- Thread starter
- #101
Kuna baadhi ya wajumbe aliowapelekea wito wamekataa.Msiende, muwe na akili hakuna cha kuzungumza na hao pimbi.
Kuna baadhi ya wajumbe aliowapelekea wito wamekataa.Msiende, muwe na akili hakuna cha kuzungumza na hao pimbi.
ushauri wangu ni tathmini ya ukweli wa Oktoba 29 na mahitaji ya kibinadamu kwa waliopotea, wanaogulia ndani na waliokufa.Nimekusoma hapo juu na katika haya maneno uliyoandika hapa niliyoyanyanyua; hasa huo mstari wa mwisho na nusu.
Nimejaribu kuwaza kama ungeweza kutoa ushauri kufanyike nini ili tuelekee huko unakofikiri wewe, lakini sikuona ushauri huo mahususi, mbali tu ya kuzungumzia mahitaji ya kuwa na mikakati ya kuendesha maandamano hayo.
Nimejiuliza, kama unafikiri hawa waTanzania wanaoandamana nia yao kweli ni kufanya maonyesho ya kuwafurahisha hao wanaong'ang'ania madaraka kwa nguvu?
Haya maandamano msukumo wake ni nini, na kwa nini ufikiri yatakuwa ni ya siku moja, watu wakiwa wameshika mabango! Hii picha ya kufikirika imeingiaje akilini mwako?
Na kama huo ni mkakati mmoja kati ya hiyo ambayo wewe ulidhani maandamano hayana "mkakati" utalielezeaje hilo!
Maandamano ya aina hii mara nyingi mikakati huibuliwa humo humo wakati wa maandamano yakiendelea; kwa sababu hakuna muda wa kukaa chini na kupanga hiyo mikakati unayoizungumzia wewe.
Kumbe wewe ni chizi tu anaye elekea kwenye uhai wa kinguruwe vile?ushauri wangu ni tathmini ya ukweli wa Oktoba 29 na mahitaji ya kibinadamu kwa waliopotea, wanaogulia ndani na waliokufa.
Maana hao hawatakuwepo D9.
Pili, maandamano yatakuwa ya siku moja, maana hayana maji wala chakula. Hiyo siyo rocket science.
Tatu, bado hakuna majibu ya mawasiliano.ikiwa mtandao utazimwa, maana media haziko upande wetu. Wakizima mtandao tu, maana yake organisation inakufa. Kitu pekee ambacho nakiona kwqsasa ni App za SMS ambazo ufanisi wake ni ZERO.
Utatukana sana...lakini hakuna mtu ataandamana bila chakula na maji kwa siku 30.Kumbe wewe ni chizi tu anaye elekea kwenye uhai wa kinguruwe vile?
Ni wewe unayeyapanga hayo maandamano yawe ya siku moja? Ni tathmini ipi uliyofanya kukuonyesha huo ndio ukweli?
Sihitaji tena kupoteza muda na pimbi kama wewe.
EEEeeenHEEEEeeee!Utatukana sana...lakini hakuna mtu ataandamana bila chakula na maji kwa siku 30.
Na wanaotaka kuandamana hawajifichi kama kiazi kama wewe.
Vijana wa Tiktok walitekwa na kuuliwa sana baada ya kuweka video wazi tiktok kuwa wtaandamana.
Wewe Nguruwe pori na ki-ID chako uchwara ANONYMOUS huna maajabu.