View attachment 3509196
===================
+++Ushauri wa Maria Sarungi kuhusu hili kongamano:
===================
Mzee Butiku nakuita mara tatu!
Nakuheshimu Baba ACHANA NA HII PROJECT YA ABDUL 🚮
👉🏽 Usitumie vibaya jina la Mwalimu Nyerere mbona taasisi haijawahi kutoa tamko kulaani mauaji mnakimbilia mambo ya amani!?
👉🏽 Hatutaki maridhiano na serikali HARAMU na batili, wananchi tunataka HAKI! Bila Haki hakuna Amani! Na inaanza na Ukweli na Uwajibikaji siyo vikao vya amani!
👉🏽 Humphrey Polepole muda mchache kabla ya kutekwa alipandisha video akasema kuna wazee anawaheshimu ila wameshahongwa kabla ya uchaguzi ili waje kuongelea maridhiano baada ya kutuumiza uchaguzi - nikahoji kama si wewe alikulenga? Sasa hii mbona kama ni wewe kweli?
‼️ACHA ❌ Usiguse damu za watanganyika‼️
👉🏽 Rudisha haraka pesa za Abdul na achana na hii labda kama mnaunda timu ionane na @SuluhuSamia
kunshauri aachie ngazi hapo endeleeni nje ya hapo narudia kukushauri ACHANA NA HII KITU HARAKA
Mtajijengea CHUKI kubwa wakati mlishatumikia nchi na kuwa na heshima kubwa
Umeshindwa yote kaa kimya!