Taasisi za afya za utafiti za Tanzania zinaendeshwa kiudalali, kiujanja-ujanja na kimchongo

Dawa za mitishamba sawa na zile za kuchemsha malimao, kwa heri
 
Dawa za mitishamba sawa na zile za kuchemsha malimao, kwa heri
Hao wazungu wenyewe waliibuka tu wakawa na hizo maabara mkuu?
Tuache kudharau uwezo na mawazo ya watu, hasa pindi wanapokuja na mawazo yao.

Afrika tumekuzwa kila kitu ni kuogopeshana hivyo mtu akitokea akawa na mawazo mapya tunampiga badala ya kumpa go ahead au kumsapoti.
 
Watu wanasahau wazungu kufika pale ilikuwa ni process sio swala la kufunga macho na kufungua

Wajapan, wakorea na wachina waliamua kuvipuuzia vitisho na leo wako walipo wanashindana na nchi za Western kama wangekubali kuwa wanyonge wangebaki vile vile walivyo
 
Waafrika ndiyo viumbe tunataka maendeleo lakni ni wavuvu
 
Corona ilitufumbua macho kwamba hatuna nchi.

Machanjo ya mabeberu yalitamalaki na kupigiwa chapuo kwa namna ya ajabu.

Ukihoji unapigwa virungu na Muliro.

Muliro ulaaniwe.
 
Safi sana.

Upo sahihi mno Mkuu, na si Taasisi hizo za utafiti pekee bali karibu Taasisi zote za Serikali zina chembe ya haya madudu.

Una mawazo mengi mazuri na ndoto ya kuwa Rais itatimia na utaifikisha nchi yetu mahali pazuri.
 
Binafsi naona anayetakiwa kuwa Mirembe hadi dakika hii ni wewe.

Uwezo wako wa kufikiri sioni kama upo sawa kwa jinsi ulivyojibu hoja ya jamaa.
 
Hii meza mnayotingisha ina vinywaji vya gharama sana. Mtatolewa nje mkiwa mmebebwa juu juu.

😅
 
Binafsi naona anayetakiwa kuwa Mirembe hadi dakika hii ni wewe.

Uwezo wako wa kufikiri sioni kama upo sawa kwa jinsi ulivyojibu hoja ya jamaa.

Naheshimu mawazo yako na ahsante kwa mchango wako! It all depends on schools of thoughts sio lazima tufanane
 
Safi sana.

Upo sahihi mno Mkuu, na si Taasisi hizo za utafiti pekee bali karibu Taasisi zote za Serikali zina chembe ya haya madudu.

Una mawazo mengi mazuri na ndoto ya kuwa Rais itatimia na utaifikisha nchi yetu mahali pazuri.
Ahsante na pamoja sana
 
Hizo hela sio nyingi kwa serikali. Tatizo ni watu wa kuendesha mradi hakuna.
 
We
Wewe Ni mpuuzeee Tako wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…