Taasisi ya Kidini ya Spirit Word Ministry yafutiwa usajili

Utajua mwenyewe, ila usipo acha ushoga utaenda motoni.full stop
Maneno yako hayawezi kunitisha mimi.... Na wala hayawezi kuwatisha wote walio na Yesu ndani yao.

Pole sana mkuu.
 
Hmwambie huyo punguani analiwa kiboga anataka atulazimishe na sisi tufuate tabia zake za kikameruni
Poa mkuu ,nitakula nao sahani moja hawa tukiwaacha wataharibu watoto wetu na jamii yetu,wanataka walete ushetani kwenye jmiii yetu,hawawezi tumesimama kidete kama museveni
 
Maneno yako hayawezi kunitisha mimi.... Na wala hayawezi kuwatisha wote walio na Yesu ndani yao.

Pole sana mkuu.
Usijifaliji, moyoni mwako unajijua,hayo maneno yako ya kusema upo ndani ya yesu hayatokuokoa siku ya hukumu, usipo tubu na kuacha ushoga utaenda motoni, na imenyooka kama rula,na hata ukifa sasa motoni unaenda yani namaanisha unaenda kuchomw milelee ,Wazinzi ,mashoga sehemu yenu ni kwenye ziwa la moto
 
Sawa.
 
Piga kelele, jisingizie dini, sema sana moto na jehanamu lakini jua hayaondoi ukweli kuwa unaliwa.
 
Sasa akienda motoni we unaumia nini?

Hakiniumi ila ukisha fika ndo utaelewa ,naukifa
Piga kelele, jisingizie dini, sema sana moto na jehanamu lakini jua hayaondoi ukweli kuwa unaliwa.
Mimi sijihushi na dini,wala siyo kiongozi wa dini wala sijaongelea dini ,ninaongea neno la Mungu lenye linalokata kuwili unahisi ukiwa wakala wa shetani ,ndo utaokoka πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€,shetani wako na ww msukule wake unayejiita wakala wake usipotubu dhambi na usipoacha ushoga ,neno la Mungu limenyoooka wote ni jehanamu na shetani,na ukifa sasa huyo shetani atakuwa wakwanza kukutesa ulivyo msukule unamtumikia eti wakala na ukifa anakutesa na motoni unaendaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ jinga sana wewe hujielewi,nakwambia Tubu ushoga usipo tubu na kuacha unaenda motoni na siyo ushoga tu na uwakala wa shetani utakupeleka motoni πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€,tena nasema ukafa sasa na hivi hujui dk 10 mbele utakuwa wapi ikitokea umekufa,mzee imekula kwako ni motoni milele, si unayaona makaburi yalivyo. Eeehh Nawewe utakuwa vile ukiwa motoni,.....
 
Hii janja ya kutumia kichaka cha dini tumeigundua. Kwanza bado unauza kwa bei ile ile ya zamani?
 
Hii janja ya kutumia kichaka cha dini tumeigundua. Kwanza bado unauza kwa bei ile ile ya zamani?
An stable bro , unipanikishi kwa maneno yako, ipo hivi usipo tubu ushoga wako na uwakili cjui uwakala wa shetani motoni utaenda na nakwambia ukifa sasa motoni milele kuwa wakala wa shetani haitokusaidia kitu
 
Hii janja ya kutumia kichaka cha dini tumeigundua. Kwanza bado unauza kwa bei ile ile ya zamani?
Hakuna dini hapa ,mm siongelei dini nakemea dhambi,usipo tubu ushoga na uwakala wa shetani ni jehanamu milele
 
An stable bro , unipanikishi kwa maneno yako, ipo hivi usipo tubu ushoga wako na uwakili cjui uwakala wa shetani motoni utaenda na nakwambia ukifa sasa motoni milele kuwa wakala wa shetani haitokusaidia kitu
Nani akupanikishe na ushoga na kuliwa umechagua mwenyewe?
 
Nani akupanikishe na ushoga na kuliwa umechagua mwenyewe?
Endelea kutukana ,Sasa namwomba Kama Mungu aliyeniumba akaaye maali pa juu palipo tukuka ,siku ya leo utaikumbuka na maneno yangu utayakumbuka ulikuwa tarehe 1/6/2023 , Mungu akuhukumu kupitia siku ya leo na siku ya kufa kwako usipo tubu ushoga na uwakala wa shetani,siku hii na maneno haya yawe shahidi ya kuingiza motoni , na pili siku yoyote utakapo jiusisha na ushoga popote pale au hata hapa jukwaani iwe kivitendo ama kuhamasisha kutoka mda na saa kama sasa Mungu na akuhukumu kama alivyo hukumu sodoma na gomola, na maneno haya yasimame kama laana kwenye maisha yako na kizazi chako,Na tatu ipo hivi maneno haya yawe hukumu popote ukaapo yasifutike kwenye moyo wako, "USITO TUBU USHOGA NA UASHERATi NA KUACHA ,UTAENDA JEHANAMU " kuwa wakili wa shetani hakuto kusaidia au kujitoa ufahamu na kutukana,Kila la heri.Hutoona message ikikujibu ila Haya maneno yatakujibu
 
wafute na TOP PLUS tv, mbona wamefutiwa lakini tv yao bado wanaendeleza? wafute na tv, au hatuna TCRA? kwa wasiojua, hao jamaa wa kanisa lililokuwa linasapoti ushoga, walikuwa pia na television ipo azam, walikuwa wanahubiri kanisani na kurusha kwenye tv, mahubiri waliyoyapata serikali hadi kuwafungia waliyapata kupitia tv hata zile youtube izlitoholewa kwenye tv ambayo bado inafanya kazi. ajabu ingine, azam kujifanya ustaadh, aliendelea kuruhusu watu warushe uchafu ule na bado tv hiyo ipo hewani kwenye king'amuzi wa azam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…