JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Wakati wa kutoa elimu ya afya ya akili, tuliguswa sana na mmoja wa wanafunzi aliyekuwa akitafsiri kwa lugha ya alama, kuhakikisha kila mmoja anapata nafasi ya kuelewa na kushiriki. Hii ilikuwa ishara halisi ya upendo na ujumuishi!
Tunaamini kwamba hakuna afya bila afya ya akili, na kila mtu — bila kujali tofauti zao — anastahili kupata maarifa haya muhimu.
Je, wewe unaelewa umuhimu wa elimu jumuishi katika afya ya akili?
Chanzo: ZAMHSO
Pia soma
~ Zanzibar Mental Health Support Organization imeanza kutekeleza Rasmi Mradi wa Elimu ya Afya ya Akili Shuleni
~ Zaituni Shabani Salum wa ZAMHSO: Elimu ya Afya ya Akili ni nguzo muhimu kwa kizazi chetu
~ ZAMHSO: Mradi wa Afya ya Akili Shuleni utaacha athari chanya na kuleta mabadiliko ya kudumu