Kifaru cha 360° hicho hamas wanakisogelea watakavyo Allahu Akbar
Niliwahi kusoma gazeti moja la mashariki ya kati likisema media za west pamoja na Israel ni mabingwa sana wa kutunga stori za kizushi za kuonyesha eti Israel inaonewa, kumbe yenyewe ndio mijitu mionevu yemye roho ya paka, siku moja mwandisha wa habari wa magharibi aliwahi kusema kwamba MSM zemetekwa nyara na Israel na kuongwa na USA kiasi cha kwamba ili biandike hanari nzuri tu kuhusu Israel na kuwabatiza Wapalestina majina mabaya ya kila sampuli.Wamarudisha sana majeneza Israel.
Zamani tuliambiwa vitu vingi sana vya uwongo kuhusu Waisrael soma hiii…Niliwahi kusoma gazeti moja la mashariki ya kati likisema media za west pamoja na Israel ni mabingwa sana wa kutunga stori za kizushi za kuonyesha eti Israel inaonewa, kumbe yenyewe ndio mijitu mionevu yemye roho ya paka, siku moja mwandisha wa habari wa magharibi aliwahi kusema kwamba MSM zemetekwa nyara na Israel na kuongwa na USA kiasi cha kwamba ili biandike hanari nzuri tu kuhusu Israel na kuwabatiza Wapalestina majina mabaya ya kila sampuli.
Siku moja mwandishi wa habari wa magharibi aliwahi kusema kwamba,mid dia za magharibi zipo radhi kupoteza siku au wiki yakizingumzoa juhudi zinazo fanyika kumuhukoa paka wa Israel aliye tubukia kwenye maji taka ya mtaro kuliko kuzungumzoa watoto na akinamama wanao teseka kutokana na ukandazamaji wa utawala wa Israel dhidi ya Wapalestina.
Kusema kweli Palestinians have had enough of this nonsense na safari hii Israel hisipokuwa makini watatandikwa kweli kweli kwa kutumia silaha za kisasa labisa ambazo hata baba yao USA hawana uwezo wa kuzidhibiti, USA ikifanya ujinga wa kuruhusu Israel itumie tactical nuclear bombs ndani ya mashariki ya kati USA, wao wana uhakika gani kama Iran na nchi nyingine za kiarabu hawana hayo mabom au missiles??
Yote ni mizungu kutoka ulaya inaleta fujo middle east kwa maslahi ya bwana wao marekaniThe presence of the Zionist minister of war, 3 former Chief of Staffs and other high ranking officials at the funeral of the killed IOF colonel Asaf Hamami, indicates the significance his elimination.
Interestingly, the current israeli Chief of Staff was not present.
ukweli usemwe, wanajeshi wengi sana wa Israel wameuawa, Israel imetumia pesa nyingi sana kugarimia vita hii, na imeingia risk kubwa sana kibiashara na uchumi na diplomasia na mataifa mengine duniani. lakini wao wanasema ilikuwa lazima iwe hivyo ili waishi. kwa upande mwingine hamas maelfu kwa maelfu wameuawa, na gaza yote imeteketezwa, uchumi wa wapalestina umeharibiwa, palestina ndio eneo pekee utakuta waarabu wanaendesha benz za miaka ya 70, magari mabovu kabisa na mengine ya kukokotwa na punda au farasi, ni masikini mno, hivyo kuwavunjia majengo wamewashusha hadi umasikinini zaidi ya walivyokuwa, sasa watategemea misaada tu, kitu ambacho ni kigumu mno, ulikuwa na duka kubwa unaendesha familia na watoto kwa kujitegemea alafu leo ukae kwenye mstari upokee misaada, ni kitu kugumu na kibaya.Wanaukumbi,
Tuliambiwa kuwa Jeshi la Israel limechukua umiliki wa Gaza na wanakamilisha vitu vidogo vidogo kumaliza vita, lakini cha kushangaza mbona kila siku tunasikia vifo vya Wanajeshi wa Israel IDF hawajahi kutuonyesha maiti za Hamas zaidi ya kuona Maiti za Watoto na wanawake.
DF spokesman announces names of three soldiers killed in Gaza fighting on Sunday
The IDF spokesman announced that three soldiers were killed Sunday in the fighting in the Gaza Strip.
Sgt. Maj. (Res.) Neriya Shaer, 36, from Yavne, Sgt. 1st Class (res.) Ben Zussman, 22, from Jerusalem, and Sgt. Binyamin Yehoshua Needham, 19, from Zichron Ya'akov.
Hizo ni namba za kisiasa tu Taarifa zinazokinzana kuhusu jumla ya wanajeshi wa Israel waliouawa katika Ukanda wa Gaza.
====
JERUSALEM
The Israeli army said Monday three more soldiers were killed in clashes in the northern Gaza Strip.
A military statement said two soldiers from the 890 Paratrooper Battalion were killed in combat north of the blockaded territory.
Another soldier from the Givati Brigade’s reconnaissance unit was killed in the northern Gaza Strip, the army said in a separate statement.
On Sunday, the army said that five Israeli soldiers were killed in fighting in the blockaded Palestinian territory.
There are conflicting reports about the total number of Israeli soldiers killed in the Gaza Strip.
According to Yedioth Ahronoth newspaper, 66 Israeli soldiers have been killed in Gaza since the army expanded its ground operations in the enclave on Oct. 27.
On Saturday, army spokesman Daniel Hagari put the military death toll since the outbreak of the Gaza conflict on Oct. 7 at 378.
Since Israel started bombarding Gaza on Oct. 7, at least 13,000 Palestinians have been killed, including over 9,000 women and children, and more than 30,000 others have been injured, according to the latest figures.
Thousands of buildings, including hospitals, mosques, and churches, have also been damaged or destroyed in Israel’s relentless air and ground attacks on the besieged enclave.
An Israeli blockade has also cut Gaza off from fuel, electricity, and water supplies, and hindered aid deliveries.
The Israeli death toll, meanwhile, is around 1,200, according to official figures.
Haaretz
waallah ✊ hatukubali 👊 🥵allahu akbarr TAKBIIIIIIIIIR