DIVISHENI FOO
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 1,440
- 3,142
Wewe huna dhambi?Wenye dhambi
Hao wanahamasisha vitendo vya ushoga hii ni kinyume na dini
Kuhamasisha maana yake nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe huna dhambi?Wenye dhambi
Hao wanahamasisha vitendo vya ushoga hii ni kinyume na dini
Lile lipo kitambo hta kabla ya propaganda za ushogaAu lile kanisa la mnageria banana dar
Stori za kusadikika hizi.Sodoma na Gomora
Sasa hao ni waumini gani ambao walikuwa wanapata mafundisho ya Mapenzi ya jinsia moja? Waende madhehebu mengine ambayo yanafundisha Kweli ya Neno la Mungu siyo mafundisho machafu kama hayo!Kwahiyo waumini waende wapi? Wengine walikua vibaka, je warudie zama zao?
Jamaa yuko deep vizuri sana kufundisha neno ila ana vitu kadhaa simuungi mkono...
Aliomba msamaha kwa serikali na wananchi kwa maneno kuhusu ushoga etc....kwanini serikali isingempa onyo kuliko kumfungia. Aliomba msamaha.
😁😁😁Waumini gani pale au wahuni na machangu ndo walijaa pale
Sasa hao ni waumini gani ambao walikuwa wanapata mafundisho ya Mapenzi ya jinsia moja? !
UKUKU WANGU UNATOKA WAPI. WAPI NIMEMTUKANA MLETA HOJA? haya nimekubali mimi kuku na wewe ni Nyumbu..Huna ujualo, usipende kudandia kila comment kwa kudhani unaimudu kuku wewe
Dhambi ya ushoga ni mbaya kuliko zote na adhabu yake ni Kali kuliko zoteWewe huna dhambi?
Kuhamasisha maana yake nini?
Shida yako wewe ni wivu baada ya kuona libiblia lako linadadavuliwa mauongo yake.Deep ipi zaidi ya upotoshi,anajiita Mpinga Kristo atakuwaje vizur Sasa, mafundisho yake yanauponda Ukristo.
Ni muhuni tu Hana hata shule ya dini kajikurupukia tu na mke wake wakajianzia kanisa linaitwa club,Sasa kanisa na club wapi na wapi
Hayo ni mawazo yako ambayo yanaweza kupuuzwa kwa wakati wowote katika siku saba za wiki.Dhambi ya ushoga ni mbaya kuliko zote na adhabu yake ni Kali kuliko zote
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119] thubutu.Waufungie na Ukatoliki maana papa alisema kuwa ushoga si kosa kisheria.
View attachment 2639633
Wizara ya Mambo ya Ndani imesitisha usajili wa Jumuiya ya kidini iitwayo Spirit Word Ministry iliyopo eneo la Stakishari Wilaya ya Ilala Jijini Dar es Salaam baada ya kubainika kutoa mahubiri na mafundisho yenye mwelekeo wa kuhamasisha vitendo vya mapenzi ya jinsia moja.
Waziri wa Mambo ya Ndani Hamad Masauni ameyasema hayo leo Jumatatu wakati akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya wizara yake kwa mwaka 2023/24.
Masauni amesema katika kudhibiti na kupambana na vitendo vya mmomonyoko wa maadili Ofisi ya Msajili wa Jumuiya imesitisha shughuli za Jumuiya ya kidini iitwayo Spirit Word Ministry iliyopo eneo la Stakishari Wilaya ya Ilala Jijini Dar es Salaam.
“Jumuiya hiyo imefutiwa usajili kwa sababu ya kutoa mahubiri na mafundisho yenye mwelekeo wa kuhamasisha vitendo vya mapenzi ya jinsia moja na kutoa ujumbe wenye kuhafifisha jitihada za kupambana na vitendo vya ushoga nchini,”amesema.
Aidha, Masauni amesema taarifa zimekusanywa zinazohusu idadi ya vituo vya kulea watoto na shule zinazotoa mafundisho ya dini kwa watoto wadogo.
Amesema lengo ni kutambua idadi ya vituo au shule za bweni zinazotoa mafunzo yenye mwelekeo unaokinzana na maadili ya nchi yetu ikiwemo vitendo vya mapenzi ya jinsia moja, ambapo katika mwaka 2023/24 wizara imepanga kuandaa mwongozo wa taratibu za kuabudu na ithibati ya taasisi zinazotoa elimu ya dini, kuimarisha ufuatiliaji na utendaji wa Jumuiya za Kidini na zisizokuwa za Kidini.
Pia katika mwaka huo watafanya ukaguzi na tathmini ya vihatarishi vya kiusalama kwa kushirikiana na Vyombo vya Ulinzi na Usalama pamoja na kutoa mafunzo kwa Viongozi wa Jumuiya yatakayochangia kudumisha amani na utulivu nchini.
Usilete chuki binafsi, serikali haijalala, hakuna jambo ambalo serikali hailijui.Sio pale kwenye hilo kanisa lile kwanza kilikuwa kituo cha kukusanyika mashoga na wasagaji na kilikuwa kituo cha kusambaza bidhas xinazotumiwa na mashoga na wasagaji kupitia kamouni yai ya Grace Products
Anawakusanya halafu anaanza kuwapa Products zila kiwanda chake alichokuwa anaxiga kuwa kinatengeneza vipodozi
Serikali iende kwenye kiwanda chake pia na iwafuatilie hasa ni wasambazaji wa vikainishi hao kupitia kampuni yao ya vipodozi
Siyo bure wewe. siyo kwa kuwatetea kwa kutukana. Eti unatetea watu wa imani kwa kutukana watu.Wewe huna dhambi?
Kuhamasisha maana yake nini?
Daaaaaaa ss itakuwajeee mkuu maaana wao ndio wameshika mpiniiYaani kwa ukubwa wa tatizo jinsi ulivyo nchini waziri anasimama kutangaza kusitisha usajiri wa kataasisi hako kamoja tu?
NIlitaraji tangazo lake la kwanza lingeondoka na taasisi na ministry kama 1,000 hivi.
Hapo ndiyo mtaamini hizo taasisi zina mkono wa serikali au zimeanzishwa na serikali yenyewe ili kuzififisha dini kwa kuingiza viongozi na ministry za kitapeli ambapo itafika mahali wananchi wattaona dini ni utapeli tu na kuacha kuzifuata.
Mpango huu ni mbinu ambayo CCP iliwapatia CCM waitumie ili kuua ushawishi wa dini nchini. Mbinu hii haikuishia hapo, wameipeleka mpaka mdani ya Lanisa Katoliki amnapo ili ku discourage waumini wame introduce michango mingi sana isiyo na kichwa wala miguu.
Hata hiyo taasisi iliyofungiwa unaweza kukuta ilikua ni project ya serikali ni vile wameona approach hii imekua too much ndiyo maana wameishia kuifuta tu bila kuwachukulia hatua yoyote na hata ufutaji wake umekuja kwa kuchelewa sana.
Mchawi mkubwa wa nchi hii ni CCM na Serikali yake.
Hukumuelewaa vizuri Papa, kamsome tenaaa.Waufungie na Ukatoliki maana papa alisema kuwa ushoga si kosa kisheria.