Kwani warudi kwenye ukibaka wakati taasisi za kidini zipo kibao?Kwahiyo waumini waende wapi? Wengine walikua vibaka, je warudie zama zao?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani warudi kwenye ukibaka wakati taasisi za kidini zipo kibao?Kwahiyo waumini waende wapi? Wengine walikua vibaka, je warudie zama zao?
Ana potosha maandiko.ajui chochote kuhusu Ukristo.Akili kama zako huwezi kumwelewa yule mwamba, hasa wakiwa na jamaa mmoja(Oscar Obed).
Inahitaji uelewa wa hali ya juu sana, binafsi nimefatilia jinsi alivyokuwa akifundisha hasa miaka 3-5 iliyopita alikuwa akifundisha vizuri zaidi.
Alipo anza kuzungumzia ushoga na kubishana na torati waziwazi ndipo serikali ikawa macho zaidi, In short waliomfungia ni wale ambao wapo kinyume na mafundisho yake ambayo kimsingi niya KWELI kabisa tena ni UZIMA.
Kuhamasisha ushoga na kuwabadilisha waache ushoga ni vitu viwili tofautAlimaanisha hivi:
Yohana 10:10
Mwivi haji ila aibe na kuchinja na kuharibu; mimi nalikuja ili wawe na uzima, kisha wawe nao tele.
Wawe na uzima na si kuwaua na kuona wao hawafai bali tujumuike nao pamoja.
Alimaanisha hivi:
Yohana 10:10
Mwivi haji ila aibe na kuchinja na kuharibu; mimi nalikuja ili wawe na uzima, kisha wawe nao tele.
Wawe na uzima na si kuwaua ama kuwatenga bali tuwe nao pamoja kwani wote ni wana wa Mungu.
Double standardsSasa tatizo ni lipi hapooo?
basi sawaa.Double standards
Waumini wa madhehebu yote wamewahi kuwa na akili?Sijui waumini wake walikuwa wanavumilia vipi kusikiliza maubili yake.
Jamaa yuko deep vizuri sana kufundisha neno ila ana vitu kadhaa simuungi mkono...
Aliomba msamaha kwa serikali na wananchi kwa maneno kuhusu ushoga etc....kwanini serikali isingempa onyo kuliko kumfungia. Aliomba msamaha.
Watajua wenyewe.Kwani Makanisa mengine hayapo?.Kwahiyo waumini waende wapi? Wengine walikua vibaka, je warudie zama zao?
Anaitwa nani huyo?Huyu nabii mwenyewe anaonekana ni shoga
Waufungie na Ukatoliki maana papa alisema kuwa ushoga si kosa kkishe
Mishoga mpo wengi, Mungu wangu!yani ipo siku mtachomwa moto milele,kizazi cha nyoka nyie kwenda kinyume na maumbile ya mwenyezi Mungu ni kufuru kubwa kwa aliyekuumba,siku ya mwisho jehanamu inakuhusu na utaenda kuzimu kwa mashoga wenzako,mavimavi nyieSiyo bure wewe. siyo kwa kuwatetea kwa kutukana. Eti unatetea watu wa imani kwa kutukana watu.
Halafu yakachomwe moto.Upumbavu, mbona Yesu aliwakumbatia makahaba?
Kanisa ndio mahali pa kurekebisha watu wakiwemo mashoga!
Mnataka kanisa liwafukuze mashoga? Halafu??
Hiyo ndio neema juu ya neema
Nilikuwa siamini kama hili Kanisa lilianzishwa kwa nia njema ya kumhubiri Kristo.Yaani kwa ukubwa wa tatizo jinsi ulivyo nchini waziri anasimama kutangaza kusitisha usajiri wa kataasisi hako kamoja tu?
NIlitaraji tangazo lake la kwanza lingeondoka na taasisi na ministry kama 1,000 hivi.
Hapo ndiyo mtaamini hizo taasisi zina mkono wa serikali au zimeanzishwa na serikali yenyewe ili kuzififisha dini kwa kuingiza viongozi na ministry za kitapeli ambapo itafika mahali wananchi wattaona dini ni utapeli tu na kuacha kuzifuata.
Mpango huu ni mbinu ambayo CCP iliwapatia CCM waitumie ili kuua ushawishi wa dini nchini. Mbinu hii haikuishia hapo, wameipeleka mpaka mdani ya Lanisa Katoliki amnapo ili ku discourage waumini wame introduce michango mingi sana isiyo na kichwa wala miguu.
Hata hiyo taasisi iliyofungiwa unaweza kukuta ilikua ni project ya serikali ni vile wameona approach hii imekua too much ndiyo maana wameishia kuifuta tu bila kuwachukulia hatua yoyote na hata ufutaji wake umekuja kwa kuchelewa sana.
Mchawi mkubwa wa nchi hii ni CCM na Serikali yake.
Yeah....Hiyo ndio neema juu ya neema
Ili kuweza kuhimili wimbi la mabadiliko na kuendelea kubaki muda mrefu zaidi madarakani, CCM ilishajivua Ujamaa na CCP waliwashauri njia sahihi ya kuwa in control ni kufuata Ukomunisti.Nilikuwa siamini kama hili Kanisa lilianzishwa kwa nia njema ya kumhubiri Kristo.
Muangalie sana anayepiga kelele na kushutumu wenzake.Mishoga mpo wengi, Mungu wangu!yani ipo siku mtachomwa moto milele,kizazi cha nyoka nyie kwenda kinyume na maumbile ya mwenyezi Mungu ni kufuru kubwa kwa aliyekuumba,siku ya mwisho jehanamu inakuhusu na utaenda kuzimu kwa mashoga wenzako,mavimavi nyie
Du mpaka wanigeria wameanzisha makanisa Tanzania. Hawa ni wa kufukuza wote. Hatuna upungufu wa wachungaji matapeli.Au lile kanisa la mnageria banana dar
Kabisa mkuu jamaa yuko Deeep mno mno ingawa kwenye kuna vitu sikubaliani navyo,Jamaa yuko deep vizuri sana kufundisha neno ila ana vitu kadhaa simuungi mkono...
Aliomba msamaha kwa serikali na wananchi kwa maneno kuhusu ushoga etc....kwanini serikali isingempa onyo kuliko kumfungia. Aliomba msamaha.