PostGE2025 Taasisi ya Mwalimu Nyerere yaandaa kongamano kuzungumzia Amani

PostGE2025 Taasisi ya Mwalimu Nyerere yaandaa kongamano kuzungumzia Amani

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Upo sahihi lkn hii agenda ya maandamano kuutoa utawala dhalimu yupo sahihi kwa 100% hata kama analipwa.
Huwezi kuangusha serikali kwa maandamano ya AMANI ya SIKU MOJA.

Ili serikali ianguke, maandamano yanatakiwa kudumu angalau SIMU 14 mpaka MWEZI.

Maana yake serikali isifanye kazi wala kukusa ya kodi.
 
Huwezi kuangusha serikali kwa maandamano ya AMANI ya SIKU MOJA.

Ili serikali ianguke, maandamano yanatakiwa kudumu angalau SIMU 14 mpaka MWEZI.

Maana yake serikali isifanye kazi wala kukusa ya kodi.
Ndio lengo lenyewe ila usitegemee lengo kutimia over a night.
 
Ndio lengo lenyewe ila usitegemee lengo kutimia over a night.
Lengo lazima liwe na mikakati na tathmini.

Siyo pesa imetoka mtu analipa kina Nyakundi, basi anasukuma tu mbele kwa mbele.

Unatakiwa kujua hatudili na serikali, tjnadili kikosi cha KIGAIDI maana hakuna serikali huwa inaua watu wale kwa silaha za moto na kuzika maiti usiku watu wasijue.

Kikundi cha hivyo kinahitaji mikakati na akili, na siyo tu maandamano ya mabango na maji, tena gizani wakati ambako MITANDAO imezimwa na MEDIA haziko upande wako.
 
Huyu ni mtu hatari sana kwa mustakabali wa nchi kwasababu ni mnafiki!! Hafai hata siku moja kuruhusiwa kwa kutumia jina la mwalimu Nyerere kujinufaisha kibinafsi. Huyu ndio mtu aliyemsaliti Polepole unaweza kuamini? Yote hayo kwa kuhongwa pesa na serikali Huyu mtu ni hatari, jamii ya watanganyika imuweke kando!.
Hivi ndio huyu alimsaliti Polepole? Ilikuaje?
 
Bado hawaelewi kuwa si huyu Mzee wala mzee mwingine yoyote anayeweza kusaidia hali iliyopo? Sasa huyu Mzee ataongea nini wananchi wamuelewe? Au Bwana Abdul anapenda tu kuliwa vihela vyake?
Abdul hana "vihela"; ana mahela toka kwa wajomba wasiojuwa wayafanyie kitu gani..

Kuja Tanzania na kutusambaratisha ni sehemu ya miradi yao ya uwekezaji.
 
View attachment 3509196

Ushauri wa Maria Sarungi kuhusu hili kongamano:
===================
Mzee Butiku nakuita mara tatu!
Nakuheshimu Baba ACHANA NA HII PROJECT YA ABDUL 🚮
👉🏽 Usitumie vibaya jina la Mwalimu Nyerere mbona taasisi haijawahi kutoa tamko kulaani mauaji mnakimbilia mambo ya amani!?
👉🏽 Hatutaki maridhiano na serikali HARAMU na batili, wananchi tunataka HAKI! Bila Haki hakuna Amani! Na inaanza na Ukweli na Uwajibikaji siyo vikao vya amani!
👉🏽 Humphrey Polepole muda mchache kabla ya kutekwa alipandisha video akasema kuna wazee anawaheshimu ila wameshahongwa kabla ya uchaguzi ili waje kuongelea maridhiano baada ya kutuumiza uchaguzi - nikahoji kama si wewe alikulenga? Sasa hii mbona kama ni wewe kweli?
‼️ACHA ❌ Usiguse damu za watanganyika‼️

👉🏽 Rudisha haraka pesa za Abdul na achana na hii labda kama mnaunda timu ionane na @SuluhuSamia
kunshauri aachie ngazi hapo endeleeni nje ya hapo narudia kukushauri ACHANA NA HII KITU HARAKA
Mtajijengea CHUKI kubwa wakati mlishatumikia nchi na kuwa na heshima kubwa
Umeshindwa yote kaa kimya!
Hata ndezi huwa zinazeeka! Mzee Butiku naye ameishia kuwa mzee wa hovyo hovyo! Taasisi itakuwa na njaa hiyo ameona Bora aokote maokoto ya Abdul! Hii no aibu! Vijana wamweke kwenye orodha!
 
Lengo lazima liwe na mikakati na tathmini.

Siyo pesa imetoka mtu analipa kina Nyakundi, basi anasukuma tu mbele kwa mbele.

Unatakiwa kujua hatudili na serikali, tjnadili kikosi cha KIGAIDI maana hakuna serikali huwa inaua watu wale kwa silaha za moto na kuzika maiti usiku watu wasijue.

Kikundi cha hivyo kinahitaji mikakati na akili, na siyo tu maandamano ya mabango na maji, tena gizani wakati ambako MITANDAO imezimwa na MEDIA haziko upande wako.
Nimekusoma hapo juu na katika haya maneno uliyoandika hapa niliyoyanyanyua; hasa huo mstari wa mwisho na nusu.
Nimejaribu kuwaza kama ungeweza kutoa ushauri kufanyike nini ili tuelekee huko unakofikiri wewe, lakini sikuona ushauri huo mahususi, mbali tu ya kuzungumzia mahitaji ya kuwa na mikakati ya kuendesha maandamano hayo.

Nimejiuliza, kama unafikiri hawa waTanzania wanaoandamana nia yao kweli ni kufanya maonyesho ya kuwafurahisha hao wanaong'ang'ania madaraka kwa nguvu?
Haya maandamano msukumo wake ni nini, na kwa nini ufikiri yatakuwa ni ya siku moja, watu wakiwa wameshika mabango! Hii picha ya kufikirika imeingiaje akilini mwako?
Na kama huo ni mkakati mmoja kati ya hiyo ambayo wewe ulidhani maandamano hayana "mkakati" utalielezeaje hilo!

Maandamano ya aina hii mara nyingi mikakati huibuliwa humo humo wakati wa maandamano yakiendelea; kwa sababu hakuna muda wa kukaa chini na kupanga hiyo mikakati unayoizungumzia wewe.
 
Hiyo Bodi wa Wadhamini na huyo Mzee Butiku inafaa vijana wawatembelee huko kwenye kongamano la kipumbavu hilo.
 
View attachment 3509196

Ushauri wa Maria Sarungi kuhusu hili kongamano:
===================
Mzee Butiku nakuita mara tatu!
Nakuheshimu Baba ACHANA NA HII PROJECT YA ABDUL 🚮
👉🏽 Usitumie vibaya jina la Mwalimu Nyerere mbona taasisi haijawahi kutoa tamko kulaani mauaji mnakimbilia mambo ya amani!?
👉🏽 Hatutaki maridhiano na serikali HARAMU na batili, wananchi tunataka HAKI! Bila Haki hakuna Amani! Na inaanza na Ukweli na Uwajibikaji siyo vikao vya amani!
👉🏽 Humphrey Polepole muda mchache kabla ya kutekwa alipandisha video akasema kuna wazee anawaheshimu ila wameshahongwa kabla ya uchaguzi ili waje kuongelea maridhiano baada ya kutuumiza uchaguzi - nikahoji kama si wewe alikulenga? Sasa hii mbona kama ni wewe kweli? Ja
‼️ACHA ❌ Usiguse damu za watanganyika‼️

👉🏽 Rudisha haraka pesa za Abdul na achana na hii labda kama mnaunda timu ionane na @SuluhuSamia
kunshauri aachie ngazi hapo endeleeni nje ya hapo narudia kukushauri ACHANA NA HII KITU HARAKA
Mtajijengea CHUKI kubwa wakati mlishatumikia nchi na kuwa na heshima kubwa
Umeshindwa yote kaa kimya!

Amani nini? Haki ni nini?
 
Mzee Butiku achana na hii project ya Abdul unazidi kujidharirisha, maelfu ya watu wameuwawa na genge la Abdul haujaongea chochote, sasa unataka kutumia Nyerere foundation kutetea uovu? Kwa umri wako mzee haustahili kushiriki mambo ya hovyo kama hayo
 
Msiende, muwe na akili hakuna cha kuzungumza na hao pimbi.
 
Back
Top Bottom