nyboma
JF-Expert Member
- Aug 29, 2021
- 2,308
- 7,366
Tukifuata itifaki ni kwamba pale unapomu address kiongozi mkuu wa nchi basi ni vyema kutanguliza maneno mfano “ Mh. Rais Mama Samia Suluhu Hassan” baada ya hapo inafuatiwa risala.
Ama unapotoa risala ikakulazimu kumtaja Rais wa nchi basi ni vyema kuzingatia itifaki ya utambulisho kwa kum address kiongozi huyo mkuu wa nchi kwa kutaja “Mh. Rais Mama Samia Suluhu Hassan”
Hivi karibuni tangu Mh. Rais Mama Samiah Suluhu Hassan madaka kumetoka watu ambao wanamvunjia heshima Rais wetu kwa kum address kama “Mama” mfano ni Mh. Job Ndugai ambaye ni Spika wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania kwenye clip inayozagaa mitandaoni tumemuona akim address Rais wetu kama “Mama” na jinsi alivyokuwa akiongea unaona moja kwa moja anamdharau sana huyu Rais wetu.
Hivyo sisi kama wazalendo kindakindaki wa taifa hili changa tunaomba kuanzia leo itifaki izingatiwe na taasisi hii ya Rais iheshimiwe na tunaomba pia watu wawe na nidhamu pale wanapomu address mama waanze na neno “Mh. Rais Samia Suluhu Hassani”