Taasisi ipi ya Kiislamu ambayo ni mfano wa kuigwa miongoni mwa taasisi kwa mafanikio yake makubwa hapa nchini Tanzania?

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Je ni taasisi gani ya Kiislamu hapa nchini Tanzania ambayo imeanzishwa na kuendeshwa kwa mafanikio makubwa hususani kwenye Menejimenti hivyo kuwa mfano wa kuigwa miongoni mwa taasisi husika?

Lugha zisizo na staha hazikubaliki

Niwatakie sikukuu njema ya Noel
 
Ile ilijiridhisha kuwa shida ya vijana wa kiislamu ni kuoa na kuamua kuwalipia mahari

USSR

Sent from my Infinix X6511G using JamiiForums mobile app
 
Ile ilijiridhisha kuwa shida ya vijana wa kiislamu ni kuoa na kuamua kuwalipia mahari

USSR

Sent from my Infinix X6511G using JamiiForums mobile app
you mean al hiqma foundation chini ya kishki?? they are plenty, kunae moja jina limenitoka i think iko tanga inasimamia na shule za istiqama
 
Shia Ithna asheri
Ahmadiya
Dawood Bohra
Sunni Muslim Jamat
DYCC
 
Bakwata
 

Chuo cha MUSLIM UNIVERSITY cha Morogoro.
 
Sizijui zote lakini hao "Ithna Asheri" wanaweza kuwa vizuri...wametuhudumia sana kupitia hospitali zao tangu miaka ya 90

Pia sijawahi kusikia migogoro yao
 
Tanzania Islamic Foundation (Radio na Tv imaan, forest schools)
 
Boko haramu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…