Uchaguzi 2020 Taasisi iliyokusanya maoni ya mgombea wa CCM kushinda uchaguzi mkuu kwa asilimia 85, inachekesha na kusikitisha

Utafiti hupingwa kwa utafiti. Wacha porojo
 
Imebidi waseme hivyo wakisema vinginevyo wanaogopa kuhojiwa uraia wao na kupimwa mkojo, chezea dictecta uchwara
 
Kura za rais Mkapa zilipanda awamu ya pili kulizo za awamu ya kwanza- nini mealezo yako
Angalia idadi ya watu walioenda kupiga na mpinzani aliyekuwa nae...CHADEMA kila mwaka wanaleta mgombea angalau anaezika kwa wananchi japo hawashindi lkn influence inakuwa kubwa sana.
 
Yaleyale ya Belarus.Rais anatangazwa mshindi kwa 80%, then vichwa vinajaa na kufunga barabara. Then unajiuliza hao waliompigia kura 80% ni wepi?! Mbona wote wamejaa barabarani?!!
Huyu jamaa wa Beralus mwaka 2006 alipata 84.4% mwaka huu kapata 80.10% yaani kafanya kutoa tu asilimia nne ila raia wamejaa barabarani. Ni kwamba uchaguzi wowote ule kwenye Re election kura huwa zinapungua, mfano kikwete kwenye re election 2010 kura zilipungua, Nitakuwa wa kwanza kushangaa kwa mpakwa mafuta wetu kama atapata zaidi ya alizopata 2015.
 
Hapo hata mbumbu atashangaa. Na itahesabiwa kuwa imeshindwa. Miaka mitano umewafungia wapinzani na bado wapate 5% na uone kuwa wameshindwa? Hakuna tume huru, wagombea prominent wa upinzani umewaengua wasigombee bado waliobaki wapate 5% na usione ni ushindi huo? Toa uwanja sawa wa mapambo, uone CCM itakavyo garagazwa.
 
Fanya na wewe utafiti wako ili tujue nini kinachoendelea kwa wapiga kura kama hukubaliani na huu wa hawa wengine.
TWAWEZA tafiti walifanya lakini matokeo yake bosi wao akakamatwa na kunyang'anywa passport. Unataka na yeye akamatwe? Ili asikamatwe atoe majibu kama haya kuwa Meko a napenda 95%
 
Kama ndani ya siku 11 tu za kampeni watafiti wameshapita nchi nzima kufanya utafiti wao na kusema Magufuli atashinda kwa 85%, naamini wakifanya utafiti mwingine tarehe mosi Oktoba watasema atashinda kwa 105%
 
Tafiti hupingwa kwa tafiti siyo hisia tu,ungeenda field na wewe ukaleta utafiti wa kwako.

Hiyo habari ya Rais aliyeko madarakani kuchokwa haina mashiko.

1995 Mkapa alipata 61.% halafu 2000 akapata 71.%.

BTW:Hivi kuna mtu mwenye akili timamu kabisa anategemea upinzani kushinda uchaguzi huu?
 
miaka yote huwa mnabeza tafiti,tunasubiri tafiti zenu za kupika sasa
Nani alibeza taft alivyoambiwa umaarufu wake umeshuka kutoka 90 hadi 65 akaanza kumtesa mkurugenzi wa TWAWEZA kuwa hana uraia?
 
Kama ndani ya siku 11 tu za kampeni watafiti wameshapita nchi nzima kufanya utafiti wao na kusema Magufuli atashinda kwa 85%, naamini wakifanya utafiti mwingine tarehe mosi Oktoba watasema atashinda kwa 105%
Mgombea wao dozi zimegoma yupo chato anakula dawa ngozi imepauka ...kaita wakuu wa vyombo vya dola wakutane chato waandae kuiba kura.
 
Angalia idadi ya watu walioenda kupiga na mpinzani aliyekuwa nae...CHADEMA kila mwaka wanaleta mgombea angalau anaezika kwa wananchi japo hawashindi lkn influence inakuwa kubwa sana.
sijakuelewa mkuu- unataka kusema nini?
 
Hii REDET bhana hivi malipo yao uwa ni kiasi gani??
REDET bana nikimradi flan kaulaji pale UDSM kalikuwa kanaongozwa na DR Benson Bana pamja na Bashiru na Prof Wangwe ...Nadhani kuna fedha wanapewa na CCM sina uhakika ni kiasi ila kuna kimpunga cha kupumbaza akili .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…