Taasisi ya fedha inayokopesha wafanyakazi wa sekta binafsi

Taasisi ya fedha inayokopesha wafanyakazi wa sekta binafsi

Wernery G Kapinga

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2012
Posts
376
Reaction score
127
Heri kwenu wadau.

Napenda kujua kama kuna taasisi inayotoa mkopo kwa wafanyakazi wa sekta binafsi (Mf. Shule za private n.k), masharti yake na makorombwezo mengine.

Naona sekta nyingi zinakopesha wafanyakazi walioserikalini tu, wakati hata sisi wa private maisha yetu yanahitaji mkopo pia.

Ahsanteni.
 
Back
Top Bottom