Taasisi za afya za utafiti za Tanzania zinaendeshwa kiudalali, kiujanja-ujanja na kimchongo

Mimi najua namna na njia ya kutengeneza dawa kuliko wewe unayetegemea AI na ndo akili zilizojaa huko kwenye hizo taasisi

Nyie ambao mko seriously nini cha maana mmefanya kwenye field life science so far hakuna cha maana mlifonya mnakula fedha na serikali na mishahara minono na hakuna cha maana mnachofanya miaka nenda rudi

Mkiulizwa maswali kama haya mnakuja na vitusho mara hiki gharama yake ni hiki au vile yaani mnatafuta vichaka vya kujificha kwa nguvu zote
Dawa za mitishamba sawa na zile za kuchemsha malimao, kwa heri
 
Hao wazungu wenyewe waliibuka tu wakawa na hizo maabara mkuu?
Tuache kudharau uwezo na mawazo ya watu, hasa pindi wanapokuja na mawazo yao.

Afrika tumekuzwa kila kitu ni kuogopeshana hivyo mtu akitokea akawa na mawazo mapya tunampiga badala ya kumpa go ahead au kumsapoti.
 
Watu wanasahau wazungu kufika pale ilikuwa ni process sio swala la kufunga macho na kufungua

Wajapan, wakorea na wachina waliamua kuvipuuzia vitisho na leo wako walipo wanashindana na nchi za Western kama wangekubali kuwa wanyonge wangebaki vile vile walivyo
 
Waafrika ndiyo viumbe tunataka maendeleo lakni ni wavuvu
 
Corona ilitufumbua macho kwamba hatuna nchi.

Machanjo ya mabeberu yalitamalaki na kupigiwa chapuo kwa namna ya ajabu.

Ukihoji unapigwa virungu na Muliro.

Muliro ulaaniwe.
 
Safi sana.

Upo sahihi mno Mkuu, na si Taasisi hizo za utafiti pekee bali karibu Taasisi zote za Serikali zina chembe ya haya madudu.

Una mawazo mengi mazuri na ndoto ya kuwa Rais itatimia na utaifikisha nchi yetu mahali pazuri.
 
Mimi ni mdau mwenye 25yrs experience, utafiti wa madawa na kuendesha kiwanda cha madawa sio kama stori za huyu kijana anazotoa kila siku hapa. Eti ana proposal ya utafiti wa Ebola na Marburg disease?? Viral?? anacheza huyu, unajua hata darubini ya kumuona virus haipo tz? Eti kapeleka kwenye taasisi wakamkatalia, sio kumkatalia tu angekua mtu seriuos angempeleka mirembe tu!
Binafsi naona anayetakiwa kuwa Mirembe hadi dakika hii ni wewe.

Uwezo wako wa kufikiri sioni kama upo sawa kwa jinsi ulivyojibu hoja ya jamaa.
 
Hii meza mnayotingisha ina vinywaji vya gharama sana. Mtatolewa nje mkiwa mmebebwa juu juu.

😅
 
Binafsi naona anayetakiwa kuwa Mirembe hadi dakika hii ni wewe.

Uwezo wako wa kufikiri sioni kama upo sawa kwa jinsi ulivyojibu hoja ya jamaa.

Naheshimu mawazo yako na ahsante kwa mchango wako! It all depends on schools of thoughts sio lazima tufanane
 
Safi sana.

Upo sahihi mno Mkuu, na si Taasisi hizo za utafiti pekee bali karibu Taasisi zote za Serikali zina chembe ya haya madudu.

Una mawazo mengi mazuri na ndoto ya kuwa Rais itatimia na utaifikisha nchi yetu mahali pazuri.
Ahsante na pamoja sana
 
The investment required to build a fully functioning drug manufacturing facility can vary massively, depending on a number of critical factors. Here’s a breakdown to help contextualize the potential costs:

💡 Quick Summary Estimates​

Type of FacilityEstimated Cost (USD)
Small-scale pilot plant (non-GMP)$1M – $5M
Medium-scale GMP facility$10M – $50M
Full-scale commercial GMP facility$50M – $500M+
High-tech biologics facility (e.g. for mRNA, cell therapy)$100M – $1B+

🧪 Key Cost Drivers​

  1. Type of Drugs Produced
    • Tablets/capsules (solid dosage): Less expensive
    • Injectables/sterile products: Much more expensive (clean rooms, sterility)
    • Biologics or biosimilars: Extremely high-cost (fermentation, purification, cold chain)
    • Controlled substances: Higher security and regulatory needs
  2. Production Scale
    • Pilot (R&D or clinical batches)
    • Mid-size (regional supply)
    • Full commercial scale (global supply)
  3. GMP Compliance
    • Compliance with FDA, EMA, WHO, or local authorities can significantly increase costs.
  4. Geographic Location
    • Labor, materials, utilities, and regulation costs vary by country.
    • Example: India or China might be 30–70% cheaper than the US or EU.
  5. Infrastructure & Utilities
    • HVAC systems (especially for sterile environments)
    • Water-for-injection (WFI), clean steam, compressed air
    • Waste treatment, energy backup systems
  6. Automation & Tech
    • Manual vs semi-automated vs fully automated lines
    • Use of robotics, AI for QC, or electronic batch records adds cost
  7. Time to Build
    • 18 to 36 months is typical for a GMP-compliant facility

📊 Real-World Examples​

  • Pfizer’s gene therapy plant (North Carolina, US): ~$600 million
  • Biocon biologics facility (India): ~$275 million
  • Generic oral solid dosage facility (India): $10–20 million
  • Sterile injectable plant (EU): $50–150 million

💼 What’s Included in the Investment?​

  • Facility design and construction
  • HVAC, cleanroom systems
  • Production equipment
  • Quality control labs (analytical chemistry, microbiology)
  • IT systems (LIMS, ERP)
  • Regulatory and validation activities
  • Hiring and training staff
  • Licensing and inspections

✅ Bonus: Cost-Saving Options​

  • Contract Manufacturing (CDMOs): Avoid CapEx altogether
  • Modular/Prefab Facilities: Can reduce cost and time by 20–40%
  • Refurbished Equipment: Often used by generics manufacturers
  • Location Arbitrage: Set up in countries with lower regulatory and labor costs

Would you like a custom estimate based on a specific type of drug (e.g. tablets vs biologics) and country (e.g. US, India, etc.)?

Hayo madafu ya mama aache kubebea kenge kwnye matrekta kuwapaleka kwa mikutani yake kule uswekeni afanye investment ya hivi halafu "rais" ukafanye utafiti wako na kuzalishia mitishamba? Hebu kuwa serious kijana!
Hizo hela sio nyingi kwa serikali. Tatizo ni watu wa kuendesha mradi hakuna.
 
We

Wewe Ni mpuuzeee Tako wewe
 
Back
Top Bottom