Taarifa zinazokinzana kuhusu jumla ya wanajeshi wa Israel waliouawa katika Ukanda wa Gaza

Taarifa zinazokinzana kuhusu jumla ya wanajeshi wa Israel waliouawa katika Ukanda wa Gaza

An Israeli journalist posts a picture of Palestinian civilian prisoners in Gaza, stripped naked in the street, and poses the question on his account, "Why are there no women in the picture?"

It has been reported that the journalist participated in firing mortar shells at the homes of Palestinians in Gaza while accompanying the occupation forces.
 

Attachments

  • IMG_7623.jpeg
    IMG_7623.jpeg
    110.6 KB · Views: 4
⚡️Goodbye my friend, Dr Refaat Al-Ar’eer (@itranslate123), one of Gaza’s best academics.

Refaat was murdered in an Israeli airstrike on his home. Every day I feared that I would have to type this tweet out, but here we are. Thank you for the few conversations that we had, may you rest in peace.
 

Attachments

  • IMG_7624.jpeg
    IMG_7624.jpeg
    36.5 KB · Views: 2
Kituo cha utangazaji cha Israel cha Channel 12 kilifichua siku ya Ijumaa kwamba wanajeshi 3,000 wa Vikosi vya Kulinda vya Israel (IOF) ambao walipata majeraha kutokana na uvamizi unaoendelea wa Israel huko Gaza wameorodheshwa miongoni mwa wale wenye "ulemavu wa kudumu katika jeshi."

Kulingana na mtangazaji huyo wa habari, idadi ya wanajeshi wa IOF waliojeruhiwa tangu Oktoba 7 imefikia 5,000 kufikia Desemba 9.

Idhaa hiyo iliongeza kuwa Idara ya Urekebishaji ya Israeli inaripotiwa kupokea askari wapya 60 wa IOF waliojeruhiwa kila siku kutoka kwa vikosi vya usalama na akiba, bila kuwajumuisha wanajeshi wa kawaida.

Zaidi ya wanajeshi 2,000, walioainishwa kama walemavu na wanaosimamiwa na Wizara ya Usalama ya Israeli, pamoja na 1,000 kutoka kwa vikosi vya kawaida, kwa sasa wanatibiwa na jeshi la Israeli.
 
Mazayuni hata wanapojitahidi kukimbia wanakula kichapo, lakini hawafi:

 
Mazayuni hawafi hata wanapochapwa ndani ya kambi zao:

 
Israeli channel 12:

Classification of 3,000 of those wounded in the Iron Sword War in the Gaza Strip as having permanent military disabilities
 

Attachments

  • IMG_8467.jpeg
    IMG_8467.jpeg
    62.1 KB · Views: 1
BREAKING: TAARIFA YA HAMAS

"Tuliweka jeep 4 za maadui katika eneo la kuvizia vikali katika eneo la Juhr al-Dik, ambapo tulilipua uwanja uliokuwa na vifaa vya kuzuia wafanyikazi na vifaa vya kuzuia silaha, ambayo ilisababisha kukandamizwa kwa jeshi na kuuawa kwa wanachama wake wote. .

Kifaru cha Israel kilichokimbilia mahali hapo pia kiliharibiwa kwa kombora la "Al-Yassin 105", na tukalenga vikosi.

Uokoaji na uokoaji katika eneo la operesheni kwa kutumia mfumo wa makombora wa "Rajum" na makombora ya chokaa, na ndege na ambulensi zilionekana kuwasafirisha waliokufa kutoka mahali hapo.
 
Wamarudisha sana majeneza Israel.
Niliwahi kusoma gazeti moja la mashariki ya kati likisema media za west pamoja na Israel ni mabingwa sana wa kutunga stori za kizushi za kuonyesha eti Israel inaonewa, kumbe yenyewe ndio mijitu mionevu yemye roho ya paka, siku moja mwandisha wa habari wa magharibi aliwahi kusema kwamba MSM zemetekwa nyara na Israel na kuongwa na USA kiasi cha kwamba ili biandike hanari nzuri tu kuhusu Israel na kuwabatiza Wapalestina majina mabaya ya kila sampuli.

Siku moja mwandishi wa habari wa magharibi aliwahi kusema kwamba,mid dia za magharibi zipo radhi kupoteza siku au wiki yakizingumzoa juhudi zinazo fanyika kumuhukoa paka wa Israel aliye tubukia kwenye maji taka ya mtaro kuliko kuzungumzoa watoto na akinamama wanao teseka kutokana na ukandazamaji wa utawala wa Israel dhidi ya Wapalestina.

Kusema kweli Palestinians have had enough of this nonsense na safari hii Israel hisipokuwa makini watatandikwa kweli kweli kwa kutumia silaha za kisasa labisa ambazo hata baba yao USA hawana uwezo wa kuzidhibiti, USA ikifanya ujinga wa kuruhusu Israel itumie tactical nuclear bombs ndani ya mashariki ya kati USA, wao wana uhakika gani kama Iran na nchi nyingine za kiarabu hawana hayo mabom au missiles??
 
Niliwahi kusoma gazeti moja la mashariki ya kati likisema media za west pamoja na Israel ni mabingwa sana wa kutunga stori za kizushi za kuonyesha eti Israel inaonewa, kumbe yenyewe ndio mijitu mionevu yemye roho ya paka, siku moja mwandisha wa habari wa magharibi aliwahi kusema kwamba MSM zemetekwa nyara na Israel na kuongwa na USA kiasi cha kwamba ili biandike hanari nzuri tu kuhusu Israel na kuwabatiza Wapalestina majina mabaya ya kila sampuli.

Siku moja mwandishi wa habari wa magharibi aliwahi kusema kwamba,mid dia za magharibi zipo radhi kupoteza siku au wiki yakizingumzoa juhudi zinazo fanyika kumuhukoa paka wa Israel aliye tubukia kwenye maji taka ya mtaro kuliko kuzungumzoa watoto na akinamama wanao teseka kutokana na ukandazamaji wa utawala wa Israel dhidi ya Wapalestina.

Kusema kweli Palestinians have had enough of this nonsense na safari hii Israel hisipokuwa makini watatandikwa kweli kweli kwa kutumia silaha za kisasa labisa ambazo hata baba yao USA hawana uwezo wa kuzidhibiti, USA ikifanya ujinga wa kuruhusu Israel itumie tactical nuclear bombs ndani ya mashariki ya kati USA, wao wana uhakika gani kama Iran na nchi nyingine za kiarabu hawana hayo mabom au missiles??
Zamani tuliambiwa vitu vingi sana vya uwongo kuhusu Waisrael soma hiii…
Rais wa Syria Bashar Assad mapema wiki hii alitangaza kuwa hakuna ushahidi kwamba Wayahudi milioni sita waliuawa wakati wa mauaji ya Holocaust na kuishutumu Marekani kwa kufadhili chama cha Nazi cha Ujerumani.

Katika video ya hotuba ya Assad iliyotafsiriwa na kuchapishwa na Taasisi ya Utafiti wa Vyombo vya Habari Mashariki ya Kati (MEMRI) siku ya Jumatatu, Assad anaweza kuonekana akiuambia umati wa watu waliosikiliza kwamba "hakuna ushahidi kwamba Wayahudi milioni sita waliuawa" wakati wa mauaji ya Holocaust.


“Ni kweli kulikuwa na kambi za mateso, lakini kinachokuonyesha kuwa hili ni suala la kisiasa, si la kibinadamu na si la kweli, ni kwamba tunazungumzia hawa milioni sita, lakini kwa nini tusiwazungumzie Wasovieti milioni 26. waliouawa katika vita hivyo? Je, hizo milioni sita ni za thamani zaidi?”
 
The presence of the Zionist minister of war, 3 former Chief of Staffs and other high ranking officials at the funeral of the killed IOF colonel Asaf Hamami, indicates the significance his elimination.

Interestingly, the current israeli Chief of Staff was not present.
Yote ni mizungu kutoka ulaya inaleta fujo middle east kwa maslahi ya bwana wao marekani

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Wanaukumbi,

Tuliambiwa kuwa Jeshi la Israel limechukua umiliki wa Gaza na wanakamilisha vitu vidogo vidogo kumaliza vita, lakini cha kushangaza mbona kila siku tunasikia vifo vya Wanajeshi wa Israel IDF hawajahi kutuonyesha maiti za Hamas zaidi ya kuona Maiti za Watoto na wanawake.

DF spokesman announces names of three soldiers killed in Gaza fighting on Sunday

The IDF spokesman announced that three soldiers were killed Sunday in the fighting in the Gaza Strip.

Sgt. Maj. (Res.) Neriya Shaer, 36, from Yavne, Sgt. 1st Class (res.) Ben Zussman, 22, from Jerusalem, and Sgt. Binyamin Yehoshua Needham, 19, from Zichron Ya'akov.

Hizo ni namba za kisiasa tu Taarifa zinazokinzana kuhusu jumla ya wanajeshi wa Israel waliouawa katika Ukanda wa Gaza.

====

JERUSALEM

The Israeli army said Monday three more soldiers were killed in clashes in the northern Gaza Strip.

A military statement said two soldiers from the 890 Paratrooper Battalion were killed in combat north of the blockaded territory.

Another soldier from the Givati Brigade’s reconnaissance unit was killed in the northern Gaza Strip, the army said in a separate statement.

On Sunday, the army said that five Israeli soldiers were killed in fighting in the blockaded Palestinian territory.

There are conflicting reports about the total number of Israeli soldiers killed in the Gaza Strip.

According to Yedioth Ahronoth newspaper, 66 Israeli soldiers have been killed in Gaza since the army expanded its ground operations in the enclave on Oct. 27.

On Saturday, army spokesman Daniel Hagari put the military death toll since the outbreak of the Gaza conflict on Oct. 7 at 378.

Since Israel started bombarding Gaza on Oct. 7, at least 13,000 Palestinians have been killed, including over 9,000 women and children, and more than 30,000 others have been injured, according to the latest figures.

Thousands of buildings, including hospitals, mosques, and churches, have also been damaged or destroyed in Israel’s relentless air and ground attacks on the besieged enclave.

An Israeli blockade has also cut Gaza off from fuel, electricity, and water supplies, and hindered aid deliveries.

The Israeli death toll, meanwhile, is around 1,200, according to official figures.

Haaretz
ukweli usemwe, wanajeshi wengi sana wa Israel wameuawa, Israel imetumia pesa nyingi sana kugarimia vita hii, na imeingia risk kubwa sana kibiashara na uchumi na diplomasia na mataifa mengine duniani. lakini wao wanasema ilikuwa lazima iwe hivyo ili waishi. kwa upande mwingine hamas maelfu kwa maelfu wameuawa, na gaza yote imeteketezwa, uchumi wa wapalestina umeharibiwa, palestina ndio eneo pekee utakuta waarabu wanaendesha benz za miaka ya 70, magari mabovu kabisa na mengine ya kukokotwa na punda au farasi, ni masikini mno, hivyo kuwavunjia majengo wamewashusha hadi umasikinini zaidi ya walivyokuwa, sasa watategemea misaada tu, kitu ambacho ni kigumu mno, ulikuwa na duka kubwa unaendesha familia na watoto kwa kujitegemea alafu leo ukae kwenye mstari upokee misaada, ni kitu kugumu na kibaya.

hata hivyo, wote hawa, waisrael na wapalestina, wanamhitaji Mungu, wote hawaamini kuokoka hivyo hata hao wanaokufa wanaenda moja kwa moja motoni kwasababu wamemkataa Yesu. ni maombi kwangu kwamba kama kufa wafe katika Bwana na kama kuishi basi waishi katika Bwana. ni maombi yangu kwako wewe unayesoma pia kwamba kama kuishi basi ishi katika Bwana na kama kufa ufe katika Bwana. maisha ya duniani yanapita, haujaletwa hapa kupoteza muda kwenye mambo yasiyo na faida kwa Mungu, mlango wa wokovu bado upo, tumia opportunity hiyo kabla haujafungwa. Yesu Kristo ndiye njia kweli na uzima, amua leo kuokoka uone kama hatabadilisha maisha yako. Ubarikiwe.
 
Back
Top Bottom