Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Nilikuwa sitafuti ajira hata ni mambo ya utafitiMkuu,ulikuta taasisi gani ya afya imejaa,wakakunyima ajira?
Ndo hao wamejikita kwenye drug repositioningUtaona mtu kaja na tafiti binafsi na kuweka fact zake binafsi, ila atakuja mtu na fact za mwenzake kuzi validate halafu mtu huyuhuyo anaji consider anaelimu na ameelimiaka
Ni mambo ya ajabu sanaPoint namna 3 ndio inadhihirisha ujinga wa Waafrika
kama ni utafiti,kweli waafrika bado sana kwenye taasisi zetu.Nilikuwa sitafuti ajira hata ni mambo ya utafiti
Hivi ndo vitisho waafrika wanapewa kila siku na kupitia hivi vitisho wanashindwa kufanya mambo mengi sanaKabla ya huo utafiti wako, unajua costs za kujenga kiwanda cha madawa kijana? Tena chenye uwezo wa kuzalisha na high tech biologics kama mRNa na cell therapy?
Au hiyo maabara ya kufanyia utafiti wako unaijua ilipo? 😀
Rais kwanza ushapata mke? Busu la Kenge
Hivi ndo vitisho waafrika wanapewa kila siku na kupitia hivi vitisho wanashindwa kufanya mambo mengi sana
hakuna jambo rahisi huku duniani ndo maana lazima tuwe na watu wapiganaji kwenye hizi taasis
| Type of Facility | Estimated Cost (USD) |
|---|---|
| Small-scale pilot plant (non-GMP) | $1M – $5M |
| Medium-scale GMP facility | $10M – $50M |
| Full-scale commercial GMP facility | $50M – $500M+ |
| High-tech biologics facility (e.g. for mRNA, cell therapy) | $100M – $1B+ |
Hizo gharama nazijua fahamu unaongea na mtu anajua anachoongeaThe investment required to build a fully functioning drug manufacturing facility can vary massively, depending on a number of critical factors. Here’s a breakdown to help contextualize the potential costs:
💡 Quick Summary Estimates
Type of Facility Estimated Cost (USD) Small-scale pilot plant (non-GMP) $1M – $5M Medium-scale GMP facility $10M – $50M Full-scale commercial GMP facility $50M – $500M+ High-tech biologics facility (e.g. for mRNA, cell therapy) $100M – $1B+ 🧪 Key Cost Drivers
- Type of Drugs Produced
- Tablets/capsules (solid dosage): Less expensive
- Injectables/sterile products: Much more expensive (clean rooms, sterility)
- Biologics or biosimilars: Extremely high-cost (fermentation, purification, cold chain)
- Controlled substances: Higher security and regulatory needs
- Production Scale
- Pilot (R&D or clinical batches)
- Mid-size (regional supply)
- Full commercial scale (global supply)
- GMP Compliance
- Compliance with FDA, EMA, WHO, or local authorities can significantly increase costs.
- Geographic Location
- Labor, materials, utilities, and regulation costs vary by country.
- Example: India or China might be 30–70% cheaper than the US or EU.
- Infrastructure & Utilities
- HVAC systems (especially for sterile environments)
- Water-for-injection (WFI), clean steam, compressed air
- Waste treatment, energy backup systems
- Automation & Tech
- Manual vs semi-automated vs fully automated lines
- Use of robotics, AI for QC, or electronic batch records adds cost
- Time to Build
- 18 to 36 months is typical for a GMP-compliant facility
📊 Real-World Examples
- Pfizer’s gene therapy plant (North Carolina, US): ~$600 million
- Biocon biologics facility (India): ~$275 million
- Generic oral solid dosage facility (India): $10–20 million
- Sterile injectable plant (EU): $50–150 million
💼 What’s Included in the Investment?
- Facility design and construction
- HVAC, cleanroom systems
- Production equipment
- Quality control labs (analytical chemistry, microbiology)
- IT systems (LIMS, ERP)
- Regulatory and validation activities
- Hiring and training staff
- Licensing and inspections
✅ Bonus: Cost-Saving Options
- Contract Manufacturing (CDMOs): Avoid CapEx altogether
- Modular/Prefab Facilities: Can reduce cost and time by 20–40%
- Refurbished Equipment: Often used by generics manufacturers
- Location Arbitrage: Set up in countries with lower regulatory and labor costs
Would you like a custom estimate based on a specific type of drug (e.g. tablets vs biologics) and country (e.g. US, India, etc.)?
Hayo madafu ya mama aache kubebea kenge kwnye matrekta kuwapaleka kwa mikutani yake kule uswekeni afanye investment ya hivi halafu "rais" ukafanye utafiti wako na kuzalishia mitishamba? Hebu kuwa serious kijana!
Imagine hadi leo tunapambana na maralia kwa chandarua na dawa ya mseto au Metakelfin wakati ni ugonjwa unaoweza kutokomezeka kwa urahisi kabisa na kupunguza gharama kwa serikali na raia kwa asilimia 100%. Zero maralia inawezekana ila jamaa wanapambana kila siku maralia iendelee kusababisha vifo na mateso kwa watu.kama ni utafiti,kweli waafrika bado sana kwenye taasisi zetu.
Hii ni AI haya tupe sasa wewe mtazamo wako binafsi katika huu mjadala.The investment required to build a fully functioning drug manufacturing facility can vary massively, depending on a number of critical factors. Here’s a breakdown to help contextualize the potential costs:
💡 Quick Summary Estimates
Type of Facility Estimated Cost (USD) Small-scale pilot plant (non-GMP) $1M – $5M Medium-scale GMP facility $10M – $50M Full-scale commercial GMP facility $50M – $500M+ High-tech biologics facility (e.g. for mRNA, cell therapy) $100M – $1B+ 🧪 Key Cost Drivers
- Type of Drugs Produced
- Tablets/capsules (solid dosage): Less expensive
- Injectables/sterile products: Much more expensive (clean rooms, sterility)
- Biologics or biosimilars: Extremely high-cost (fermentation, purification, cold chain)
- Controlled substances: Higher security and regulatory needs
- Production Scale
- Pilot (R&D or clinical batches)
- Mid-size (regional supply)
- Full commercial scale (global supply)
- GMP Compliance
- Compliance with FDA, EMA, WHO, or local authorities can significantly increase costs.
- Geographic Location
- Labor, materials, utilities, and regulation costs vary by country.
- Example: India or China might be 30–70% cheaper than the US or EU.
- Infrastructure & Utilities
- HVAC systems (especially for sterile environments)
- Water-for-injection (WFI), clean steam, compressed air
- Waste treatment, energy backup systems
- Automation & Tech
- Manual vs semi-automated vs fully automated lines
- Use of robotics, AI for QC, or electronic batch records adds cost
- Time to Build
- 18 to 36 months is typical for a GMP-compliant facility
📊 Real-World Examples
- Pfizer’s gene therapy plant (North Carolina, US): ~$600 million
- Biocon biologics facility (India): ~$275 million
- Generic oral solid dosage facility (India): $10–20 million
- Sterile injectable plant (EU): $50–150 million
💼 What’s Included in the Investment?
- Facility design and construction
- HVAC, cleanroom systems
- Production equipment
- Quality control labs (analytical chemistry, microbiology)
- IT systems (LIMS, ERP)
- Regulatory and validation activities
- Hiring and training staff
- Licensing and inspections
✅ Bonus: Cost-Saving Options
- Contract Manufacturing (CDMOs): Avoid CapEx altogether
- Modular/Prefab Facilities: Can reduce cost and time by 20–40%
- Refurbished Equipment: Often used by generics manufacturers
- Location Arbitrage: Set up in countries with lower regulatory and labor costs
Would you like a custom estimate based on a specific type of drug (e.g. tablets vs biologics) and country (e.g. US, India, etc.)?
Hayo madafu ya mama aache kubebea kenge kwnye matrekta kuwapaleka kwa mikutani yake kule uswekeni afanye investment ya hivi halafu "rais" ukafanye utafiti wako na kuzalishia mitishamba? Hebu kuwa serious kijana!
aisee,hiki gwajima alikikazia kwenye video moja kwamba uwezo wa kutokomeza malaria tunao kabisa,na tuna kiwanda kabisa kiko mainland ila ndo hivyo tunaexport dawa tu *****,sitaki kuendelea manake napandwa na hasira.Imagine hadi leo tunapambana na maralia kwa chandarua na dawa ya mseto au Metakelfin wakati ni ugonjwa unaoweza kutokomezeka kwa urahisi kabisa na kupunguza gharama kwa serikali na raia kwa asilimia 100%. Zero maralia inawezekana ila jamaa wanapambana kila siku maralia iendelee kusababisha vifo na mateso kwa watu.
Shenzi sana hawa.
Hii ni AI haya tupe sasa wewe mtazamo wako binafsi katika huu mjadala.
Mimi najua namna na njia ya kutengeneza dawa kuliko wewe unayetegemea AI na ndo akili zilizojaa huko kwenye hizo taasisiMimi ni mdau mwenye 25yrs experience, utafiti wa madawa na kuendesha kiwanda cha madawa sio kama stori za huyu kijana anazotoa kila siku hapa. Eti ana proposal ya utafiti wa Ebola na Marburg disease?? Viral?? anacheza huyu, unajua hata darubini ya kumuona virus haipo tz? Eti kapeleka kwenye taasisi wakamkatalia, sio kumkatalia tu angekua mtu seriuos angempeleka mirembe tu!
Ndo akili kama hizi zimejaa huko kwenye taasisi imagine jambo la gharama za kuanzisha maabara tu mtu anaenda kucopy na kupaste AIHii ni AI haya tupe sasa wewe mtazamo wako binafsi katika huu mjadala.