Taasisi ya Kidini ya Spirit Word Ministry yafutiwa usajili

Taasisi ya Kidini ya Spirit Word Ministry yafutiwa usajili

Jamaa yuko deep vizuri sana kufundisha neno ila ana vitu kadhaa simuungi mkono...
Aliomba msamaha kwa serikali na wananchi kwa maneno kuhusu ushoga etc....kwanini serikali isingempa onyo kuliko kumfungia. Aliomba msamaha.

TENA NAONA SERIKALI NI WAUNGWANA, WATU WA HIVI NI WA KUCHINJA TU.
KWA JINSI USHOGA ULIVYO TAPAKAA SIO JAMBO LA KUUNGA MKONO KWA NAMNA YOYOTE ILE.
 
Yaani kwa ukubwa wa tatizo jinsi ulivyo nchini waziri anasimama kutangaza kusitisha usajiri wa kataasisi hako kamoja tu?
NIlitaraji tangazo lake la kwanza lingeondoka na taasisi na ministry kama 1,000 hivi.
Hapo ndiyo mtaamini hizo taasisi zina mkono wa serikali au zimeanzishwa na serikali yenyewe ili kuzififisha dini kwa kuingiza viongozi na ministry za kitapeli ambapo itafika mahali wananchi wattaona dini ni utapeli tu na kuacha kuzifuata.

Mpango huu ni mbinu ambayo CCP iliwapatia CCM waitumie ili kuua ushawishi wa dini nchini. Mbinu hii haikuishia hapo, wameipeleka mpaka mdani ya Lanisa Katoliki amnapo ili ku discourage waumini wame introduce michango mingi sana isiyo na kichwa wala miguu.
Hata hiyo taasisi iliyofungiwa unaweza kukuta ilikua ni project ya serikali ni vile wameona approach hii imekua too much ndiyo maana wameishia kuifuta tu bila kuwachukulia hatua yoyote na hata ufutaji wake umekuja kwa kuchelewa sana.
Mchawi mkubwa wa nchi hii ni CCM na Serikali yake.
Acha mawazo hasi. tumia your free mind. Serikali haihitaji kuwatumia wajinga na mshoga kama hawa Spirit World Ministry kufanya jambo lake. hawa mafundisho yao yamekuwa ya hovyo sana na yanayokinzana na maadili ya mwafrika siku nyingi tu. Serikali ipongezwe kwa hatua iliyochukua.
 
kwa hiyo huyo mchungaji anaweza fungua kanisa jipya kwa jina lingine.. ama namna gani wajameni?
 
Acha mawazo hasi. tumia your free mind. Serikali haihitaji kuwatumia wajinga na mshoga kama hawa Spirit World Ministry kufanya jambo lake. hawa mafundisho yao yamekuwa ya hovyo sana na yanayokinzana na maadili ya mwafrika siku nyingi tu. Serikali ipongezwe kwa hatua iliyochukua.
Huna ujualo, usipende kudandia kila comment kwa kudhani unaimudu kuku wewe
 
TENA NAONA SERIKALI NI WAUNGWANA, WATU WA HIVI NI WA KUCHINJA TU.
KWA JINSI USHOGA ULIVYO TAPAKAA SIO JAMBO LA KUUNGA MKONO KWA NAMNA YOYOTE ILE.
Ugumu wa maishaa hausababishwi na ushoga/mashoga, unajipaa sonona bureeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Poleeeeeer
 
Kwahiyo waumini waende wapi? Wengine walikua vibaka, je warudie zama zao?
Waumini mashoga na wasagaji kituo chao kimevunjwa

Naipongeza wizara kile kilikuwa kituo cha kukusanyika mashoga na wasagaji kwa mwavuli wa dini huku wakipewa vilainishi vya Kampuni yao ya Grace Products au zoazoa products

Hiyo kampuni kaxi yake ni kusambaxa vikainishi vya ushoga
 
Warudie kuwa vibaka tutapambana nao kwa heri na shari hili ndio jukumu mama la jeshi la ulinzi na usalama. Waambie dada zako waendelee kujipanga manzese na bugururuni ipo siku tutawafikia
Sahihi
 
Mashoga wanahitaji neno la Mungu ili wabadilike mbona wazinzi wapo wengi na still wanacheka nao tunataka haki sawa kwa wote
Sio pale kwenye hilo kanisa lile kwanza kilikuwa kituo cha kukusanyika mashoga na wasagaji na kilikuwa kituo cha kusambaza bidhas xinazotumiwa na mashoga na wasagaji kupitia kamouni yai ya Grace Products

Anawakusanya halafu anaanza kuwapa Products zila kiwanda chake alichokuwa anaxiga kuwa kinatengeneza vipodozi

Serikali iende kwenye kiwanda chake pia na iwafuatilie hasa ni wasambazaji wa vikainishi hao kupitia kampuni yao ya vipodozi
 
Mashoga wanahitaji neno la Mungu ili wabadilike mbona wazinzi wapo wengi na still wanacheka nao tunataka haki sawa kwa wote
Kabisa, wanataka makanisa yawafukuze mashoga badala ya kuwakaribisha na kuwasaidia?

Mbona hata mafisadi na mafiraji yanaenda kanisani? Kwanini mashoga wasiende kanisani?

Tutumie falsafa ya Yesu ya kuwakumbatia makahaba, hakuwahukumu.

Asiye na dhambi na awe wa kwanza kutupa jiwe. HAKUNA, wote majizi, wauaji na mafisadi, tena wengine ndo wachafu kuliko. MAKAHABA, WAZINZI, wachafu wa kila aina.
 
Wawaache mashoga, kiherehere tu. [emoji1373]
Wenye dhambi ikiwemo hao hakuna kanisa au msikiti unawazuia kwenda kufanya toba na kumrejea Mungu wao na kuuacha ushoga.
Hao wanahamasisha vitendo vya ushoga hii ni kinyume na dini
 
Kabisa, wanataka makanisa yawafukuze mashoga badala ya kuwakaribisha na kuwasaidia?
Sodoma na Gomora kulikuwa na wenye dhambi kibao wakiwemo wazinzi nk lakini dhambi pekee iliyofanya Mungu aunguze Sodoma na Gomora ni ushoga
Si kuwa wale hawakuwa na dhambi zingine la

Dhambi zingine Mungu alivumilia lakini sio Ushoga
 
Hao ndio wamiliki wa Bidhaa za Grace products.Za kwenye vipodozi haziwatoshi wanataka wawaibie watu pia kwenye dini.
Mafundisho Yao yanapingana na Biblia.
Wanasema kufuata amri 10 ni ushamba,Biblia ni sawa tu na kitabu Cha historia,watu wavaae hata uchi kanisan,na mengi mapotoshi.
Hawana elimu kuhusu Ukristo walikurupuka tu kwa ajenda zao za kifreemason.
Wakafungiwa
 
Sodoma na Gomora kulikuwa na wenye dhambi kibao wakiwemo wazinzi nk lakini dhambi pekee iliyofanya Mungu aunguze Sodoma na Gomora ni ushoga
Si kuwa wale hawakuwa na dhambi zingine la

Dhambi zingine Mungu alivumilia lakini sio Ushoga
Ushoga hata shetani tu anauogopaa
 
Back
Top Bottom