Until_The_End
JF-Expert Member
- Nov 21, 2020
- 1,456
- 2,202
Maneno yako hayawezi kunitisha mimi.... Na wala hayawezi kuwatisha wote walio na Yesu ndani yao.Utajua mwenyewe, ila usipo acha ushoga utaenda motoni.full stop
Pole sana mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maneno yako hayawezi kunitisha mimi.... Na wala hayawezi kuwatisha wote walio na Yesu ndani yao.Utajua mwenyewe, ila usipo acha ushoga utaenda motoni.full stop
Wapeleke kwakoKwahiyo waumini waende wapi? Wengine walikua vibaka, je warudie zama zao?
Poa mkuu ,nitakula nao sahani moja hawa tukiwaacha wataharibu watoto wetu na jamii yetu,wanataka walete ushetani kwenye jmiii yetu,hawawezi tumesimama kidete kama museveniHmwambie huyo punguani analiwa kiboga anataka atulazimishe na sisi tufuate tabia zake za kikameruni
Usijifaliji, moyoni mwako unajijua,hayo maneno yako ya kusema upo ndani ya yesu hayatokuokoa siku ya hukumu, usipo tubu na kuacha ushoga utaenda motoni, na imenyooka kama rula,na hata ukifa sasa motoni unaenda yani namaanisha unaenda kuchomw milelee ,Wazinzi ,mashoga sehemu yenu ni kwenye ziwa la motoManeno yako hayawezi kunitisha mimi.... Na wala hayawezi kuwatisha wote walio na Yesu ndani yao.
Pole sana mkuu.
Sawa.Usijifaliji, moyoni mwako unajijua,hayo maneno yako ya kusema upo ndani ya yesu hayatokuokoa siku ya hukumu, usipo tubu na kuacha ushoga utaenda motoni, na imenyooka kama rula,na hata ukifa sasa motoni unaenda yani namaanisha unaenda kuchomw milelee ,Wazinzi ,mashoga sehemu yenu ni kwenye ziwa la moto
Piga kelele, jisingizie dini, sema sana moto na jehanamu lakini jua hayaondoi ukweli kuwa unaliwa.Yani ukweli haubadiliki halafu am stable in mind,your technique ni yakitoto sana ,mm sijifichi kwenye dini sijaongelea dini,nimeongelea utubu ushoga,na usipo tubu utaenda jehanamu nasisistiza
nimekwambia uache laana zako na utubu ushoga ,usipo tubu motoni unaenda,yani kusema hivyo does n't affect my mind na ukweli nimekwambia motoni unaenda,tena nyie mashoga kuna special case ,kule tafuta clips za watu waliofanikiwa kufika kule uwaulize wenzako wa sodoma cha
Usemaje wala usemaje ,usipo acha laana zako motoni utaenda,huwezi haribu my mind kwa technique ya kitoto kawashake wajinga na mashoga wenzako wenye laana kama ww
Hakiniumi ila ukisha fika ndo utaelewa ,naukifaSasa akienda motoni we unaumia nini?
![]()
![]()
![]()
![]()
Mimi sijihushi na dini,wala siyo kiongozi wa dini wala sijaongelea dini ,ninaongea neno la Mungu lenye linalokata kuwili unahisi ukiwa wakala wa shetani ,ndo utaokoka 😀😀😀,shetani wako na ww msukule wake unayejiita wakala wake usipotubu dhambi na usipoacha ushoga ,neno la Mungu limenyoooka wote ni jehanamu na shetani,na ukifa sasa huyo shetani atakuwa wakwanza kukutesa ulivyo msukule unamtumikia eti wakala na ukifa anakutesa na motoni unaenda😀😀😀😀 jinga sana wewe hujielewi,nakwambia Tubu ushoga usipo tubu na kuacha unaenda motoni na siyo ushoga tu na uwakala wa shetani utakupeleka motoni 😀😀😀,tena nasema ukafa sasa na hivi hujui dk 10 mbele utakuwa wapi ikitokea umekufa,mzee imekula kwako ni motoni milele, si unayaona makaburi yalivyo. Eeehh Nawewe utakuwa vile ukiwa motoni,.....Piga kelele, jisingizie dini, sema sana moto na jehanamu lakini jua hayaondoi ukweli kuwa unaliwa.
Hii janja ya kutumia kichaka cha dini tumeigundua. Kwanza bado unauza kwa bei ile ile ya zamani?Hakiniumi ila ukisha fika ndo utaelewa ,naukifa
Mimi sijihushi na dini,wala siyo kiongozi wa dini wala sijaongelea dini ,ninaongea neno la Mungu lenye linalokata kuwili unahisi ukiwa wakala wa shetani ,ndo utaokoka 😀😀😀,shetani wako na ww msukule wake unayejiita wakala wake usipotubu dhambi na usipoacha ushoga ,neno la Mungu limenyoooka wote ni jehanamu na shetani,na ukifa sasa huyo shetani atakuwa wakwanza kukutesa ulivyo msukule unamtumikia eti wakala na ukifa anakutesa na motoni unaenda😀😀😀😀 jinga sana wewe hujielewi,nakwambia Tubu ushoga usipo tubu na kuacha unaenda motoni na siyo ushoga tu na uwakala wa shetani utakupeleka motoni 😀😀😀,tena nasema ukafa sasa na hivi hujui dk 10 mbele utakuwa wapi ikitokea umekufa,mzee imekula kwako ni motoni milele, si unayaona makaburi yalivyo. Eeehh Nawewe utakuwa vile ukiwa motoni,.....
huna akili.Kwahiyo waumini waende wapi? Wengine walikua vibaka, je warudie zama zao?
An stable bro , unipanikishi kwa maneno yako, ipo hivi usipo tubu ushoga wako na uwakili cjui uwakala wa shetani motoni utaenda na nakwambia ukifa sasa motoni milele kuwa wakala wa shetani haitokusaidia kituHii janja ya kutumia kichaka cha dini tumeigundua. Kwanza bado unauza kwa bei ile ile ya zamani?
Hakuna dini hapa ,mm siongelei dini nakemea dhambi,usipo tubu ushoga na uwakala wa shetani ni jehanamu mileleHii janja ya kutumia kichaka cha dini tumeigundua. Kwanza bado unauza kwa bei ile ile ya zamani?
Nani akupanikishe na ushoga na kuliwa umechagua mwenyewe?An stable bro , unipanikishi kwa maneno yako, ipo hivi usipo tubu ushoga wako na uwakili cjui uwakala wa shetani motoni utaenda na nakwambia ukifa sasa motoni milele kuwa wakala wa shetani haitokusaidia kitu
Waende kwa suguye,mwamposa au wengine... Mbona dini zipo nyingiKwahiyo waumini waende wapi? Wengine walikua vibaka, je warudie zama zao?
Endelea kutukana ,Sasa namwomba Kama Mungu aliyeniumba akaaye maali pa juu palipo tukuka ,siku ya leo utaikumbuka na maneno yangu utayakumbuka ulikuwa tarehe 1/6/2023 , Mungu akuhukumu kupitia siku ya leo na siku ya kufa kwako usipo tubu ushoga na uwakala wa shetani,siku hii na maneno haya yawe shahidi ya kuingiza motoni , na pili siku yoyote utakapo jiusisha na ushoga popote pale au hata hapa jukwaani iwe kivitendo ama kuhamasisha kutoka mda na saa kama sasa Mungu na akuhukumu kama alivyo hukumu sodoma na gomola, na maneno haya yasimame kama laana kwenye maisha yako na kizazi chako,Na tatu ipo hivi maneno haya yawe hukumu popote ukaapo yasifutike kwenye moyo wako, "USITO TUBU USHOGA NA UASHERATi NA KUACHA ,UTAENDA JEHANAMU " kuwa wakili wa shetani hakuto kusaidia au kujitoa ufahamu na kutukana,Kila la heri.Hutoona message ikikujibu ila Haya maneno yatakujibuNani akupanikishe na ushoga na kuliwa umechagua mwenyewe?
wafute na TOP PLUS tv, mbona wamefutiwa lakini tv yao bado wanaendeleza? wafute na tv, au hatuna TCRA? kwa wasiojua, hao jamaa wa kanisa lililokuwa linasapoti ushoga, walikuwa pia na television ipo azam, walikuwa wanahubiri kanisani na kurusha kwenye tv, mahubiri waliyoyapata serikali hadi kuwafungia waliyapata kupitia tv hata zile youtube izlitoholewa kwenye tv ambayo bado inafanya kazi. ajabu ingine, azam kujifanya ustaadh, aliendelea kuruhusu watu warushe uchafu ule na bado tv hiyo ipo hewani kwenye king'amuzi wa azam.View attachment 2639633
Wizara ya Mambo ya Ndani imesitisha usajili wa Jumuiya ya kidini iitwayo Spirit Word Ministry iliyopo eneo la Stakishari Wilaya ya Ilala Jijini Dar es Salaam baada ya kubainika kutoa mahubiri na mafundisho yenye mwelekeo wa kuhamasisha vitendo vya mapenzi ya jinsia moja.
Waziri wa Mambo ya Ndani Hamad Masauni ameyasema hayo leo Jumatatu wakati akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya wizara yake kwa mwaka 2023/24.
Masauni amesema katika kudhibiti na kupambana na vitendo vya mmomonyoko wa maadili Ofisi ya Msajili wa Jumuiya imesitisha shughuli za Jumuiya ya kidini iitwayo Spirit Word Ministry iliyopo eneo la Stakishari Wilaya ya Ilala Jijini Dar es Salaam.
“Jumuiya hiyo imefutiwa usajili kwa sababu ya kutoa mahubiri na mafundisho yenye mwelekeo wa kuhamasisha vitendo vya mapenzi ya jinsia moja na kutoa ujumbe wenye kuhafifisha jitihada za kupambana na vitendo vya ushoga nchini,”amesema.
Aidha, Masauni amesema taarifa zimekusanywa zinazohusu idadi ya vituo vya kulea watoto na shule zinazotoa mafundisho ya dini kwa watoto wadogo.
Amesema lengo ni kutambua idadi ya vituo au shule za bweni zinazotoa mafunzo yenye mwelekeo unaokinzana na maadili ya nchi yetu ikiwemo vitendo vya mapenzi ya jinsia moja, ambapo katika mwaka 2023/24 wizara imepanga kuandaa mwongozo wa taratibu za kuabudu na ithibati ya taasisi zinazotoa elimu ya dini, kuimarisha ufuatiliaji na utendaji wa Jumuiya za Kidini na zisizokuwa za Kidini.
Pia katika mwaka huo watafanya ukaguzi na tathmini ya vihatarishi vya kiusalama kwa kushirikiana na Vyombo vya Ulinzi na Usalama pamoja na kutoa mafunzo kwa Viongozi wa Jumuiya yatakayochangia kudumisha amani na utulivu nchini.