Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Sitazitaja majina hizi taasisi zetu., nyingi sana nimeshawahi kuzipelekea proposal za project wengi walikuwa wanashangaa proposal nilizokuwa nawapelekea, wengine unaambiwa appointment ndo imetoka hiyo ni full ubabishaji naandika haya nikiwa ni mtu ambaye nina-uzoefu wa kukataliwa na hizi taasisi
bali huu ni ukweli mchungu taasisi za afya za Tanzania kwa asilimia kubwa zinaendeshwa kiujanjaujanja kwanini nasema hivi
Mwaka 2019 imetokea Corona wenzetu wanahangaika na kuja na dawa watafiti wetu wapo kama onlookers ile ilikuwa fedheha kubwa sana baadae yaani tunasubiria huruma na fungulia mbwa ya dawa ambazo zilikuwa zinakaribia kuexpire haya mambo inabidi yafike mwisho
Na kwenye hizo taasisi ni bora kuliko ukutane na wale wazee watatoa mda wao watakusikiliza hata, ila vijana walioajiriwa kwenye hizo taasisi asilimia kubwa sana ni watu wa hovyo sana na hopeless
Lazima taasisi zetu ziwe results oriented life science na pharmaceutical zina-fedha sana kama ukiwa na result au products, kuna watu kwenye hizi taasisi wanasafari sana lakin safari zao hazijawa na tija na faida kwenye hizi taasisi na nchi kwa ujumla yaani zimekuwa ni kama vacation hii inatakiwa istop kama kweli tunataka kupata faida kutoka kwenye life science na pharmaceutical research
NIKIWA RAIS WA TANZANIA HIZI TAASISI ZITAKUWA RESULT ORIENTED NA SIO VACATION ORIENTED KWANINI NAZIITA VACATION ORIENTED HAWAJI NA PRODUCTS ITAKAYO TATUA CHANGAMOTO DUNIANI
bali huu ni ukweli mchungu taasisi za afya za Tanzania kwa asilimia kubwa zinaendeshwa kiujanjaujanja kwanini nasema hivi
- Nyingi zinatumika kukusanya data kwa ajili ya makampuni ya wazungu inshort nyingi ni middleman (madalali)
- Hata tafiti ambazo wanafanya kwenye issue ya drug discovery zimejikita kwenye drug reposition moja ya field ya watu wavivu
- Ukiwapelekea idea za kutengeneza dawa wanazipiga chini haraka sana bila hata kuuliza, yaani wao kwenye akili zao wameshakubali kushindwa ila bado wanangangania kufanya kazi kwenye hizo taasisi wanashangaza sana
- Wafanyakazi wanapigania familia zao kupitia hizo taasisi hawana uchungu hata kidogo
- Nyingi zinatumika na madalali wanaoishi nchi za western kama sehemu za michongo refer issue ya USAID
- Wanafanya mambo ya kawaida sana nyingine zina-majina makubwa sana ila wanafanya mambo ya kawaida sana
- Kwa sababu zinaendeshwa kimchongomchongo hazina malengo ya maana ya mda mfupi na mrefu
- Wengi wanafurahia paper zao kuchapishwa kwenye journal za nchi za Western-na huu utumwa ndo unaotufanya akili zetu ziwe kwenye gereza hatuwezi fanya kitu mpaka tuwapelekee wao kwanza waa-approval kwanini tusianzishe journal zetu
- Nieleweke sipingi ushirikiano na nchi za Western bali napinga utumwa wa fikra