makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,696
- 109,218
Sizungumzii njaa ya ugali, bali ni tamaa ya mali..Njaa haina baunsa..
Sizungumzii njaa ya ugali, bali ni tamaa ya mali..Njaa haina baunsa..
Basi wewe nenda kawashauri ccm mpaka washaurikeAnayo faida. Anafanya biashara.
Asingekuwa na faida asingeanzisha kampeni ya kuoinga EACOP.
Pili, siyo kila anayetoa ushauri msioupenda ni CCM.
CCM hawashauriki, na nyie hamshauriki.
Asiyeshaurika hajawahi kufanikiwa.
Walioandamana wengi wako kwenye maombolezo, ila nyie badala ya misaada ya kibindamu mko busy na Part 2...
Hata askari wanaofia vitani, huzikwa kwanza.
SIYO BURE, HUYU MZEE KAKENGEUKA HIVI. kKUNA JAMBO NYUMA YAKE.Huyu mzee kamuuza Polepole kwa pesa za Ridhiwani na Abdul then anazidi kuisaliti Tanganyika na Watanganyika kwa sababu ya uroho wa pesa, aelewe kwamba this time around kudanganya umma ni ngumu sana. Factions zilizomo ndani ya system tunayapata mengi ambayo wao hujaribu kuyafanya kuwa siri, ngoja aendelee kujivua nguo hadharani tuone hizo nvi zake za huko chini.
Njaa kaivalia kibwaya, anazidi kujidhalilisha.SIYO BURE, HUYU MZEE KAKENGEUKA HIVI. kKUNA JAMBO NYUMA YAKE.
Huyu si ndio aliwafokea Gen-Z kwamba wakijifanya wanaogopa watatawaliwa na wauaji?. Au ni Pacha wake?Huyu Mzee alishakosa uhalali wa kusimamia amani
Acha ujinga umeambiwa huyo maria mpeni mapesa aanze kusifu na kuabudu huko mbogani then ulete feedbackUngesoma uelewe.
Kwanza sijamtaja Mange.
Nimesema Maria.
Pili, sijapinga maandamano, ninachozunguzmia ni MIKAKATI, TATHMINI na MALENGO unless kama nia ni KUTOFANIKIWA kwenye CHOCHOTE.
Una askari wako, tayari wana majeraha ya risasi wako ndani, wewe unakomaa kama vile hakijatokea kitu.
Huwezi kushinda vita kwa njia hiyo. Tathmini ni jambo muhimu.
Cheki hili tikitiChakula na Maji watapora kwenye maduka ya watu.😀
Maria anapokea mapesa, wala hiyo siyo siri.Acha ujinga umeambiwa huyo maria mpeni mapesa aanze kusifu na kuabudu huko mbogani then ulete feedback
Kwa alichokifanya, ni ngumu kuonekana.Kwa taarifa yako hajaonekana hadharani wiki sasa, guess what.
Ukweli sijawahi kuona faida ya hii taasisi labda mlio karibu nayo mtuambie.Huyo mzee Butiku amekula sana hela za hiyo taasisi.
Kwani kupokea pesa ni kosa inategemea zinasaidiaje jamii, tulikuwa tunapokea pesa za USAID kujengea matundu ya choo, hata Samia alipokea pesa za waarabu akauza bandari.Maria anapokea mapesa, wala hiyo siyo siri.
Anapokea pesa nyingi.tu kupitia taasisi yake ya Change Tanzania, ana kundi lake la kusukuma reli Twitter kama Msabaha.
Hoja yangu ni kuwa siyo kila AGENDA ya MARIA inafaa, lazika akili itumike. Kwasababu sigo kipa AGENDA yake ina maslahi kwa umma.Kwani kupokea pesa ni kosa inategemea zinasaidiaje jamii, tulikuwa tunapokea pesa za USAID kujengea matundu ya choo, hata Samia alipokea pesa za waarabu akauza bandari.
Upo sahihi lkn hii agenda ya maandamano kuutoa utawala dhalimu yupo sahihi kwa 100% hata kama analipwa.Hoja yangu ni kuwa siyo kila AGENDA ya MARIA inafaa, lazika akili itumike. Kwasababu sigo kipa AGENDA yake ina maslahi kwa umma.
Nikakupa mfano wa EACOP.