hp4510
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 9,013
- 10,034
Wakuu kwema?
Weekend nilienda kumtembelea ndugu anaishi kigamboni mitaa ya uwanja wa machava, amerent kwenye ghorofa ambayo ina wapangaji wengi
Room yake iko ghorofa ya chini ila juu kuna ghorofa zingine tatu
Kwa hali ya ujenzi na vifaa hafifu vinavyotumika Pale aisee ile nyumba inaweza kushuka,
Sijui ni taasisi gani ya ukaguzi wa majengo ila wanaitaji kufanya ukaguzi otherwise very soon serikali itatoa pole,
Na juu kabisa kuna ujenzi unaendelea nadhan anatakiwa kupigwa stop, mpaka ukaguzi ufanyike
Taasisi husika piteni kigamboni kabla ya serikali kutoa pole kwa majeluwi