Taasisi ya Kidini ya Spirit Word Ministry yafutiwa usajili

Taasisi ya Kidini ya Spirit Word Ministry yafutiwa usajili

Shida yako wewe ni wivu baada ya kuona libiblia lako linadadavuliwa mauongo yake.

Mmezoea kuwadanganya watu kwa kutumia hilo libiblia na kuchuma fedha za udanganyifu na ujanja ujanja.

Tunataka makanisa yanayohoji, na sio makanisa ya makondoo yanayofuata libiblia.
Ndio maana akafungiwa. Unahoji Biblia kivipi?. Kama huitaki Biblia tengeneza kitabu chako ukahubiri. Wewe hupendi makande kutwa kuyasema makande kwanini usile chakula kingine?. Ndio maana serikali imemfungia ili akatafute kitabu chake akafundishe.
 
Akili kama zako huwezi kumwelewa yule mwamba, hasa wakiwa na jamaa mmoja(Oscar Obed).
Inahitaji uelewa wa hali ya juu sana, binafsi nimefatilia jinsi alivyokuwa akifundisha hasa miaka 3-5 iliyopita alikuwa akifundisha vizuri zaidi.

Alipo anza kuzungumzia ushoga na kubishana na torati waziwazi ndipo serikali ikawa macho zaidi, In short waliomfungia ni wale ambao wapo kinyume na mafundisho yake ambayo kimsingi niya KWELI kabisa tena ni UZIMA.

Uelewa gani? Kuimba bia tamu kanisani?. Mimi tangu waanze kuimba bia tamu kanisani nikajua hawa ni wahuni.


Kwanza hawezi kiwa deep maana anaponda Biblia na kudai Kuna kitabu kingine kitakuja maana yeye haiamini Biblia. Utakuwaje mwalimu au mihubiri kwa kitu ambacho ukiamamini?. Bora hata Zumaridi , huyu alikuwa anakufuru live. Naona serikali ikaamua kumtolea uvivu Sasa hivi anasikilizia stroke kitandani.
 
Yaani kwa ukubwa wa tatizo jinsi ulivyo nchini waziri anasimama kutangaza kusitisha usajiri wa kataasisi hako kamoja tu?
NIlitaraji tangazo lake la kwanza lingeondoka na taasisi na ministry kama 1,000 hivi.
Hapo ndiyo mtaamini hizo taasisi zina mkono wa serikali au zimeanzishwa na serikali yenyewe ili kuzififisha dini kwa kuingiza viongozi na ministry za kitapeli ambapo itafika mahali wananchi wattaona dini ni utapeli tu na kuacha kuzifuata.

Mpango huu ni mbinu ambayo CCP iliwapatia CCM waitumie ili kuua ushawishi wa dini nchini. Mbinu hii haikuishia hapo, wameipeleka mpaka mdani ya Lanisa Katoliki amnapo ili ku discourage waumini wame introduce michango mingi sana isiyo na kichwa wala miguu.
Hata hiyo taasisi iliyofungiwa unaweza kukuta ilikua ni project ya serikali ni vile wameona approach hii imekua too much ndiyo maana wameishia kuifuta tu bila kuwachukulia hatua yoyote na hata ufutaji wake umekuja kwa kuchelewa sana.
Mchawi mkubwa wa nchi hii ni CCM na Serikali yake.
Kama wamefanya hivyoni sawa, Dini ni mojawapo ya vitu vya hovyo sana kwa miaka ya karibuni.
 
Hapana alisema ni dhambi lakini sio kosa kisheria. Kwa hivyo kiimani ushoga ni dhambi.
Kwa nchi ushoga ni kosa kisheria. kwa hiyo kanisa katoliki linapingana na sheria za nchi kw kusema ushoga si kosa kisheria. Linatakiwa nalo kufungiwa.
 
Yani kwa hilo la ushoga wala sikulembi, motoni utaenda na kibali dunian utakosa ,huwezi kuwa dume jike tukubembeleze
Inajulikana vyema huku kuwa wewe ni shoga unayejificha kwenye kichaka cha kupigia kelele ushoga. Humdanganyi mtu Emar
 
View attachment 2639633
Wizara ya Mambo ya Ndani imesitisha usajili wa Jumuiya ya kidini iitwayo Spirit Word Ministry iliyopo eneo la Stakishari Wilaya ya Ilala Jijini Dar es Salaam baada ya kubainika kutoa mahubiri na mafundisho yenye mwelekeo wa kuhamasisha vitendo vya mapenzi ya jinsia moja.

Waziri wa Mambo ya Ndani Hamad Masauni ameyasema hayo leo Jumatatu wakati akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya wizara yake kwa mwaka 2023/24.

Masauni amesema katika kudhibiti na kupambana na vitendo vya mmomonyoko wa maadili Ofisi ya Msajili wa Jumuiya imesitisha shughuli za Jumuiya ya kidini iitwayo Spirit Word Ministry iliyopo eneo la Stakishari Wilaya ya Ilala Jijini Dar es Salaam.

“Jumuiya hiyo imefutiwa usajili kwa sababu ya kutoa mahubiri na mafundisho yenye mwelekeo wa kuhamasisha vitendo vya mapenzi ya jinsia moja na kutoa ujumbe wenye kuhafifisha jitihada za kupambana na vitendo vya ushoga nchini,”amesema.

Aidha, Masauni amesema taarifa zimekusanywa zinazohusu idadi ya vituo vya kulea watoto na shule zinazotoa mafundisho ya dini kwa watoto wadogo.

Amesema lengo ni kutambua idadi ya vituo au shule za bweni zinazotoa mafunzo yenye mwelekeo unaokinzana na maadili ya nchi yetu ikiwemo vitendo vya mapenzi ya jinsia moja, ambapo katika mwaka 2023/24 wizara imepanga kuandaa mwongozo wa taratibu za kuabudu na ithibati ya taasisi zinazotoa elimu ya dini, kuimarisha ufuatiliaji na utendaji wa Jumuiya za Kidini na zisizokuwa za Kidini.

Pia katika mwaka huo watafanya ukaguzi na tathmini ya vihatarishi vya kiusalama kwa kushirikiana na Vyombo vya Ulinzi na Usalama pamoja na kutoa mafunzo kwa Viongozi wa Jumuiya yatakayochangia kudumisha amani na utulivu nchini.
Duh haya nakanisa yote yachunguzwe, wengine hawahubiri kwa maneno wanafanyana kwa vitendo.
 
Jamaa yuko deep vizuri sana kufundisha neno ila ana vitu kadhaa simuungi mkono...
Aliomba msamaha kwa serikali na wananchi kwa maneno kuhusu ushoga etc....kwanini serikali isingempa onyo kuliko kumfungia. Aliomba msamaha.


Kishajulikana ni shoga huyo.
 
Inajulikana vyema huku kuwa wewe ni shoga unayejificha kwenye kichaka cha kupigia kelele ushoga. Humdanganyi mtu Emar
Pumpavu sana,tena sana ....mm cyo wakala wa shetani,ni mtoto wa yesu wa nazaleti na Mungu aliye haiii,hizo laana siwezi kufanya, narudia Wazinzi, mashoga na wengine wote msipo tubu na kuacha sehemu yenu ni kwenye ziwa la moto, najua ukweli umepata ,usipo tubu hizo laana zako utaenda motoni milele
 
Pumpavu sana,tena sana ....mm cyo wakala wa shetani,ni mtoto wa yesu wa nazaleti na Mungu aliye haiii,hizo laana siwezi kufanya, narudia Wazinzi, mashoga na wengine wote msipo tubu na kuacha sehemu yenu ni kwenye ziwa la moto, najua ukweli umepata ,usipo tubu hizo laana zako utaenda motoni
Wewe ni nani? Mpaka useme huu ujinga
 
Back
Top Bottom