PostGE2025 Taasisi ya Mwalimu Nyerere yaandaa kongamano kuzungumzia Amani

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,848
Reaction score
63,306
G66Ob0aXUAAh9d0.jpg

Ushauri wa Maria Sarungi kuhusu hili kongamano:
===================
Mzee Butiku nakuita mara tatu!
Nakuheshimu Baba ACHANA NA HII PROJECT YA ABDUL 🚮
👉🏽 Usitumie vibaya jina la Mwalimu Nyerere mbona taasisi haijawahi kutoa tamko kulaani mauaji mnakimbilia mambo ya amani!?
👉🏽 Hatutaki maridhiano na serikali HARAMU na batili, wananchi tunataka HAKI! Bila Haki hakuna Amani! Na inaanza na Ukweli na Uwajibikaji siyo vikao vya amani!
👉🏽 Humphrey Polepole muda mchache kabla ya kutekwa alipandisha video akasema kuna wazee anawaheshimu ila wameshahongwa kabla ya uchaguzi ili waje kuongelea maridhiano baada ya kutuumiza uchaguzi - nikahoji kama si wewe alikulenga? Sasa hii mbona kama ni wewe kweli?
‼️ACHA ❌ Usiguse damu za watanganyika‼️

👉🏽 Rudisha haraka pesa za Abdul na achana na hii labda kama mnaunda timu ionane na @SuluhuSamia
kunshauri aachie ngazi hapo endeleeni nje ya hapo narudia kukushauri ACHANA NA HII KITU HARAKA
Mtajijengea CHUKI kubwa wakati mlishatumikia nchi na kuwa na heshima kubwa
Umeshindwa yote kaa kimya!
 
Nani atahudhuria ccm na polisi wao?
Alichelewa, alitakiwa aongelee utekaji miaka mitano iliyopita, sasa anaongelea amani gani?

Kama kuna anaye fahamu wadhamini wa hiyo taasisi waambiwee wasimpe pesa hana afanyacho na hizo pesa.

Wakaendelee na makongamano yao huko uvcc.
 
View attachment 3509196

===================
+++Ushauri wa Maria Sarungi kuhusu hili kongamano:
===================
Mzee Butiku nakuita mara tatu!
Nakuheshimu Baba ACHANA NA HII PROJECT YA ABDUL 🚮
👉🏽 Usitumie vibaya jina la Mwalimu Nyerere mbona taasisi haijawahi kutoa tamko kulaani mauaji mnakimbilia mambo ya amani!?
👉🏽 Hatutaki maridhiano na serikali HARAMU na batili, wananchi tunataka HAKI! Bila Haki hakuna Amani! Na inaanza na Ukweli na Uwajibikaji siyo vikao vya amani!
👉🏽 Humphrey Polepole muda mchache kabla ya kutekwa alipandisha video akasema kuna wazee anawaheshimu ila wameshahongwa kabla ya uchaguzi ili waje kuongelea maridhiano baada ya kutuumiza uchaguzi - nikahoji kama si wewe alikulenga? Sasa hii mbona kama ni wewe kweli?
‼️ACHA ❌ Usiguse damu za watanganyika‼️

👉🏽 Rudisha haraka pesa za Abdul na achana na hii labda kama mnaunda timu ionane na @SuluhuSamia
kunshauri aachie ngazi hapo endeleeni nje ya hapo narudia kukushauri ACHANA NA HII KITU HARAKA
Mtajijengea CHUKI kubwa wakati mlishatumikia nchi na kuwa na heshima kubwa
Umeshindwa yote kaa kimya!
Maria Sarungi mwenyewe hana Tofauti na Abdul.

Siyo kila agenda ya Maria Sarungi ni ya kubebana nayo.
 
Huyu naye!!!??
 
Huyu mzee kamuuza Polepole kwa pesa za Ridhiwani na Abdul then anazidi kuisaliti Tanganyika na Watanganyika kwa sababu ya uroho wa pesa, aelewe kwamba this time around kudanganya umma ni ngumu sana. Factions zilizomo ndani ya system tunayapata mengi ambayo wao hujaribu kuyafanya kuwa siri, ngoja aendelee kujivua nguo hadharani tuone hizo nvi zake za huko chini.
 
Kumbe ni Jose nilidhani ni Joji....msinishangae ni "Mtani" huyu Mzee.
 
Back
Top Bottom