We consider this misleading campaign to be part of a series of lies spread by the Zionist propaganda machine, whose claims have been proven false, especially the falsehood of beheading children and targeting revelers at the concert in the Re’im settlement, and not the least of which is the lie of using Al-Shifa Medical Hospital for military purposes.

The Nazi Zionist occupation seeks to spread rumors and lies against the resistance in a desperate attempt to cover up the image that the world saw of the humane and moral dealings with detainees and their good care among the resistance men, which a number of released detainees testified to, despite the occupation’s attempts to cover up and obscure it.

We call on all media outlets and agencies to be careful not to fall into the trap of the occupation’s lies and tendentious propaganda, and to verify every information, to protect the truth and preserve the sanctity of the media message.

Islamic Resistance Movement - Hamas"
 
Hamas ni majini hivyo wenyewe hawafi na mabomu ya Israel yanabagua wahanga kwani yenyewe yanaua wanawake na watoto tu wa Palestina. Miracle Bombs.
Si uliwaona majuzi walikuja kuleta Mateka kisha wakarudi zao Gaza.
 
Hamas (al-Qassam):

We targeted an Israeli special forces unit with a personnel mine, eliminating the remaining forces with automatic weapons at point-blank range in the al-Faluja area, north of the Gaza Strip.
Hivi msemaji wa Al qasaam brigade ni nani maana yule jamaa mwenye kuvaa ushungi mwekundu ( Ubaida) haonekani siku hizi au wanaume washakula kichwa?
 
The presence of the Zionist minister of war, 3 former Chief of Staffs and other high ranking officials at the funeral of the killed IOF colonel Asaf Hamami, indicates the significance his elimination.

Interestingly, the current israeli Chief of Staff was not present.
 

Attachments

  • IMG_7382.jpeg
    79 KB · Views: 3
  • IMG_7381.jpeg
    69.8 KB · Views: 3
  • IMG_7380.jpeg
    63.9 KB · Views: 3
Umegeuka Hamas 'mouth piece' humu JF, hongera.


Ila haya maandiko yako na kinachoendelea Gaza haviwezi kushabihiana.

War is evil.
 
Si uliwaona majuzi walikuja kuleta Mateka kisha wakarudi zao Gaza.
Kwa hiyo wenyewe ni hao tu wakati tunaambiwa wako 40,000 terrorists presumably with bullet proof body...😛😛😛
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…