Taasisi ya goodwill foundation waungana na Rais Samia kuponya maisha ya watanzania

Taasisi ya goodwill foundation waungana na Rais Samia kuponya maisha ya watanzania

msuyaeric

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2014
Posts
842
Reaction score
1,197
Zaidi ya vijana 70 wanaounda Taasisi ya GoodWill Foundation wamemuunga mkono Rais Samia suluhu Hassan kwa kujitokeza kujitolea damu kwenye Kituo cha damu salama kilichopo Muhimbili jijini Dar es Salaam.

Wanafunzi walijumuika kutoka Vyuo mbalimbali vya Dar es salaam, wamefika uamuzi huo baada ya kutambua jitihada zinazofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan kwenye kujenga miundombinu ya Afya hivyo wao kama wasomi wameamua kumuunga mkono kwa kuwaokoa watu wenye uhitaji wa damu.

Wakizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kushiriki zoezi la kutoa waratibu wa taasisi hiyo Happines Muheza na Salvatory Mwakamele, wamesema licha ya taasisi ya kujihusisha na wagonjwa wa kansa, ila wamemuunga mkono Rais Samia ili wawaponye wagonjwa wote.
 

Attachments

  • IMG-20240701-WA0145.jpg
    IMG-20240701-WA0145.jpg
    48.3 KB · Views: 2
  • IMG-20240701-WA0136.jpg
    IMG-20240701-WA0136.jpg
    70.4 KB · Views: 5
  • IMG-20240701-WA0147.jpg
    IMG-20240701-WA0147.jpg
    68.1 KB · Views: 4
  • IMG-20240701-WA0149.jpg
    IMG-20240701-WA0149.jpg
    74.3 KB · Views: 8
  • IMG-20240701-WA0140.jpg
    IMG-20240701-WA0140.jpg
    56.2 KB · Views: 2
Wameenda kuokoa maisha ya watu au kumuunga mkono Madam President???
 
Back
Top Bottom